Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Una

๐Ÿ‘ค P-Unit โ€ข ๐ŸŽผ Wagenge Hao โ€ข โฑ๏ธ 4:39
๐ŸŽต 2453 characters
โฑ๏ธ 4:39 duration
๐Ÿ†” ID: 4977463

๐Ÿ“œ Lyrics

Paukwa
Pakawa
Jomino
Bt offcouse
Wahenga walidedi wakaacha watoi
Watoi waohawangeitwa wahenga
So wakaitwa wagenge
P-unit dna
Unaaaaa
Una jump una ruka kuna shida zina shuka
Una jump una ruka kuna shida zina shuka
Unaaaaaaaaaaa hauna aha aha ahaa
Unaaaaaaaaaaa hauna aha aha ahaa

Una ruka mkojo una kanyaga mafi
Una hepa bike una gongwa na basi
Una zima ka fegi una setua kidogo
Una omba unapewa na hauna condom
Una dhani mizuka kumbe kichwa iliruka
Una vuta shuka wenzako wana rauka
Unaaaaaaaaa hauna
Jeah
Una hama inchi yako uka ishi ulaya
Una hepa mshamba unaoa malaya
Unauza tv unanunua trolley
Una dondoka nganya una dandia Lorry

Una thani ni bengi unapata ni fegi
Una lala unono unapata ulidedy
Unathani nimababi unapata wagenge
Una ona bona ela kumbe ni chege
Unaaaaaaaaa hauna
Unaaaaaaaaaa hauna

Una jump una ruka kuna shida zina shuka
Una jump una ruka kuna shida zina shuka

Unanijua mi ni ule boy uwa na wauwaaaa
Unanijua nikipewa traki kazi kuraruaaa
Unanijua manziyako mweke mbali nita mraruaaaaaa
Una nunua uliza mambo yangu mimi hupatiwa
Okay... una shuta una hara
Unajipaka mafuta una parara
Una sahara nina msafara
Una kipara ngepa ninang'ara
Una sota ninamshahara
Una nisanya kumbe niko rada
Unajifanya kumbe na kumada
Zikishika unainuka
Una ruka una jump
Una shuka shida zinashuka
Aaaaah
Frashaaaaaaaaaaaa

Una jump una ruka kuna shida zina shuka una jump una ruka kuna shida zina shuka
Unaaaaaaaaaa hauna ah ah
Unaaaaaaaaaa hauna ah ah

Unachapa mtoto unamwamsha ngware
Anaitisha ferarre ndio aende kawangware
Anataka fegi unampa mpaka nare
Unaaaaaaaaaa hauna
Unaaaaaaaaaa hauna

Una jump una ruka kuna shida zina shuka
Mi napanga kupata mkwanja
Una chota ka dem kumbe ni mmadha
Unachota supu taxy faster
Unamwona asubuhi boss ulihata
Una cheki supu una buy beer
Una cheki vizuri amekuibia
Unafanya upuzi kuwapea hater
Nje roho juu ndani una tetemeka
Una fanya exams unapata jembe
Unaenda hom kama kawa sembe
Ulidhani uko ndani kumbe uko njee
Ulidhani una ngiri kumbe una finje
Una kunywa una lewa
Una dem ana bebwa
Una chunguza una cheka
DNA na P-UNIT walikubebea ahahahaha

Auna
Auna
Auna
Auna
Auna
Auna

Una jump una ruka una shida zina shuka
Una jump una ruka una shida zina shuka
Unaaaaaaaaaa hauna ah ah ah
Unaaaaaaaaaa hauna ah ah ah

Unachapa mtoto una mwamsha ngware
Anaitisha ferarre ndio aende kawangware
Anaitisha fegi unampa mpaka nare
Unaaaaaaaaaa hauna
Unaaaaaaaaaa hauna

Una pita
Una itwa marangi
Una jump una...!?

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings