Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Wife

๐Ÿ‘ค Aslay โ€ข ๐ŸŽผ Emotions - Single โ€ข โฑ๏ธ 3:31
๐ŸŽต 1555 characters
โฑ๏ธ 3:31 duration
๐Ÿ†” ID: 4977584

๐Ÿ“œ Lyrics

Ooh gagaa
Wife we, wife material kipenda roho
Chekecha weka kwa chujio maneno yao
Waambie umeshikwa umedata na mimi oh, mtoto show
Tuwavunje mifupa tuwakate vilimi oh, waumie roho

Nitakonda (ahaa), ukiniacha mbele za watu (ahaa)
Nitachoka (ahaa), kuficha mapenzi chini ya kiatu (ahaa)
Usipunguze ongeza, pakavu natelezaa
We pekee unaniweza niongeze mchuzi wa pweza ninywee

Baby ooh, baby
Baby ooh, baby
Baby ooh, baby
Ubavu wangu wa pembeni
Chokochoko (baby eeh)
Laka laka chokochoko (kidume mashine)
Chokochoko (ooh na na)
Laka laka chokochoko (matam tam tam)
Chokochoko (woooh)
Nasihongi hata buku (eeeeh)

Hii, ni maruhani au masubiani
Yakikupandaga kichwani
Vurugu tupu kitandani, oh gaga
Mtoto show, rangi ya jogoo
Mi ndo Shiza Kichuya kwenye mechi tukikutana lazima nishinde goal
Mmmh, nakupenda ukipitisha ulimi kwenye sikio
Ukinipapasa kifuani nakupa vyeo
Babu Juma akicheza kwakwaru we ni kilio
Ukinipa mate vinatokaga vinyweleo, mwilini

Nitakonda (ahaa), ukiniacha mbele za watu (ahaa)
Nitachoka (ahaa), kuficha mapenzi chini ya kiatu (ahaa)
Usipunguze ongeza, pakavu natelezaa
We pekee unaniweza niongeze mchuzi wa pweza ninywee

Baby ooh, baby
Baby ooh, baby
Baby ooh, baby
Ubavu wangu wa pembeni
Chokochoko (baby eeh)
Laka laka chokochoko (hii only you)
Chokochoko (ooh na na)
Laka laka chokochoko (matam tam tam)
Chokochoko (woooh)
Nasihongi hata buku (eeeeh)

Only you (wewe)
Baby only you (baby wewe)
Utafanya nikuroge nishike kivuli (matunguli baby)
Only you (eh)
Baby only you (baby eh)
Utafanya nikuroge nishike kivuli (mairizi baby)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:16.64] Ooh gagaa
[00:17.97] Wife we, wife material kipenda roho
[00:21.96] Chekecha weka kwa chujio maneno yao
[00:27.10] Waambie umeshikwa umedata na mimi oh, mtoto show
[00:31.02] Tuwavunje mifupa tuwakate vilimi oh, waumie roho
[00:35.87] Nitakonda (ahaa), ukiniacha mbele za watu (ahaa)
[00:40.37] Nitachoka (ahaa), kuficha mapenzi chini ya kiatu (ahaa)
[00:45.95] Usipunguze ongeza, pakavu natelezaa
[00:50.56] We pekee unaniweza niongeze mchuzi wa pweza ninywee
[00:55.50] Baby ooh, baby
[00:57.48] Baby ooh, baby
[00:59.84] Baby ooh, baby
[01:02.21] Ubavu wangu wa pembeni
[01:04.17] Chokochoko (baby eeh)
[01:06.26] Laka laka chokochoko (kidume mashine)
[01:08.72] Chokochoko (ooh na na)
[01:10.81] Laka laka chokochoko (matam tam tam)
[01:13.55] Chokochoko (woooh)
[01:15.11] Nasihongi hata buku (eeeeh)
[01:17.28] Hii, ni maruhani au masubiani
[01:22.01] Yakikupandaga kichwani
[01:24.17] Vurugu tupu kitandani, oh gaga
[01:27.18] Mtoto show, rangi ya jogoo
[01:31.19] Mi ndo Shiza Kichuya kwenye mechi tukikutana lazima nishinde goal
[01:35.67] Mmmh, nakupenda ukipitisha ulimi kwenye sikio
[01:40.11] Ukinipapasa kifuani nakupa vyeo
[01:44.73] Babu Juma akicheza kwakwaru we ni kilio
[01:49.51] Ukinipa mate vinatokaga vinyweleo, mwilini
[01:54.01] Nitakonda (ahaa), ukiniacha mbele za watu (ahaa)
[01:58.08] Nitachoka (ahaa), kuficha mapenzi chini ya kiatu (ahaa)
[02:02.80] Usipunguze ongeza, pakavu natelezaa
[02:07.66] We pekee unaniweza niongeze mchuzi wa pweza ninywee
[02:12.75] Baby ooh, baby
[02:15.15] Baby ooh, baby
[02:17.26] Baby ooh, baby
[02:21.49] Ubavu wangu wa pembeni
[02:22.53] Chokochoko (baby eeh)
[02:24.12] Laka laka chokochoko (hii only you)
[02:26.84] Chokochoko (ooh na na)
[02:29.08] Laka laka chokochoko (matam tam tam)
[02:31.43] Chokochoko (woooh)
[02:33.21] Nasihongi hata buku (eeeeh)
[02:36.43] Only you (wewe)
[02:37.83] Baby only you (baby wewe)
[02:40.48] Utafanya nikuroge nishike kivuli (matunguli baby)
[02:45.27] Only you (eh)
[02:46.85] Baby only you (baby eh)
[02:49.60] Utafanya nikuroge nishike kivuli (mairizi baby)
[02:54.34]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings