Amelowa
๐ต 1309 characters
โฑ๏ธ 2:59 duration
๐ ID: 5888381
๐ Lyrics
Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh
Binti wa makamo come closer na give me some more
Kama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumilia
Sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia
Ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza
Hivi ni kweli ama tunaigiza
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Uuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Uuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washamba
Jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau
Liduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilamba

Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Kwenye papara pupa nawona washamba

Na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:18.37] Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh
[00:22.53] Binti wa makamo come closer na give me some more
[00:27.68] Kama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumilia
[00:32.11] Sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia
[00:36.54] Ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza
[00:42.92] Hivi ni kweli ama tunaigiza
[00:46.61] Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
[00:51.16] Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
[00:55.46] Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
[00:59.75] Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
[01:04.81] Amelowa, amelowa amelowa na mvua
[01:09.47] Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
[01:13.52] Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
[01:18.49] Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
[01:24.45]
[01:33.63] Uuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
[01:37.72] Uuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washamba
[01:42.97] Jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau
[01:46.09] Liduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilamba
[01:52.40] Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
[01:56.51] Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
[02:00.42] Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
[02:07.32] Na nilipochuchumia maji yakatoka
[02:10.10] Amelowa, amelowa amelowa na mvua
[02:14.89] Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
[02:19.56] Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
[02:24.26] Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
[02:29.89]
[02:34.64] Ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
[02:39.01] Kwenye papara pupa nawona washamba
[02:43.67] Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
[02:49.91] Na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa
[02:53.19]