Utalala
๐ต 1569 characters
โฑ๏ธ 3:01 duration
๐ ID: 4977494
๐ Lyrics
Yap
Uh, Naitwa mangi
Yaani chagga tena nah
Oh yeh
Ooh
Mmh yeh
(O.Righty) Ah
Kiukweli mi sina kitu
Hali yangu kama unavyoona
Tu mishe za kule na huku
Viwalo vyangu vya ilala boma
Je kweli umeridhiana na mi
Vijora vya buku sita utavaa baby
Kuna maneno mengi mtaani
Mara nakuzeesha utaimili kweli
Usiropoke ukinuna ukiwa na hila
We niseme ata nikiwa na hasira
Usijifunze kukaa na jambo moyoni
Litakuja lisumbue baadae
Utakutana na nguna
Je we utakula
Vya kulumangia
Ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina
Je utavumilia
Umekuja mazima
We uje mazima
Na je baby?
Utalala lala?
Usingizi mororo
Utalala lala? (ah yeh mm ah)
Kwenye bungalow giza totoro
Utalala lala? (weh eh nah)
Gheto nna ndoo tu na godoro
Utalala lala? (weh eh mh)
Kesho tuamkie kiporo
Ah
Nashukuru umeona unifae (yeh)
Wakati ambao nipo juu ya mawe (yeah)
Ushaamua nshaamua na iwe (ah aah)
Sa baadae usije unikatae
Kiganjani mwangu usiniponyoke
Tupendane wambea tuwadondoshe
Yani baby nishike twende wote
Wakikutisha nipo hivyo usiogope
We kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby
Kukupenda mbona sana tu sana baby
(Na je wewe?)
Utakutana na nguna
Je we utakula
Vya kulumangia ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?
Umekuja mazima we uje mazima
Na jee baby
Utalala (nami) lala (yeh)
Usingizi mororo
Utalala (ah yeh) lala
Kwenye bungalow giza totoro
Utalala (we eh ah) lala
Gheto nna ndoo tu na godoro
Utalala lala? (weh eh mh)
Kesho tuamkie Kiporo
(Instrumental)
(Utakutana na nguna je we utakula?)
(Vya kulumangia ndo nazingatia)
(Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?)
(Umekuja mazima we uje mazima)
Uh, Naitwa mangi
Yaani chagga tena nah
Oh yeh
Ooh
Mmh yeh
(O.Righty) Ah
Kiukweli mi sina kitu
Hali yangu kama unavyoona
Tu mishe za kule na huku
Viwalo vyangu vya ilala boma
Je kweli umeridhiana na mi
Vijora vya buku sita utavaa baby
Kuna maneno mengi mtaani
Mara nakuzeesha utaimili kweli
Usiropoke ukinuna ukiwa na hila
We niseme ata nikiwa na hasira
Usijifunze kukaa na jambo moyoni
Litakuja lisumbue baadae
Utakutana na nguna
Je we utakula
Vya kulumangia
Ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina
Je utavumilia
Umekuja mazima
We uje mazima
Na je baby?
Utalala lala?
Usingizi mororo
Utalala lala? (ah yeh mm ah)
Kwenye bungalow giza totoro
Utalala lala? (weh eh nah)
Gheto nna ndoo tu na godoro
Utalala lala? (weh eh mh)
Kesho tuamkie kiporo
Ah
Nashukuru umeona unifae (yeh)
Wakati ambao nipo juu ya mawe (yeah)
Ushaamua nshaamua na iwe (ah aah)
Sa baadae usije unikatae
Kiganjani mwangu usiniponyoke
Tupendane wambea tuwadondoshe
Yani baby nishike twende wote
Wakikutisha nipo hivyo usiogope
We kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby
Kukupenda mbona sana tu sana baby
(Na je wewe?)
Utakutana na nguna
Je we utakula
Vya kulumangia ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?
Umekuja mazima we uje mazima
Na jee baby
Utalala (nami) lala (yeh)
Usingizi mororo
Utalala (ah yeh) lala
Kwenye bungalow giza totoro
Utalala (we eh ah) lala
Gheto nna ndoo tu na godoro
Utalala lala? (weh eh mh)
Kesho tuamkie Kiporo
(Instrumental)
(Utakutana na nguna je we utakula?)
(Vya kulumangia ndo nazingatia)
(Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?)
(Umekuja mazima we uje mazima)
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:02.44] Yap
[00:03.79] Uh, Naitwa mangi
[00:06.32] Yaani chagga tena nah
[00:12.75] Oh yeh
[00:15.33] Ooh
[00:17.61] Mmh yeh
[00:20.27] (O.Righty) Ah
[00:21.56] Kiukweli mi sina kitu
[00:23.05] Hali yangu kama unavyoona
[00:26.41] Tu mishe za kule na huku
[00:28.18] Viwalo vyangu vya ilala boma
[00:30.72] Je kweli umeridhiana na mi
[00:33.40] Vijora vya buku sita utavaa baby
[00:35.83] Kuna maneno mengi mtaani
[00:38.43] Mara nakuzeesha utaimili kweli
[00:41.27] Usiropoke ukinuna ukiwa na hila
[00:43.89] We niseme ata nikiwa na hasira
[00:46.41] Usijifunze kukaa na jambo moyoni
[00:49.21] Litakuja lisumbue baadae
[00:51.52] Utakutana na nguna
[00:53.12] Je we utakula
[00:54.60] Vya kulumangia
[00:55.99] Ndo nazingatia
[00:57.27] Msaada wa ndugu sina
[00:58.47] Je utavumilia
[00:59.74] Umekuja mazima
[01:00.82] We uje mazima
[01:01.88] Na je baby?
[01:03.12] Utalala lala?
[01:06.83] Usingizi mororo
[01:08.64] Utalala lala? (ah yeh mm ah)
[01:11.74] Kwenye bungalow giza totoro
[01:13.92] Utalala lala? (weh eh nah)
[01:16.95] Gheto nna ndoo tu na godoro
[01:19.19] Utalala lala? (weh eh mh)
[01:22.43] Kesho tuamkie kiporo
[01:34.37] Ah
[01:34.85] Nashukuru umeona unifae (yeh)
[01:37.59] Wakati ambao nipo juu ya mawe (yeah)
[01:40.52] Ushaamua nshaamua na iwe (ah aah)
[01:43.17] Sa baadae usije unikatae
[01:44.87] Kiganjani mwangu usiniponyoke
[01:47.36] Tupendane wambea tuwadondoshe
[01:49.97] Yani baby nishike twende wote
[01:52.41] Wakikutisha nipo hivyo usiogope
[01:55.08] We kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby
[02:00.23] Kukupenda mbona sana tu sana baby
[02:05.00] (Na je wewe?)
[02:05.88] Utakutana na nguna
[02:07.06] Je we utakula
[02:08.32] Vya kulumangia ndo nazingatia
[02:10.81] Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?
[02:13.75] Umekuja mazima we uje mazima
[02:16.01] Na jee baby
[02:17.38] Utalala (nami) lala (yeh)
[02:20.81] Usingizi mororo
[02:22.27] Utalala (ah yeh) lala
[02:25.39] Kwenye bungalow giza totoro
[02:27.69] Utalala (we eh ah) lala
[02:30.67] Gheto nna ndoo tu na godoro
[02:32.81] Utalala lala? (weh eh mh)
[02:36.14] Kesho tuamkie Kiporo
[02:38.61] (Instrumental)
[02:42.41] (Utakutana na nguna je we utakula?)
[02:45.28] (Vya kulumangia ndo nazingatia)
[02:47.81] (Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?)
[02:50.36] (Umekuja mazima we uje mazima)
[03:00.46]
[00:03.79] Uh, Naitwa mangi
[00:06.32] Yaani chagga tena nah
[00:12.75] Oh yeh
[00:15.33] Ooh
[00:17.61] Mmh yeh
[00:20.27] (O.Righty) Ah
[00:21.56] Kiukweli mi sina kitu
[00:23.05] Hali yangu kama unavyoona
[00:26.41] Tu mishe za kule na huku
[00:28.18] Viwalo vyangu vya ilala boma
[00:30.72] Je kweli umeridhiana na mi
[00:33.40] Vijora vya buku sita utavaa baby
[00:35.83] Kuna maneno mengi mtaani
[00:38.43] Mara nakuzeesha utaimili kweli
[00:41.27] Usiropoke ukinuna ukiwa na hila
[00:43.89] We niseme ata nikiwa na hasira
[00:46.41] Usijifunze kukaa na jambo moyoni
[00:49.21] Litakuja lisumbue baadae
[00:51.52] Utakutana na nguna
[00:53.12] Je we utakula
[00:54.60] Vya kulumangia
[00:55.99] Ndo nazingatia
[00:57.27] Msaada wa ndugu sina
[00:58.47] Je utavumilia
[00:59.74] Umekuja mazima
[01:00.82] We uje mazima
[01:01.88] Na je baby?
[01:03.12] Utalala lala?
[01:06.83] Usingizi mororo
[01:08.64] Utalala lala? (ah yeh mm ah)
[01:11.74] Kwenye bungalow giza totoro
[01:13.92] Utalala lala? (weh eh nah)
[01:16.95] Gheto nna ndoo tu na godoro
[01:19.19] Utalala lala? (weh eh mh)
[01:22.43] Kesho tuamkie kiporo
[01:34.37] Ah
[01:34.85] Nashukuru umeona unifae (yeh)
[01:37.59] Wakati ambao nipo juu ya mawe (yeah)
[01:40.52] Ushaamua nshaamua na iwe (ah aah)
[01:43.17] Sa baadae usije unikatae
[01:44.87] Kiganjani mwangu usiniponyoke
[01:47.36] Tupendane wambea tuwadondoshe
[01:49.97] Yani baby nishike twende wote
[01:52.41] Wakikutisha nipo hivyo usiogope
[01:55.08] We kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby
[02:00.23] Kukupenda mbona sana tu sana baby
[02:05.00] (Na je wewe?)
[02:05.88] Utakutana na nguna
[02:07.06] Je we utakula
[02:08.32] Vya kulumangia ndo nazingatia
[02:10.81] Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?
[02:13.75] Umekuja mazima we uje mazima
[02:16.01] Na jee baby
[02:17.38] Utalala (nami) lala (yeh)
[02:20.81] Usingizi mororo
[02:22.27] Utalala (ah yeh) lala
[02:25.39] Kwenye bungalow giza totoro
[02:27.69] Utalala (we eh ah) lala
[02:30.67] Gheto nna ndoo tu na godoro
[02:32.81] Utalala lala? (weh eh mh)
[02:36.14] Kesho tuamkie Kiporo
[02:38.61] (Instrumental)
[02:42.41] (Utakutana na nguna je we utakula?)
[02:45.28] (Vya kulumangia ndo nazingatia)
[02:47.81] (Msaada wa ndugu sina Je utavumilia?)
[02:50.36] (Umekuja mazima we uje mazima)
[03:00.46]