Utanikumbuka
๐ต 1924 characters
โฑ๏ธ 4:07 duration
๐ ID: 5888368
๐ Lyrics
Big Boy On The Beat
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Natamani kuimba
Pengine ukasikia
Maneno yangu ya mwisho
Ila sauti ndo inagoma
Yani kama inakwaruza
Huruma
Ukinitazama machoni yamevimba
Nimekesha nalia
Na sijui lini mwisho
Mwili wa joto na homa
Yani mpaka naunguza
Mapenzi hayana dhihaki
Mwenzako nishawaza hadi faraki
Ama niende kortini nikashitaki
Kwamba unadhulumu furaha yangu
Mdomoni una maji we samaki
Sa mbona hata kusema hutaki
Ama ndo unataka sitaki
Ina maana huzioni jitihada zangu
Pengine donda nililokupa
Limefuta upendo unajaribu kujilazimisha
Mengine unafanya kuniridhisha
Mwili umekonda umebaki mifupa
Kulilia upendo basi moyo rudisha
Kama umenisamehe na yameisha kinyonge
Ninajiuliza bila majibu
Wapi ninapoharibu
Kila ninachojaribu
Hakikupendezi
Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi uta
Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
Na wasikiri kosa
Muda wote wanawaza kukuchezea
Hakuna wa kukuposa
Eeh eeh
Inaboa mapenzi yakishaisha
Licha ya kujitoa
Mwenzangu kumridhisha
Eti mara yupo bize yupo bize
Alipo hataki nimuulize
Anajua lazima iniumize
Imeandikwa samehe na usilipize
Huenda hata msamaha ulionipa ni kazi bure
Kama umeshindwa nifanya
Nijione kama yule Rajabu wa zamani
Rudi Ma unipe joto
Hili baridi kama Toronto
Si ulijiita Kurwa mi Doto na utanipa watoto
Sa mbona sikuoni
Ninajiuliza bila majibu
Wapi ninapoharibu
Kila ninachojaribu
Hakikupendezi
Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi uta
Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
Na wasikiri kosa
Muda wote wanawaza kukuchezea
Hakuna wa kukuposa
Eeh eeh
Konde Boy Call Me Number one, Bakhresa
Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
Na sikuombei mabaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
Ooh Mabaya
Na sitakusema vibaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
Uso umeumbwa na haya
Uncle Duke unipigie ukinikumbuka
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Ooh Aah
Ooh Aah Aaah
Natamani kuimba
Pengine ukasikia
Maneno yangu ya mwisho
Ila sauti ndo inagoma
Yani kama inakwaruza
Huruma
Ukinitazama machoni yamevimba
Nimekesha nalia
Na sijui lini mwisho
Mwili wa joto na homa
Yani mpaka naunguza
Mapenzi hayana dhihaki
Mwenzako nishawaza hadi faraki
Ama niende kortini nikashitaki
Kwamba unadhulumu furaha yangu
Mdomoni una maji we samaki
Sa mbona hata kusema hutaki
Ama ndo unataka sitaki
Ina maana huzioni jitihada zangu
Pengine donda nililokupa
Limefuta upendo unajaribu kujilazimisha
Mengine unafanya kuniridhisha
Mwili umekonda umebaki mifupa
Kulilia upendo basi moyo rudisha
Kama umenisamehe na yameisha kinyonge
Ninajiuliza bila majibu
Wapi ninapoharibu
Kila ninachojaribu
Hakikupendezi
Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi uta
Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
Na wasikiri kosa
Muda wote wanawaza kukuchezea
Hakuna wa kukuposa
Eeh eeh
Inaboa mapenzi yakishaisha
Licha ya kujitoa
Mwenzangu kumridhisha
Eti mara yupo bize yupo bize
Alipo hataki nimuulize
Anajua lazima iniumize
Imeandikwa samehe na usilipize
Huenda hata msamaha ulionipa ni kazi bure
Kama umeshindwa nifanya
Nijione kama yule Rajabu wa zamani
Rudi Ma unipe joto
Hili baridi kama Toronto
Si ulijiita Kurwa mi Doto na utanipa watoto
Sa mbona sikuoni
Ninajiuliza bila majibu
Wapi ninapoharibu
Kila ninachojaribu
Hakikupendezi
Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi uta
Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
Na wasikiri kosa
Muda wote wanawaza kukuchezea
Hakuna wa kukuposa
Eeh eeh
Konde Boy Call Me Number one, Bakhresa
Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
Na sikuombei mabaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
Ooh Mabaya
Na sitakusema vibaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
Uso umeumbwa na haya
Uncle Duke unipigie ukinikumbuka
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:08.15] Big Boy On The Beat
[00:09.74] Ooh Aah
[00:11.24] Ooh Aah Aaah
[00:12.39] Ooh Aah
[00:13.44] Ooh Aah Aaah
[00:15.01] Ooh Aah
[00:15.87] Ooh Aah Aaah
[00:19.92] Ooh Aah
[00:20.73] Ooh Aah Aaah
[00:22.35] Ooh Aah
[00:23.47] Ooh Aah Aaah
[00:24.77] Ooh Aah
[00:25.70] Ooh Aah Aaah
[00:28.58] Natamani kuimba
[00:30.72] Pengine ukasikia
[00:33.23] Maneno yangu ya mwisho
[00:35.68] Ila sauti ndo inagoma
[00:37.89] Yani kama inakwaruza
[00:45.60] Huruma
[00:47.31] Ukinitazama machoni yamevimba
[00:50.36] Nimekesha nalia
[00:52.53] Na sijui lini mwisho
[00:55.37] Mwili wa joto na homa
[00:57.23] Yani mpaka naunguza
[01:07.86] Mapenzi hayana dhihaki
[01:10.45] Mwenzako nishawaza hadi faraki
[01:12.78] Ama niende kortini nikashitaki
[01:15.37] Kwamba unadhulumu furaha yangu
[01:17.87] Mdomoni una maji we samaki
[01:20.48] Sa mbona hata kusema hutaki
[01:22.97] Ama ndo unataka sitaki
[01:24.92] Ina maana huzioni jitihada zangu
[01:28.61] Pengine donda nililokupa
[01:30.56] Limefuta upendo unajaribu kujilazimisha
[01:33.84] Mengine unafanya kuniridhisha
[01:37.69] Mwili umekonda umebaki mifupa
[01:40.36] Kulilia upendo basi moyo rudisha
[01:45.70] Kama umenisamehe na yameisha kinyonge
[01:49.62] Ninajiuliza bila majibu
[01:53.08] Wapi ninapoharibu
[01:55.43] Kila ninachojaribu
[01:57.58] Hakikupendezi
[01:59.45] Utanikumbuka mpenzi uta
[02:03.34] Utanikumbuka mpenzi uta
[02:08.88] Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
[02:12.37] Na wasikiri kosa
[02:14.15] Muda wote wanawaza kukuchezea
[02:17.06] Hakuna wa kukuposa
[02:19.17] Eeh eeh
[02:27.56] Inaboa mapenzi yakishaisha
[02:32.26] Licha ya kujitoa
[02:35.02] Mwenzangu kumridhisha
[02:37.19] Eti mara yupo bize yupo bize
[02:40.34] Alipo hataki nimuulize
[02:42.56] Anajua lazima iniumize
[02:45.04] Imeandikwa samehe na usilipize
[02:47.88] Huenda hata msamaha ulionipa ni kazi bure
[02:52.53] Kama umeshindwa nifanya
[02:54.42] Nijione kama yule Rajabu wa zamani
[02:58.04] Rudi Ma unipe joto
[03:00.30] Hili baridi kama Toronto
[03:02.88] Si ulijiita Kurwa mi Doto na utanipa watoto
[03:06.28] Sa mbona sikuoni
[03:08.32] Ninajiuliza bila majibu
[03:11.34] Wapi ninapoharibu
[03:13.52] Kila ninachojaribu
[03:15.92] Hakikupendezi
[03:17.80] Utanikumbuka mpenzi uta
[03:22.11] Utanikumbuka mpenzi uta
[03:27.84] Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
[03:30.67] Na wasikiri kosa
[03:32.65] Muda wote wanawaza kukuchezea
[03:33.93] Hakuna wa kukuposa
[03:35.93] Eeh eeh
[03:41.68] Konde Boy Call Me Number one, Bakhresa
[03:44.99] Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
[03:49.51] Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
[03:53.13] Na sikuombei mabaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
[03:56.07] Ooh Mabaya
[03:58.16] Na sitakusema vibaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
[04:00.60] Uso umeumbwa na haya
[04:02.32] Uncle Duke unipigie ukinikumbuka
[04:06.58]
[00:09.74] Ooh Aah
[00:11.24] Ooh Aah Aaah
[00:12.39] Ooh Aah
[00:13.44] Ooh Aah Aaah
[00:15.01] Ooh Aah
[00:15.87] Ooh Aah Aaah
[00:19.92] Ooh Aah
[00:20.73] Ooh Aah Aaah
[00:22.35] Ooh Aah
[00:23.47] Ooh Aah Aaah
[00:24.77] Ooh Aah
[00:25.70] Ooh Aah Aaah
[00:28.58] Natamani kuimba
[00:30.72] Pengine ukasikia
[00:33.23] Maneno yangu ya mwisho
[00:35.68] Ila sauti ndo inagoma
[00:37.89] Yani kama inakwaruza
[00:45.60] Huruma
[00:47.31] Ukinitazama machoni yamevimba
[00:50.36] Nimekesha nalia
[00:52.53] Na sijui lini mwisho
[00:55.37] Mwili wa joto na homa
[00:57.23] Yani mpaka naunguza
[01:07.86] Mapenzi hayana dhihaki
[01:10.45] Mwenzako nishawaza hadi faraki
[01:12.78] Ama niende kortini nikashitaki
[01:15.37] Kwamba unadhulumu furaha yangu
[01:17.87] Mdomoni una maji we samaki
[01:20.48] Sa mbona hata kusema hutaki
[01:22.97] Ama ndo unataka sitaki
[01:24.92] Ina maana huzioni jitihada zangu
[01:28.61] Pengine donda nililokupa
[01:30.56] Limefuta upendo unajaribu kujilazimisha
[01:33.84] Mengine unafanya kuniridhisha
[01:37.69] Mwili umekonda umebaki mifupa
[01:40.36] Kulilia upendo basi moyo rudisha
[01:45.70] Kama umenisamehe na yameisha kinyonge
[01:49.62] Ninajiuliza bila majibu
[01:53.08] Wapi ninapoharibu
[01:55.43] Kila ninachojaribu
[01:57.58] Hakikupendezi
[01:59.45] Utanikumbuka mpenzi uta
[02:03.34] Utanikumbuka mpenzi uta
[02:08.88] Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
[02:12.37] Na wasikiri kosa
[02:14.15] Muda wote wanawaza kukuchezea
[02:17.06] Hakuna wa kukuposa
[02:19.17] Eeh eeh
[02:27.56] Inaboa mapenzi yakishaisha
[02:32.26] Licha ya kujitoa
[02:35.02] Mwenzangu kumridhisha
[02:37.19] Eti mara yupo bize yupo bize
[02:40.34] Alipo hataki nimuulize
[02:42.56] Anajua lazima iniumize
[02:45.04] Imeandikwa samehe na usilipize
[02:47.88] Huenda hata msamaha ulionipa ni kazi bure
[02:52.53] Kama umeshindwa nifanya
[02:54.42] Nijione kama yule Rajabu wa zamani
[02:58.04] Rudi Ma unipe joto
[03:00.30] Hili baridi kama Toronto
[03:02.88] Si ulijiita Kurwa mi Doto na utanipa watoto
[03:06.28] Sa mbona sikuoni
[03:08.32] Ninajiuliza bila majibu
[03:11.34] Wapi ninapoharibu
[03:13.52] Kila ninachojaribu
[03:15.92] Hakikupendezi
[03:17.80] Utanikumbuka mpenzi uta
[03:22.11] Utanikumbuka mpenzi uta
[03:27.84] Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
[03:30.67] Na wasikiri kosa
[03:32.65] Muda wote wanawaza kukuchezea
[03:33.93] Hakuna wa kukuposa
[03:35.93] Eeh eeh
[03:41.68] Konde Boy Call Me Number one, Bakhresa
[03:44.99] Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
[03:49.51] Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
[03:53.13] Na sikuombei mabaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
[03:56.07] Ooh Mabaya
[03:58.16] Na sitakusema vibaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
[04:00.60] Uso umeumbwa na haya
[04:02.32] Uncle Duke unipigie ukinikumbuka
[04:06.58]