Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Sota

๐Ÿ‘ค Rekles feat. Mejja โ€ข ๐ŸŽผ Sota - Single โ€ข โฑ๏ธ 3:05
๐ŸŽต 1851 characters
โฑ๏ธ 3:05 duration
๐Ÿ†” ID: 4977327

๐Ÿ“œ Lyrics

Sota Lyrics by REKLES
Sota Lyrics by REKLES

Ni funny unadhani unachapaa
Buda kusota si dhambi acha kukataa
Ni funny unadhani unachapaa
Buda kusota si dhambi acha kukataa

(Mavo on the beat)

Ati we ni sos ukitaka unabuy
Uongo sema walai
Chocha mbona unajam
Bro umesota na unakataa

Ati yaani hunanga mali
We hushinda umehire gari
We hushinda nini na nani
Bro umesota na na unakataa

Gari ni ya sugarmummy
Keja aliomba Mwaniki
Looku aliomba jirani
Na kwa baze vile anajidai

Bazu bazu bazu
Hauna kakitu bazu wa uduu
IG chocha maisha ya juu
Caption Lamu with my boo

Lifestyle na madeni
Ni kuchotwa chotwa na benki
Wacha kupost ukichocha
Ati uko Lamu na vile umesota

Ati we ni sos ukitaka unabuy
Uongo sema walai
Chocha mbona unajam
Bro umesota na na unakataa

Ati yaani hunanga mali
We hushinda umehire gari
We hushinda nini na nani
Bro umesota na na unakataa

Cheki ati bro umesota na unakataa
Na ati pia umeokoka unaendanga church
Unadai una chopa na hauna hata bike
Mi adi sijui mbona ama uko mangwai

Hmmmh haa!
Ama jo ni jaba zimerunda
Na we husema unaishi Runda
Na we unapatikana daily stage ya Lunga

Ayayayaya mbona ulichochana umebuy ndae
Bado uko na deni hadi ya mayai
Ona mpaka Tala inakudai
Zidi kujigamba

Ati we ni sos ukitaka unabuy
Uongo sema walai
Chocha mbona unajam
Bro umesota na unakataa

Ati yaani hunanga mali
We hushinda umehire gari
We hushinda nini na nani
Bro umesota na na unakataa

Ni funny unadhani unachapaa
Buda kusota si dhambi acha kukataa
Ni funny unadhani unachapaa
Buda kusota si dhambi acha kukataa

Hmmmh haa!
Ama jo ni jaba zimerunda
Na we husema unaishi Runda
Na we unapatikana daily stage ya Lunga

Ati we ni sos ukitaka unabuy
Uongo sema walai
Chocha mbona unajam
Bro umesota na unakataa

Ati yaani hunanga mali
We hushinda umehire gari
We hushinda nini na nani
Bro umesota na na unakataa

(House of Badass)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.33] Sota Lyrics by REKLES
[00:03.06] Sota Lyrics by REKLES
[00:09.55] Ni funny unadhani unachapaa
[00:11.79] Buda kusota si dhambi acha kukataa
[00:14.12] Ni funny unadhani unachapaa
[00:16.66] Buda kusota si dhambi acha kukataa
[00:18.27] (Mavo on the beat)
[00:18.65] Ati we ni sos ukitaka unabuy
[00:20.86] Uongo sema walai
[00:23.80] Chocha mbona unajam
[00:26.27] Bro umesota na unakataa
[00:28.73] Ati yaani hunanga mali
[00:31.00] We hushinda umehire gari
[00:33.27] We hushinda nini na nani
[00:35.85] Bro umesota na na unakataa
[00:38.12] Gari ni ya sugarmummy
[00:40.51] Keja aliomba Mwaniki
[00:43.05] Looku aliomba jirani
[00:45.11] Na kwa baze vile anajidai
[00:47.77] Bazu bazu bazu
[00:49.81] Hauna kakitu bazu wa uduu
[00:52.06] IG chocha maisha ya juu
[00:54.38] Caption Lamu with my boo
[00:56.99] Lifestyle na madeni
[00:59.47] Ni kuchotwa chotwa na benki
[01:02.10] Wacha kupost ukichocha
[01:04.23] Ati uko Lamu na vile umesota
[01:06.61] Ati we ni sos ukitaka unabuy
[01:09.31] Uongo sema walai
[01:11.88] Chocha mbona unajam
[01:14.30] Bro umesota na na unakataa
[01:16.75] Ati yaani hunanga mali
[01:18.95] We hushinda umehire gari
[01:21.46] We hushinda nini na nani
[01:23.75] Bro umesota na na unakataa
[01:26.08] Cheki ati bro umesota na unakataa
[01:28.42] Na ati pia umeokoka unaendanga church
[01:30.92] Unadai una chopa na hauna hata bike
[01:33.23] Mi adi sijui mbona ama uko mangwai
[01:35.68] Hmmmh haa!
[01:37.33] Ama jo ni jaba zimerunda
[01:39.70] Na we husema unaishi Runda
[01:41.72] Na we unapatikana daily stage ya Lunga
[01:44.03] Ayayayaya mbona ulichochana umebuy ndae
[01:47.68] Bado uko na deni hadi ya mayai
[01:50.47] Ona mpaka Tala inakudai
[01:53.05] Zidi kujigamba
[01:54.89] Ati we ni sos ukitaka unabuy
[01:57.33] Uongo sema walai
[01:59.87] Chocha mbona unajam
[02:02.16] Bro umesota na unakataa
[02:04.65] Ati yaani hunanga mali
[02:07.03] We hushinda umehire gari
[02:09.46] We hushinda nini na nani
[02:11.74] Bro umesota na na unakataa
[02:14.00] Ni funny unadhani unachapaa
[02:16.36] Buda kusota si dhambi acha kukataa
[02:19.07] Ni funny unadhani unachapaa
[02:21.21] Buda kusota si dhambi acha kukataa
[02:23.88] Hmmmh haa!
[02:25.35] Ama jo ni jaba zimerunda
[02:27.81] Na we husema unaishi Runda
[02:29.73] Na we unapatikana daily stage ya Lunga
[02:32.11] Ati we ni sos ukitaka unabuy
[02:35.48] Uongo sema walai
[02:38.39] Chocha mbona unajam
[02:40.70] Bro umesota na unakataa
[02:42.89] Ati yaani hunanga mali
[02:45.42] We hushinda umehire gari
[02:47.73] We hushinda nini na nani
[02:50.28] Bro umesota na na unakataa
[02:53.75] (House of Badass)
[03:03.34]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings