Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Sherehe Sheria

๐Ÿ‘ค Mbuzi Gang feat. Jovial โ€ข ๐ŸŽผ Sherehe Sheria โ€ข โฑ๏ธ 3:32
๐ŸŽต 2518 characters
โฑ๏ธ 3:32 duration
๐Ÿ†” ID: 4977274

๐Ÿ“œ Lyrics

London, London
The baddest
(It's Your favourite boy)
Kashkeed on the Track

Mi mang'aa napenda life
Napenda dem anajidai ati amevai
Kama ni looku piga white ni kama amedye
Ako machingri mangwai na beer lite

Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
Warukera inama chuchumia (Ala)
Hio ni mwiko si miwa umekalia
Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

Nadai mucome, kuna sha Nadia Mukami
Sheria lazima mfuate ju ya serikali
Askari sura yake wavy ka ya Khali
Kali-Sa lazima ufuate kodi
Sarkodie bash hatuwezi get cosy
Corona, corona tulishikiwa kwa kona
Na mbona unaendesha ni kama uko na cholera
Afande sa

Sheria pia ni wera
Kukata maji mnajifanya Musa
Nanusa watoi mliomba nani ruhusa
Kipusa this time tulibeba Jovial
Mbuzi ndio rende hatutaacha za ovyo

Mi mang'aa napenda life
Napenda dem anajidai ati amevai
Kama ni looku piga white ni kama amedye
Ako machingri mangwai na beer lite

Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
Warukera inama chuchumia (Ala)
Hio ni mwiko si miwa umekalia
Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

Nakata maji nasambuka, nikibleki nazinduka
Shetani amepanda jini mkata kamba, serikali inapindua
Mi ndo kiboko yao, wakisleki tunapita nao
Tena haina kuchao, yaani uuh, baby we ndo mama yao

Afande pita ndani yaani we chuma ina lala ndani
Shamra shamra za kibabi, uuh we enjoy the party
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche

Mi mang'aa napenda life
Napenda dem anajidai ati amevai
Kama ni looku piga white ni kama amedye
Ako machingri mangwai na beer lite

Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
Warukera inama chuchumia (Ala)
Hio ni mwiko si miwa umekalia
Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

Kata maji you can't bwogo me
Gidigidi maji maji can't koro me
Thobo thobo kumguza chobo
Ashaskiza utamu hadi kisogo

Kukata maji ni sheria
But mbona sa unamix Konyagi
Ndani ya chang'aa Fathermore
Unakataje maji na haujadishi
Fisi mimi bleki dem yako mi nadishi
Na kama ni vegeteriana bado atakula njiti

Nikiwa deep end deep end
Si na depend depend
Bars kibao sa itabidi umenikunywa
Na ka hujaput hii si utabidi umejichuna

Mi mang'aa napenda life
Napenda dem anajidai ati amevai
Kama ni looku piga white ni kama amedye
Ako machingri mangwai na beer lite

Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
Warukera inama chuchumia (Ala)
Hio ni mwiko si miwa umekalia
Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche

(Black Market Records)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.92] London, London
[00:02.43] The baddest
[00:04.27] (It's Your favourite boy)
[00:07.96] Kashkeed on the Track
[00:08.85] Mi mang'aa napenda life
[00:10.20] Napenda dem anajidai ati amevai
[00:11.67] Kama ni looku piga white ni kama amedye
[00:14.60] Ako machingri mangwai na beer lite
[00:17.29] Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
[00:19.97] Warukera inama chuchumia (Ala)
[00:22.29] Hio ni mwiko si miwa umekalia
[00:24.98] Ni sherehe na haitaki masheria, sheria
[00:28.13] Nadai mucome, kuna sha Nadia Mukami
[00:30.82] Sheria lazima mfuate ju ya serikali
[00:33.67] Askari sura yake wavy ka ya Khali
[00:36.06] Kali-Sa lazima ufuate kodi
[00:38.15] Sarkodie bash hatuwezi get cosy
[00:39.97] Corona, corona tulishikiwa kwa kona
[00:42.21] Na mbona unaendesha ni kama uko na cholera
[00:44.66] Afande sa
[00:46.99] Sheria pia ni wera
[00:48.77] Kukata maji mnajifanya Musa
[00:50.55] Nanusa watoi mliomba nani ruhusa
[00:53.03] Kipusa this time tulibeba Jovial
[00:55.85] Mbuzi ndio rende hatutaacha za ovyo
[00:57.10] Mi mang'aa napenda life
[00:59.58] Napenda dem anajidai ati amevai
[01:01.44] Kama ni looku piga white ni kama amedye
[01:03.99] Ako machingri mangwai na beer lite
[01:06.73] Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
[01:09.18] Warukera inama chuchumia (Ala)
[01:11.42] Hio ni mwiko si miwa umekalia
[01:13.46] Ni sherehe na haitaki masheria, sheria
[01:17.06] Nakata maji nasambuka, nikibleki nazinduka
[01:21.86] Shetani amepanda jini mkata kamba, serikali inapindua
[01:26.92] Mi ndo kiboko yao, wakisleki tunapita nao
[01:32.06] Tena haina kuchao, yaani uuh, baby we ndo mama yao
[01:37.04] Afande pita ndani yaani we chuma ina lala ndani
[01:41.92] Shamra shamra za kibabi, uuh we enjoy the party
[01:46.54] Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
[01:51.80] Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
[01:56.50] Mi mang'aa napenda life
[01:58.22] Napenda dem anajidai ati amevai
[01:59.92] Kama ni looku piga white ni kama amedye
[02:03.34] Ako machingri mangwai na beer lite
[02:05.19] Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
[02:07.79] Warukera inama chuchumia (Ala)
[02:09.97] Hio ni mwiko si miwa umekalia
[02:12.85] Ni sherehe na haitaki masheria, sheria
[02:15.21] Kata maji you can't bwogo me
[02:18.33] Gidigidi maji maji can't koro me
[02:20.44] Thobo thobo kumguza chobo
[02:22.96] Ashaskiza utamu hadi kisogo
[02:25.39] Kukata maji ni sheria
[02:27.68] But mbona sa unamix Konyagi
[02:28.81] Ndani ya chang'aa Fathermore
[02:30.79] Unakataje maji na haujadishi
[02:32.97] Fisi mimi bleki dem yako mi nadishi
[02:34.84] Na kama ni vegeteriana bado atakula njiti
[02:36.10] Nikiwa deep end deep end
[02:40.00] Si na depend depend
[02:41.23] Bars kibao sa itabidi umenikunywa
[02:43.50] Na ka hujaput hii si utabidi umejichuna
[02:45.66] Mi mang'aa napenda life
[02:47.40] Napenda dem anajidai ati amevai
[02:49.07] Kama ni looku piga white ni kama amedye
[02:52.29] Ako machingri mangwai na beer lite
[02:54.25] Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
[02:56.90] Warukera inama chuchumia (Ala)
[02:59.62] Hio ni mwiko si miwa umekalia
[03:01.90] Ni sherehe na haitaki masheria, sheria
[03:04.91] Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
[03:09.73] Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
[03:14.71] Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
[03:20.24] Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
[03:24.36] (Black Market Records)
[03:26.50]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings