Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mwenyewe

๐Ÿ‘ค Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Made For Us โ€ข โฑ๏ธ 3:50
๐ŸŽต 1817 characters
โฑ๏ธ 3:50 duration
๐Ÿ†” ID: 5888365

๐Ÿ“œ Lyrics

Cough
Yao yaoo
Mmmh mmmh mmmh
Alrighty

Tisini na nne march fifteen
Beginning of my world
Nilipozaliwa nikadondoka chini
Hakukua na kitanda kwa ward

Basi mgongo wa mama nikaufanya godoro
Na kilichonikuza mihogo na viporo
Nilipelekwa shule ila bado nikawa mtoro
Kingereza nilichokalili labda tomorrow ama today

Zikafika time ya kubalehe
Nikayajua mapenzi nikagundua bila pesa siyawezi
Ni ujinga

Nikadondokea umachinga
Hapakuchi panakucha siku zikasogea
Pruuh mpka dar es salaama nikaanza jitegemea
Nyumbani baba na mama wakiniombea

Mwanetu nenda salama na ukipata rejea
Mmh na ukipata
Hapo akili ndo ikaanza kukomaa
Na nikajuta kwanini sikusomaa

Jinsi jua la utosi linavyochoma
Na usiku baridi ikanipa homa nusu inuchukue uhai mmmh
Mi nimepitia mengi ndo mana sio mshamba wa helaa
Kwa ajili ya vitu vidogo sigombani na maselaa

We kubali kudharauliwa
Kukataliwa
Kupata majaliwa
Kula kinacholiwa(mwenyewe)

Raha jipe mwenyewe
Basi kamata chupa fungua na mimina(mwenyewe)
Raha jipe mwenyewe
Lewa tukuone unavyocheza kichina(mwenyewe)

Raha jipe mwenyewe
Anaekupenda zaidi ni wewe(mwenyewe)
Raha jipe mwenyewe
Ata anaekujua zaidi ni wewe(mwenyewe)

Raha jipe mwenyewe
Masikini na wanawe tajiri na mali zake
Asie na shida nawe mwache aende zake
Usibweteke na ulicho nacho

Pia usiteseke kwa walicho nacho
Riziki mafungu saba pengine leo zamu ya sita
Kaza moyo epusha roho yakusita
We umezaliwa peke yako

Utakufa peke yako
Na utazikwa peke yako
So usiwaeleze shida zako
Ukidhani ndugu zako kumbe ndo wabaya wako
Wee komaaa(mwenyewe)

Raha jipe mwenyewe
Basi kamata chupa fungua na mimina(mwenyewe)
Raha jipe mwenyewe
Lewa tukuone unavyocheza kichina(mwenyewe)

Raha jipe mwenyewe
Anaekupenda zaidi ni wewe(mwenyewe)
Raha jipe mwenyewe
Ata anaekujua zaidi ni wewe(mwenyewe)

Raha jipe mwenyewe
Cough
Alrighty
Yaoo yaoo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.10] Cough
[00:04.82] Yao yaoo
[00:07.95] Mmmh mmmh mmmh
[00:17.70] Alrighty
[00:18.95] Tisini na nne march fifteen
[00:21.03] Beginning of my world
[00:22.88] Nilipozaliwa nikadondoka chini
[00:26.62] Hakukua na kitanda kwa ward
[00:30.23] Basi mgongo wa mama nikaufanya godoro
[00:34.02] Na kilichonikuza mihogo na viporo
[00:37.24] Nilipelekwa shule ila bado nikawa mtoro
[00:40.31] Kingereza nilichokalili labda tomorrow ama today
[00:46.05] Zikafika time ya kubalehe
[00:47.78] Nikayajua mapenzi nikagundua bila pesa siyawezi
[00:52.50] Ni ujinga
[00:55.18] Nikadondokea umachinga
[00:57.68] Hapakuchi panakucha siku zikasogea
[01:00.16] Pruuh mpka dar es salaama nikaanza jitegemea
[01:03.15] Nyumbani baba na mama wakiniombea
[01:06.40] Mwanetu nenda salama na ukipata rejea
[01:09.75] Mmh na ukipata
[01:12.71] Hapo akili ndo ikaanza kukomaa
[01:15.30] Na nikajuta kwanini sikusomaa
[01:18.55] Jinsi jua la utosi linavyochoma
[01:21.62] Na usiku baridi ikanipa homa nusu inuchukue uhai mmmh
[01:28.52] Mi nimepitia mengi ndo mana sio mshamba wa helaa
[01:34.85] Kwa ajili ya vitu vidogo sigombani na maselaa
[01:41.49] We kubali kudharauliwa
[01:43.94] Kukataliwa
[01:45.68] Kupata majaliwa
[01:46.95] Kula kinacholiwa(mwenyewe)
[01:50.54] Raha jipe mwenyewe
[01:51.69] Basi kamata chupa fungua na mimina(mwenyewe)
[01:56.30] Raha jipe mwenyewe
[01:58.86] Lewa tukuone unavyocheza kichina(mwenyewe)
[02:02.85] Raha jipe mwenyewe
[02:05.12] Anaekupenda zaidi ni wewe(mwenyewe)
[02:09.13] Raha jipe mwenyewe
[02:11.27] Ata anaekujua zaidi ni wewe(mwenyewe)
[02:15.55] Raha jipe mwenyewe
[02:23.15] Masikini na wanawe tajiri na mali zake
[02:26.71] Asie na shida nawe mwache aende zake
[02:29.97] Usibweteke na ulicho nacho
[02:32.90] Pia usiteseke kwa walicho nacho
[02:35.10] Riziki mafungu saba pengine leo zamu ya sita
[02:39.06] Kaza moyo epusha roho yakusita
[02:42.38] We umezaliwa peke yako
[02:44.58] Utakufa peke yako
[02:45.72] Na utazikwa peke yako
[02:49.12] So usiwaeleze shida zako
[02:51.28] Ukidhani ndugu zako kumbe ndo wabaya wako
[02:54.66] Wee komaaa(mwenyewe)
[02:57.74] Raha jipe mwenyewe
[02:59.56] Basi kamata chupa fungua na mimina(mwenyewe)
[03:04.01] Raha jipe mwenyewe
[03:04.97] Lewa tukuone unavyocheza kichina(mwenyewe)
[03:10.09] Raha jipe mwenyewe
[03:12.76] Anaekupenda zaidi ni wewe(mwenyewe)
[03:16.56] Raha jipe mwenyewe
[03:18.74] Ata anaekujua zaidi ni wewe(mwenyewe)
[03:23.34] Raha jipe mwenyewe
[03:25.70] Cough
[03:27.49] Alrighty
[03:29.94] Yaoo yaoo
[03:40.29]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings