Yote Sawa
๐ต 1046 characters
โฑ๏ธ 3:39 duration
๐ ID: 4977625
๐ Lyrics
Mimi sio kama wale
Walopita zamani mpenzi
Ooh niamini mwendo uwe sare
Usije nicha njiani mpenzi
Kule niliona mazito
Penzi lilikuwaga la mpito
Kulalama kulichosha koo
Ila nashukuru ilinikomaza roho
Licha ya kuitoa mchangani
Sikuacha kujipa imani
Japo mengi yalinikata maini
Nikaliwazua na msondona
Uzuri haupotei ramani
Ubaya hauvaishwi miwani
Nikachoka madongo ya gizani
Na mateso ya Sodoma
Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
Yote sawa, wouuh
Yote sawa (Yote sawa)
Tafsiri ya penzi sio kitanda tu
Ina mengi juu yake ni mapenzi
Sio kama sioni na sio ushamba boo
Kuna wengi niwafuate
Nilijaribu nilipoweza kufanya
Haikuonekana kwangu ikawa aibu
Kunichombeza kwa sana kumbe ananidanganya
Licha ya kuitoa mchangani
Sikuacha kujipa imani
Japo mengi yalinikata maini
Nikaliwazua na msondona
Uzuri haupotei ramani
Ubaya hauvaishwi miwani
Nikachoka madongo ya gizani
Na mateso ya Sodoma
Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
Yote sawa, wouuh
Yote sawa (Yote sawa)
Walopita zamani mpenzi
Ooh niamini mwendo uwe sare
Usije nicha njiani mpenzi
Kule niliona mazito
Penzi lilikuwaga la mpito
Kulalama kulichosha koo
Ila nashukuru ilinikomaza roho
Licha ya kuitoa mchangani
Sikuacha kujipa imani
Japo mengi yalinikata maini
Nikaliwazua na msondona
Uzuri haupotei ramani
Ubaya hauvaishwi miwani
Nikachoka madongo ya gizani
Na mateso ya Sodoma
Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
Yote sawa, wouuh
Yote sawa (Yote sawa)
Tafsiri ya penzi sio kitanda tu
Ina mengi juu yake ni mapenzi
Sio kama sioni na sio ushamba boo
Kuna wengi niwafuate
Nilijaribu nilipoweza kufanya
Haikuonekana kwangu ikawa aibu
Kunichombeza kwa sana kumbe ananidanganya
Licha ya kuitoa mchangani
Sikuacha kujipa imani
Japo mengi yalinikata maini
Nikaliwazua na msondona
Uzuri haupotei ramani
Ubaya hauvaishwi miwani
Nikachoka madongo ya gizani
Na mateso ya Sodoma
Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
Yote sawa, wouuh
Yote sawa (Yote sawa)
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:22.56] Mimi sio kama wale
[00:26.78] Walopita zamani mpenzi
[00:33.18] Ooh niamini mwendo uwe sare
[00:37.36] Usije nicha njiani mpenzi
[00:43.87] Kule niliona mazito
[00:48.77] Penzi lilikuwaga la mpito
[00:54.43] Kulalama kulichosha koo
[00:59.92] Ila nashukuru ilinikomaza roho
[01:04.76] Licha ya kuitoa mchangani
[01:06.94] Sikuacha kujipa imani
[01:09.98] Japo mengi yalinikata maini
[01:12.55] Nikaliwazua na msondona
[01:15.40] Uzuri haupotei ramani
[01:17.72] Ubaya hauvaishwi miwani
[01:19.98] Nikachoka madongo ya gizani
[01:24.64] Na mateso ya Sodoma
[01:26.19] Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
[01:30.96] Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
[01:36.23] Yote sawa, wouuh
[01:41.07] Yote sawa (Yote sawa)
[01:55.77] Tafsiri ya penzi sio kitanda tu
[01:59.75] Ina mengi juu yake ni mapenzi
[02:06.97] Sio kama sioni na sio ushamba boo
[02:10.77] Kuna wengi niwafuate
[02:16.46] Nilijaribu nilipoweza kufanya
[02:20.16] Haikuonekana kwangu ikawa aibu
[02:23.52] Kunichombeza kwa sana kumbe ananidanganya
[02:28.19] Licha ya kuitoa mchangani
[02:30.93] Sikuacha kujipa imani
[02:33.05] Japo mengi yalinikata maini
[02:35.25] Nikaliwazua na msondona
[02:38.59] Uzuri haupotei ramani
[02:41.04] Ubaya hauvaishwi miwani
[02:43.13] Nikachoka madongo ya gizani
[02:45.95] Na mateso ya Sodoma
[02:49.21] Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
[02:54.28] Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
[02:58.27] Yote sawa, wouuh
[02:58.92] Yote sawa (Yote sawa)
[03:12.84]
[00:26.78] Walopita zamani mpenzi
[00:33.18] Ooh niamini mwendo uwe sare
[00:37.36] Usije nicha njiani mpenzi
[00:43.87] Kule niliona mazito
[00:48.77] Penzi lilikuwaga la mpito
[00:54.43] Kulalama kulichosha koo
[00:59.92] Ila nashukuru ilinikomaza roho
[01:04.76] Licha ya kuitoa mchangani
[01:06.94] Sikuacha kujipa imani
[01:09.98] Japo mengi yalinikata maini
[01:12.55] Nikaliwazua na msondona
[01:15.40] Uzuri haupotei ramani
[01:17.72] Ubaya hauvaishwi miwani
[01:19.98] Nikachoka madongo ya gizani
[01:24.64] Na mateso ya Sodoma
[01:26.19] Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
[01:30.96] Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
[01:36.23] Yote sawa, wouuh
[01:41.07] Yote sawa (Yote sawa)
[01:55.77] Tafsiri ya penzi sio kitanda tu
[01:59.75] Ina mengi juu yake ni mapenzi
[02:06.97] Sio kama sioni na sio ushamba boo
[02:10.77] Kuna wengi niwafuate
[02:16.46] Nilijaribu nilipoweza kufanya
[02:20.16] Haikuonekana kwangu ikawa aibu
[02:23.52] Kunichombeza kwa sana kumbe ananidanganya
[02:28.19] Licha ya kuitoa mchangani
[02:30.93] Sikuacha kujipa imani
[02:33.05] Japo mengi yalinikata maini
[02:35.25] Nikaliwazua na msondona
[02:38.59] Uzuri haupotei ramani
[02:41.04] Ubaya hauvaishwi miwani
[02:43.13] Nikachoka madongo ya gizani
[02:45.95] Na mateso ya Sodoma
[02:49.21] Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
[02:54.28] Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
[02:58.27] Yote sawa, wouuh
[02:58.92] Yote sawa (Yote sawa)
[03:12.84]