Wenyewe
๐ต 961 characters
โฑ๏ธ 3:24 duration
๐ ID: 4977562
๐ Lyrics
Kama ni gari umeliwasha limewaka
Na niko shwari iih ukwia kando sina mashaka
Vile vituto vya chumbani vi udi na ubani
Vagi la sunami hadi nasema kunani
Iwe baridi kali ama joto
Yani kwenye raha na msoto
Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
Iwe kwenye gari ama kwa ngoko
Yani we kulia me kushoto
Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
Haya mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
Jama mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
Instrumental...
Hallo
Tuhame huku kwenye bangaloo
Twende masaki tuwarushe roho
Mapenzi yetu yawakabe koo
Halloo
Mwendo wa kupima
Uzuri flani rangi ya madina
Nikutoe dinner
Wavimbe macho kama wachina oh oh oh

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:22.16] Kama ni gari umeliwasha limewaka
[00:27.46] Na niko shwari iih ukwia kando sina mashaka
[00:32.21] Vile vituto vya chumbani vi udi na ubani
[00:37.99] Vagi la sunami hadi nasema kunani
[00:43.03] Iwe baridi kali ama joto
[00:45.22] Yani kwenye raha na msoto
[00:47.97] Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
[00:53.22] Iwe kwenye gari ama kwa ngoko
[00:55.93] Yani we kulia me kushoto
[00:58.84] Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
[01:03.43] Haya mapenzi, yana wenyewe
[01:08.29] Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
[01:13.60] Jama mapenzi, yana wenyewe
[01:18.69] Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
[01:25.46] Instrumental...
[01:46.86] Hallo
[01:48.03] Tuhame huku kwenye bangaloo
[01:50.44] Twende masaki tuwarushe roho
[01:52.84] Mapenzi yetu yawakabe koo
[01:55.72] Halloo
[01:57.37] Mwendo wa kupima
[01:59.48] Uzuri flani rangi ya madina
[02:02.30] Nikutoe dinner
[02:04.54] Wavimbe macho kama wachina oh oh oh
[02:08.50] Iwe baridi kali ama joto
[02:10.78] Yani kwenye raha na msoto
[02:13.46] Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
[02:18.77] Iwe kwenye gari ama kwa ngoko
[02:21.47] Yani we kulia me kushoto
[02:24.03] Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
[02:27.80] Haya mapenzi, yana wenyewe
[02:33.83] Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
[02:38.50] Jama mapenzi, yana wenyewe
[02:44.42] Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
[02:52.13]