Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Yahaya

๐Ÿ‘ค Lady Jaydee โ€ข ๐ŸŽผ Nothing but the Truth โ€ข โฑ๏ธ 4:58
๐ŸŽต 2233 characters
โฑ๏ธ 4:58 duration
๐Ÿ†” ID: 4977609

๐Ÿ“œ Lyrics

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya,oooh yahaya

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya,oooh yahaya

Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita
Si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Longo longo nyingi

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh yahaya

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya,oooh yahaya

Kwa story za vilingeni, utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, anasema anafanya kazi benki
Mara anasema Usalama wa Taifa, hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Ooooh Yahaya

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh yahaya

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh yahaya

Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Uso mdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh

Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh

Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:20.13] Yahaya unaishi wapi
[00:23.30] Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
[00:27.03] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
[00:30.20] Maskani yako Kinondoni
[00:32.72] Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
[00:36.94] Oooh Yahaya, oooh Yahaya,oooh yahaya
[00:40.45] Yahaya unaishi wapi
[00:43.14] Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
[00:47.11] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
[00:50.57] Maskani yako Kinondoni
[00:53.59] Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
[00:57.26] Oooh Yahaya, oooh Yahaya,oooh yahaya
[01:00.80] Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani
[01:06.07] Anakula ofa za watu, anapoishi hata hapajulikani
[01:11.15] Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
[01:15.49] Anavyozuga, anavyopita
[01:18.85] Si umdhaniae
[01:20.72] Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
[01:25.52] Akidanganya kwa kina
[01:27.98] Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
[01:31.98] Longo longo nyingi
[01:35.74] Yahaya unaishi wapi
[01:38.56] Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
[01:43.06] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
[01:46.44] Maskani yako Kinondoni
[01:48.50] Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
[01:52.56] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh yahaya
[01:56.11] Yahaya unaishi wapi
[01:58.57] Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
[02:02.84] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
[02:06.29] Maskani yako Kinondoni
[02:08.42] Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
[02:10.85] Oooh Yahaya, oooh Yahaya,oooh yahaya
[02:16.42] Kwa story za vilingeni, utafikiri kweli yeye ndio boss
[02:21.21] Suruali zake na mashati, anasema anafanya kazi benki
[02:26.36] Mara anasema Usalama wa Taifa, hakuna ajuae
[02:31.47] Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
[02:36.56] Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
[02:41.51] Akidanganya kwa kina
[02:44.27] Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
[02:49.33] Ooooh Yahaya
[02:51.10] Yahaya unaishi wapi
[02:54.14] Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
[02:58.92] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
[03:02.17] Maskani yako Kinondoni
[03:04.59] Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
[03:08.50] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh yahaya
[03:12.01] Yahaya unaishi wapi
[03:14.42] Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
[03:18.72] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
[03:21.90] Maskani yako Kinondoni
[03:24.39] Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
[03:28.67] Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh yahaya
[03:32.94]
[03:42.06] Mara anasema usalama wa Taifa
[03:45.45] Hakuna ajuae
[03:47.02] Kalubandika wa kizazi kipya
[03:50.57] Uso mdhaniae
[03:52.41] Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
[03:57.22] Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
[04:01.75] Kumbe hana helaa
[04:04.65] Yahaya unaishi wapi
[04:09.41] Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
[04:14.55] Maskani yako Kinondoni
[04:20.18] Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
[04:24.93] Yahaya unaishi wapi
[04:30.27] Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
[04:37.76] Maskani yako Kinondoni
[04:40.50] Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
[04:48.43]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings