Unanichanganya
๐ต 1908 characters
โฑ๏ธ 3:13 duration
๐ ID: 4977464
๐ Lyrics
Uyeye Sol Generation
(So Fresh is on the beat)
Ever since tujuane baby I feel so lucky
You are a blessing in so many ways girl
You are wasting so much time my girl
No time for truth and dare (truth and dare)
Girl when you need some love
I promise to be there (ooh yeah)
Kuna vile waniwashanga, oh girl
Moyo unadunda kila saa ukipitanga
Nabaki lalala, mawazo zinakuja zikikwenda
Aki nini unanifanyanga
Baby wewe star (ooh yeah)
Usiku na mchana usitake jua vile unang'aranga
Unanichanganya, kuna kuna vile wanichanganya girl
Unanichanganya, kuna vile unanichanganya (wo oi)
Unanichanganya, kuna vile unanichanganya
Unani ah ah, changanya
Kuna vile unanichanganya (wo oi)

The way you rock, the way you rock
The way you are moving my baby
Napenda vile unakanyanga
Na bado ukipika me crazy
Napenda vile unakaranga
No time to waste my baby
Long long me got some love for you
Lemme show you one thing or two
Do the things that lovers do

Umeniwasha moto, umenifanya local
Umenifanya tu nikuimbiage tu ma love song
Ju mi hukuturn on na mavocals
Na nakupigia densi ki Michael Jackson
Niko salon juu yako, ninakusafishia kiti chako
Ninakusafishia kiti chako, nitakuguzishia, nitakupandishia
Nitakutumikia shida zako