Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Lifestyle

๐Ÿ‘ค Bien feat. Scar Mkadinali โ€ข ๐ŸŽผ Alusa Why Are You Topless? โ€ข โฑ๏ธ 3:10
๐ŸŽต 2155 characters
โฑ๏ธ 3:10 duration
๐Ÿ†” ID: 5617725

๐Ÿ“œ Lyrics

Bien ft Scar Mkadinali โ€“ Lifestyle

Kipara bila pesa kidonda
Cheki dem yako anakutoka
Wananiitanga Maradona
Ju mi huwakata nikisonga
Usipandishe mrembo bodaboda
Hio ndo siku ya mwisho utamuona
Usiniulize ka niligonga
Niulize vile niliona
Aii aki ya mama nasare dry fry
Ya kupigana bila mundai
Vidole mbili weka peace sign
Hizo zingine weka inside
You know I pull up like a G
Shore ameweza she is a freak
Hakunanga kitu ya free
Nagusa nione ka ni real
Lifestyle
You know they love me for the, lifestyle
Niite illuminati kumbe, lifestyle
We unasema ni bangi kumbe, lifestyle
Top G mi ndio big propeller, lifestyle
Haga biggy imejaa kwa dera, lifestyle
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
Maisha fiti na marafiki tunaungua
Na si cheating kama wifey anajua
Mziki hailipi basi vipi nina ganji
Mshikaji keti uone vile kwa mic nachafua
Kikulacho ndo hio japo imakusumbua
Tunajua ni bidii yako ukimuanika tunaanua
Bidii jasho ndo hio dinga utanunua
Otherwise piga na ikikuuma unaeza zua
Twende lifestyle kuna wenye inawawasha
Last time tulikataa kuperform Naivasha
Ndani ya 110 ninawapita ka za Nascar
Nilikuwanga wanted lakini sai wananitaka

Huh, si ni funny huh
Vile hitsong imefanya msupa atake nizalia
Swali kubwa mi najiuliza mi ni chali ya?
Siwezi sema ju ni hali ya (Lifestyle)
Na sipendi mapicha (Lifestyle)
Ngwai bila filter (Lifestyle)
Power man inaficha (Lifestyle)
Damn mi huwanga mziza (Lifestyle)
Kila label kila teaser (Lifestyle)
Na sipendi mapicha (Lifestyle)
Maandamano, maandamano
Wamepandisha bei ya avacado
Cheki ka imeiva finya ka piano
Promoter hapana leta zogo kabla show nilipe full price
Hapa duniani niko na one life
Mzinga lazima kwanza baptise
Kwa nyong'inyo niko na half life
You know I pull up like a G
Shore ameweza she is a freak
Hakunanga kitu ya free
Nagusa nione ka ni real
Lifestyle
You know they love me for the, lifestyle
Niite illuminati kumbe, lifestyle
We unasema ni bangi kumbe, lifestyle
Top G mi ndio big propeller, lifestyle
Haga biggy imejaa kwa dera, lifestyle
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:05.81] Bien ft Scar Mkadinali โ€“ Lifestyle
[00:07.45] Kipara bila pesa kidonda
[00:09.87]
[00:12.14] Cheki dem yako anakutoka
[00:14.68] Wananiitanga Maradona
[00:16.95] Ju mi huwakata nikisonga
[00:19.90] Usipandishe mrembo bodaboda
[00:22.12] Hio ndo siku ya mwisho utamuona
[00:24.78] Usiniulize ka niligonga
[00:27.23] Niulize vile niliona
[00:30.38] Aii aki ya mama nasare dry fry
[00:32.55] Ya kupigana bila mundai
[00:35.14] Vidole mbili weka peace sign
[00:37.57] Hizo zingine weka inside
[00:39.97] You know I pull up like a G
[00:42.75] Shore ameweza she is a freak
[00:45.46] Hakunanga kitu ya free
[00:47.86] Nagusa nione ka ni real
[00:50.85] Lifestyle
[00:52.86] You know they love me for the, lifestyle
[00:54.92] Niite illuminati kumbe, lifestyle
[00:57.19] We unasema ni bangi kumbe, lifestyle
[01:00.13] Top G mi ndio big propeller, lifestyle
[01:02.45] Haga biggy imejaa kwa dera, lifestyle
[01:05.14] Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
[01:07.79] Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
[01:11.43] Maisha fiti na marafiki tunaungua
[01:15.42] Na si cheating kama wifey anajua
[01:18.04] Mziki hailipi basi vipi nina ganji
[01:20.70] Mshikaji keti uone vile kwa mic nachafua
[01:22.98] Kikulacho ndo hio japo imakusumbua
[01:25.77] Tunajua ni bidii yako ukimuanika tunaanua
[01:28.22] Bidii jasho ndo hio dinga utanunua
[01:30.33] Otherwise piga na ikikuuma unaeza zua
[01:33.22] Twende lifestyle kuna wenye inawawasha
[01:36.21] Last time tulikataa kuperform Naivasha
[01:38.69] Ndani ya 110 ninawapita ka za Nascar
[01:41.01] Nilikuwanga wanted lakini sai wananitaka
[01:43.93] Huh, si ni funny huh
[01:46.17] Vile hitsong imefanya msupa atake nizalia
[01:48.75] Swali kubwa mi najiuliza mi ni chali ya?
[01:51.72] Siwezi sema ju ni hali ya (Lifestyle)
[01:54.22] Na sipendi mapicha (Lifestyle)
[01:56.88] Ngwai bila filter (Lifestyle)
[01:59.49] Power man inaficha (Lifestyle)
[02:01.80] Damn mi huwanga mziza (Lifestyle)
[02:04.43] Kila label kila teaser (Lifestyle)
[02:08.16] Na sipendi mapicha (Lifestyle)
[02:12.16] Maandamano, maandamano
[02:17.39] Wamepandisha bei ya avacado
[02:20.12] Cheki ka imeiva finya ka piano
[02:22.28] Promoter hapana leta zogo kabla show nilipe full price
[02:25.98] Hapa duniani niko na one life
[02:29.06] Mzinga lazima kwanza baptise
[02:31.53] Kwa nyong'inyo niko na half life
[02:34.33] You know I pull up like a G
[02:36.74] Shore ameweza she is a freak
[02:39.57] Hakunanga kitu ya free
[02:41.95] Nagusa nione ka ni real
[02:44.59] Lifestyle
[02:46.68] You know they love me for the, lifestyle
[02:48.63] Niite illuminati kumbe, lifestyle
[02:50.96] We unasema ni bangi kumbe, lifestyle
[02:53.80] Top G mi ndio big propeller, lifestyle
[02:56.27] Haga biggy imejaa kwa dera, lifestyle
[02:58.68] Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
[03:01.71] Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
[03:02.36]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings