Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mchepuko (feat. Phina)

๐Ÿ‘ค Rayvanny feat. Phina โ€ข ๐ŸŽผ Flowers III โ€ข โฑ๏ธ 3:24
๐ŸŽต 1487 characters
โฑ๏ธ 3:24 duration
๐Ÿ†” ID: 5750052

๐Ÿ“œ Lyrics

Mtoto wa kike punguza sifa
Unavyojituma hadi unatoa mishipa
Wana ni wangu ila unavyojipandisha
Viuno ni vingi chunga isije katika
Hujui kama tuko kwenye ndoa
Au umepanga kunikomoa
Unavyomganda hadi unaboa
Na una waganga kila mkoa
Anakusifia kiuno
Na unavyotoa miguno
Wake mfano sugunyo
Hadi unasahau kurudi nyumbani
Una mafuta na asali
Ukipandaga hushuki una hatari
Uvunguni juu ya dari
Leo nimekufuma hii show utakubali
Mchepuko we mchepuko we
Mchepuko niachie baby wangu
Mchepuko we mchepuko we
Mchepuko hebu muache
Mume wangu
Sa nisikilize bibi koma
Simu za usiku zimezidu koma
Unajifanya Beyonce wa kijiji koma
Eti una viuno vya Shakira koma
Hujui unanitia hasira eeeh
Ntakukata shingo
Baby hasira hasara
Usikunje ngumi acha kuchimba mikwara
Huyu anaitwa Sara
Mtoto wa dada kutoka Mbezi Kimara
Basi punguza papara
Viwembe vya nini umnyoe mwenzio kipara
Wanawake wawili msala
Nimejua ninu kilimshinda Manara
Iiih si wanaume
Sio wasaliti mnatusingizia
Si wanaume eeeh
Si wanaume eeeh
Ni vishawishi ndo vinatuzingua
Baby acha basi minuno
Unataka vunja mtu kiuno
Kuchwa visa sio mfumo
Usije kuua uende gerezani
Umechafukwa una makali
Mama usinimwagie tindikali
Hiyo bunduki ni hatari
Ona mtoto wa kike huogopi serikali
Mchepuko we mchepuko we
Mchepuko niachie baby wangu
Mchepuko we mchepuko we
Mchepuko hebu muache
Mume wangu
Sa nisikilize bibi koma
Simu za usiku zimezidu koma
Unajifanya Beyonce wa kijiji koma
Eti una viuno vya Shakira koma
Hujui unanitia hasira eeeh
Ntakukata shingo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:12.40] Mtoto wa kike punguza sifa
[00:15.45] Unavyojituma hadi unatoa mishipa
[00:18.15] Wana ni wangu ila unavyojipandisha
[00:21.05] Viuno ni vingi chunga isije katika
[00:24.24] Hujui kama tuko kwenye ndoa
[00:27.04] Au umepanga kunikomoa
[00:30.68] Unavyomganda hadi unaboa
[00:34.05] Na una waganga kila mkoa
[00:37.02] Anakusifia kiuno
[00:39.87] Na unavyotoa miguno
[00:43.92] Wake mfano sugunyo
[00:46.92] Hadi unasahau kurudi nyumbani
[00:50.24] Una mafuta na asali
[00:54.17] Ukipandaga hushuki una hatari
[00:57.48] Uvunguni juu ya dari
[01:00.80] Leo nimekufuma hii show utakubali
[01:03.58] Mchepuko we mchepuko we
[01:08.03] Mchepuko niachie baby wangu
[01:11.02] Mchepuko we mchepuko we
[01:15.79] Mchepuko hebu muache
[01:18.09] Mume wangu
[01:19.11] Sa nisikilize bibi koma
[01:20.31] Simu za usiku zimezidu koma
[01:23.06] Unajifanya Beyonce wa kijiji koma
[01:26.13] Eti una viuno vya Shakira koma
[01:29.27] Hujui unanitia hasira eeeh
[01:32.32] Ntakukata shingo
[01:34.15] Baby hasira hasara
[01:48.55] Usikunje ngumi acha kuchimba mikwara
[01:52.29] Huyu anaitwa Sara
[01:54.87] Mtoto wa dada kutoka Mbezi Kimara
[01:58.87] Basi punguza papara
[02:01.37] Viwembe vya nini umnyoe mwenzio kipara
[02:04.86] Wanawake wawili msala
[02:08.03] Nimejua ninu kilimshinda Manara
[02:10.21] Iiih si wanaume
[02:13.65] Sio wasaliti mnatusingizia
[02:18.74] Si wanaume eeeh
[02:20.69] Si wanaume eeeh
[02:22.46] Ni vishawishi ndo vinatuzingua
[02:25.50] Baby acha basi minuno
[02:27.03] Unataka vunja mtu kiuno
[02:29.88] Kuchwa visa sio mfumo
[02:33.24] Usije kuua uende gerezani
[02:37.28] Umechafukwa una makali
[02:41.35] Mama usinimwagie tindikali
[02:44.34] Hiyo bunduki ni hatari
[02:47.77] Ona mtoto wa kike huogopi serikali
[02:51.07] Mchepuko we mchepuko we
[02:54.65] Mchepuko niachie baby wangu
[02:58.06] Mchepuko we mchepuko we
[03:01.47] Mchepuko hebu muache
[03:02.85] Mume wangu
[03:04.67] Sa nisikilize bibi koma
[03:06.72] Simu za usiku zimezidu koma
[03:09.99] Unajifanya Beyonce wa kijiji koma
[03:12.93] Eti una viuno vya Shakira koma
[03:16.45] Hujui unanitia hasira eeeh
[03:19.24] Ntakukata shingo
[03:20.79]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings