Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Still A Liar

๐Ÿ‘ค Wahu โ€ข ๐ŸŽผ Wahu Classics โ€ข โฑ๏ธ 4:27
๐ŸŽต 1472 characters
โฑ๏ธ 4:27 duration
๐Ÿ†” ID: 4977342

๐Ÿ“œ Lyrics

Nakumbuka chali mmoja akinikatia
My dear you know that you are my number one
Sikujua kulikuwa na number two, number three and number four

Siku hizi ninasikia wakisema ni bwana wa watu, baba watoto sita
Lakini game yake haijakatika no...

Juzi nilimuona kilabu Nairobi na ndogondogo miaka yake ishirini eh
Tabia ni zile zile...
Still a liar...
You're just a little older
Miaka sio shida
Sugar daddy liar
Dunia ina mambo
Mbona mzee hutulii nyumbani kwako
Usome gazeti
Ule chakula cha mkewe au
Ukapewe na wazee wenzako woh

Vunja mifupa kama meno bado iko
Ooh lakini kufukuzana na watoto ehh
Acheni aibu ndogo ndogo ooh

Mpaka achoke mpaka aseme game shoti
My sister usijienjoy eeh
Tabia ni zilezile...

Still a liar...
You're just a little older
Miaka sio shida
Sugar daddy liar
Still a liar...
You're just a little older
Still a liar...
Miaka sio shida
Still a liar...
Sugar daddy liar
Still a liar...

Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia
Mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia
Mwenye heshima ya watu wote eeh
My dear usiwachilie eeh
Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia
Mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia
Mwenye heshima ya watu wote eeh
My dear usiwachilie eeh
Na mikono yote, shikilia
Usiwachilie, shikilia
Usiteleze, shikilia dada
Shikilia wewe, shikilia
Na mikono yote, shikilia
Usiachilie, shikilia
Usiteleze, dada shikilia wewe, shikilia

Still a liar...
You're just a little older
Still a liar...
Miaka sio shida
Still a liar...

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings