Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Bado

๐Ÿ‘ค CARTOON47 feat. Rekless & Aritah Music โ€ข ๐ŸŽผ Bado โ€ข โฑ๏ธ 3:22
๐ŸŽต 1799 characters
โฑ๏ธ 3:22 duration
๐Ÿ†” ID: 5667422

๐Ÿ“œ Lyrics

Okay Yoh Cartoon, Arita Music
Rekles, na tuko on the
(It's Jegede on the Beat)

Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado)
Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)
Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado)
Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)

Cheki mi sijichochi mnanijua
Nani ananitambua
Unadai nini bro chukua
Nani ndo ananunua

Wakipewa wapewe wote
Si chai nasema pombe
We naye unakaa ka ng'ombe
Niko maji buda pole
Nilikuita form ukachelewa
Sai ona mi nastagger
Mi nastagger ju nimelewa

Niko niko maji watanimiss
Mi husele daily
Cheki hakuna siku naeza miss
Mi hukata daily lazima jo nibleki

Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado)
Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)
Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado)
Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)

Hot like fire, man a bad gyal we a enter the room
Loving the music boom boom boom
You like the smell on my sweet perfume
Your bills on me tonight, drinks on me tonight

Feeling happy tuko party kata maji
Mbona hujalewa baby
Shakara for me, sherehe ndo hii
Shakara for me, sherehe ndio hii

Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado)
Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)
Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado)
Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)

Waiter leta kwanza, leta kwanza glass
Waiter waiter nishapanda class
Staki Guarana na niko kwa bar
Sipendi kuchana na madada
Leo mi ndio sos seti ganji kibao
Nafunga kikosi kwa beach mabao
Wife ndio kubonga na mi baba yao

(Baby usikam home umelewa
Tena usikam home kama umechelewa)

Na leo niko maji sijui nifanyaje
Ebu kwanza tupige stori
Nina wife lakini usiworry
Cheza chini cheza chini ndio lugha
Si unajua wife home kuvuruga

Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado)
Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)
Mbona umelewa? (Bado), Eti hujalewa (Bado)
Naona umelewa, pombe ushapewa (Bado)

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings