Usia
๐ต 1703 characters
โฑ๏ธ 3:14 duration
๐ ID: 5912683
๐ Lyrics
Mmmh mmh mh Bboy
Yeah! Watoto wangu nyie mimi baba yenu
Nina nguvu sana za kuua hata simba
Simba na makali yote
Akimuona tembo anachimba
Ila hainivimbishi kichwa
Nachapa kazi siendekezi majungu
Riziki anayegawa ni Mungu
Eti niende kwa mganga piga nyungu
Nimroge fulani awe pungua aah
Mungu akikupa kilema
Lazima atakupa na mwendo
Lipiza mabaya kwa wema
Kuna maisha bila upendo
Umdharau usiyemjua ni dhambi, dhambi
Mtangulize Mungu na dua popote kambi, kambi
Yeah, this life is a gamble
Basi jitahidi kuwa humble
Usimdharau mama wa kambo
Huenda alisha kusave kitambo
Husia, huu ni usia, usia wa tembo
Hii dunia tunapita
Huu ni usia, usia wa tembo
Usiendekeze vita
Huu ni usia, usia wa tembo
Usijione special special
Huu ni usia, usia wa tembo
Jua hauijui kesho kesho, kesho wowo
Ukikosa elimu bora
Sio mwisho wa maisha yako
Na kuishi chini ya dola
Wala hailkuwa matakwa yako
Cha mtu ni mavi
Achana nacho tafuta chako hata kichelewe
Uaw na meza amajamvi didhika na ulicho nacho
Omba kwa mungu upewe kingi
Usijione queen ama king
Na kukisifu akili nyingi
Kisa unamiliki shilingi, shilingi
Mmh! Punguza idadi ya maadui
Maana atakae kuzika humjui
Mmh! Mwambie huyo paka anaejiita chui
Acha kudandia bifu chanzo hukijui
Kumdharau usiemjua ni dhambi, dhambi
Mtangulize mungu na dua popote kambi, kambi
Yeah! This life is a gamble
Basi jatahidi kuwa humble
Usimdharau mama wa kambo
Huenda alishakusavu kitambo
Usia, huu ni usia, usia wa tembo
Hii dunia tunapita
Huu ni usia, usia wa tembo (oh woow)
Usiendekeze vita
Huu ni usia, usia wa tembo
Hakuna haja ya kutunishiana misuli
Huu ni usia, usia wa tembo
Dunia hakuna anaeijua vizuri zaidi ya mungu baba
Mungu baba baba baba
Usia wa tembo
Konde boy
Yeah! Watoto wangu nyie mimi baba yenu
Nina nguvu sana za kuua hata simba
Simba na makali yote
Akimuona tembo anachimba
Ila hainivimbishi kichwa
Nachapa kazi siendekezi majungu
Riziki anayegawa ni Mungu
Eti niende kwa mganga piga nyungu
Nimroge fulani awe pungua aah
Mungu akikupa kilema
Lazima atakupa na mwendo
Lipiza mabaya kwa wema
Kuna maisha bila upendo
Umdharau usiyemjua ni dhambi, dhambi
Mtangulize Mungu na dua popote kambi, kambi
Yeah, this life is a gamble
Basi jitahidi kuwa humble
Usimdharau mama wa kambo
Huenda alisha kusave kitambo
Husia, huu ni usia, usia wa tembo
Hii dunia tunapita
Huu ni usia, usia wa tembo
Usiendekeze vita
Huu ni usia, usia wa tembo
Usijione special special
Huu ni usia, usia wa tembo
Jua hauijui kesho kesho, kesho wowo
Ukikosa elimu bora
Sio mwisho wa maisha yako
Na kuishi chini ya dola
Wala hailkuwa matakwa yako
Cha mtu ni mavi
Achana nacho tafuta chako hata kichelewe
Uaw na meza amajamvi didhika na ulicho nacho
Omba kwa mungu upewe kingi
Usijione queen ama king
Na kukisifu akili nyingi
Kisa unamiliki shilingi, shilingi
Mmh! Punguza idadi ya maadui
Maana atakae kuzika humjui
Mmh! Mwambie huyo paka anaejiita chui
Acha kudandia bifu chanzo hukijui
Kumdharau usiemjua ni dhambi, dhambi
Mtangulize mungu na dua popote kambi, kambi
Yeah! This life is a gamble
Basi jatahidi kuwa humble
Usimdharau mama wa kambo
Huenda alishakusavu kitambo
Usia, huu ni usia, usia wa tembo
Hii dunia tunapita
Huu ni usia, usia wa tembo (oh woow)
Usiendekeze vita
Huu ni usia, usia wa tembo
Hakuna haja ya kutunishiana misuli
Huu ni usia, usia wa tembo
Dunia hakuna anaeijua vizuri zaidi ya mungu baba
Mungu baba baba baba
Usia wa tembo
Konde boy
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:04.03] Mmmh mmh mh Bboy
[00:09.66] Yeah! Watoto wangu nyie mimi baba yenu
[00:15.36] Nina nguvu sana za kuua hata simba
[00:20.09] Simba na makali yote
[00:22.33] Akimuona tembo anachimba
[00:25.39] Ila hainivimbishi kichwa
[00:30.09] Nachapa kazi siendekezi majungu
[00:31.67] Riziki anayegawa ni Mungu
[00:34.63] Eti niende kwa mganga piga nyungu
[00:37.44] Nimroge fulani awe pungua aah
[00:39.75] Mungu akikupa kilema
[00:42.67] Lazima atakupa na mwendo
[00:45.35] Lipiza mabaya kwa wema
[00:47.99] Kuna maisha bila upendo
[00:50.18] Umdharau usiyemjua ni dhambi, dhambi
[00:55.53] Mtangulize Mungu na dua popote kambi, kambi
[00:59.46] Yeah, this life is a gamble
[01:03.51] Basi jitahidi kuwa humble
[01:05.47] Usimdharau mama wa kambo
[01:08.18] Huenda alisha kusave kitambo
[01:10.71] Husia, huu ni usia, usia wa tembo
[01:14.68] Hii dunia tunapita
[01:16.41] Huu ni usia, usia wa tembo
[01:19.25] Usiendekeze vita
[01:21.55] Huu ni usia, usia wa tembo
[01:24.25] Usijione special special
[01:26.17] Huu ni usia, usia wa tembo
[01:29.67] Jua hauijui kesho kesho, kesho wowo
[01:39.85] Ukikosa elimu bora
[01:42.07] Sio mwisho wa maisha yako
[01:44.38] Na kuishi chini ya dola
[01:47.19] Wala hailkuwa matakwa yako
[01:49.83] Cha mtu ni mavi
[01:51.23] Achana nacho tafuta chako hata kichelewe
[01:54.89] Uaw na meza amajamvi didhika na ulicho nacho
[01:57.96] Omba kwa mungu upewe kingi
[02:00.53] Usijione queen ama king
[02:03.68] Na kukisifu akili nyingi
[02:05.93] Kisa unamiliki shilingi, shilingi
[02:10.26] Mmh! Punguza idadi ya maadui
[02:14.00] Maana atakae kuzika humjui
[02:15.98] Mmh! Mwambie huyo paka anaejiita chui
[02:18.73] Acha kudandia bifu chanzo hukijui
[02:20.97] Kumdharau usiemjua ni dhambi, dhambi
[02:26.07] Mtangulize mungu na dua popote kambi, kambi
[02:31.31] Yeah! This life is a gamble
[02:33.89] Basi jatahidi kuwa humble
[02:36.53] Usimdharau mama wa kambo
[02:38.43] Huenda alishakusavu kitambo
[02:41.17] Usia, huu ni usia, usia wa tembo
[02:45.83] Hii dunia tunapita
[02:47.24] Huu ni usia, usia wa tembo (oh woow)
[02:50.54] Usiendekeze vita
[02:52.13] Huu ni usia, usia wa tembo
[02:55.60] Hakuna haja ya kutunishiana misuli
[02:57.40] Huu ni usia, usia wa tembo
[03:00.79] Dunia hakuna anaeijua vizuri zaidi ya mungu baba
[03:04.37] Mungu baba baba baba
[03:07.76] Usia wa tembo
[03:10.24] Konde boy
[03:11.75]
[00:09.66] Yeah! Watoto wangu nyie mimi baba yenu
[00:15.36] Nina nguvu sana za kuua hata simba
[00:20.09] Simba na makali yote
[00:22.33] Akimuona tembo anachimba
[00:25.39] Ila hainivimbishi kichwa
[00:30.09] Nachapa kazi siendekezi majungu
[00:31.67] Riziki anayegawa ni Mungu
[00:34.63] Eti niende kwa mganga piga nyungu
[00:37.44] Nimroge fulani awe pungua aah
[00:39.75] Mungu akikupa kilema
[00:42.67] Lazima atakupa na mwendo
[00:45.35] Lipiza mabaya kwa wema
[00:47.99] Kuna maisha bila upendo
[00:50.18] Umdharau usiyemjua ni dhambi, dhambi
[00:55.53] Mtangulize Mungu na dua popote kambi, kambi
[00:59.46] Yeah, this life is a gamble
[01:03.51] Basi jitahidi kuwa humble
[01:05.47] Usimdharau mama wa kambo
[01:08.18] Huenda alisha kusave kitambo
[01:10.71] Husia, huu ni usia, usia wa tembo
[01:14.68] Hii dunia tunapita
[01:16.41] Huu ni usia, usia wa tembo
[01:19.25] Usiendekeze vita
[01:21.55] Huu ni usia, usia wa tembo
[01:24.25] Usijione special special
[01:26.17] Huu ni usia, usia wa tembo
[01:29.67] Jua hauijui kesho kesho, kesho wowo
[01:39.85] Ukikosa elimu bora
[01:42.07] Sio mwisho wa maisha yako
[01:44.38] Na kuishi chini ya dola
[01:47.19] Wala hailkuwa matakwa yako
[01:49.83] Cha mtu ni mavi
[01:51.23] Achana nacho tafuta chako hata kichelewe
[01:54.89] Uaw na meza amajamvi didhika na ulicho nacho
[01:57.96] Omba kwa mungu upewe kingi
[02:00.53] Usijione queen ama king
[02:03.68] Na kukisifu akili nyingi
[02:05.93] Kisa unamiliki shilingi, shilingi
[02:10.26] Mmh! Punguza idadi ya maadui
[02:14.00] Maana atakae kuzika humjui
[02:15.98] Mmh! Mwambie huyo paka anaejiita chui
[02:18.73] Acha kudandia bifu chanzo hukijui
[02:20.97] Kumdharau usiemjua ni dhambi, dhambi
[02:26.07] Mtangulize mungu na dua popote kambi, kambi
[02:31.31] Yeah! This life is a gamble
[02:33.89] Basi jatahidi kuwa humble
[02:36.53] Usimdharau mama wa kambo
[02:38.43] Huenda alishakusavu kitambo
[02:41.17] Usia, huu ni usia, usia wa tembo
[02:45.83] Hii dunia tunapita
[02:47.24] Huu ni usia, usia wa tembo (oh woow)
[02:50.54] Usiendekeze vita
[02:52.13] Huu ni usia, usia wa tembo
[02:55.60] Hakuna haja ya kutunishiana misuli
[02:57.40] Huu ni usia, usia wa tembo
[03:00.79] Dunia hakuna anaeijua vizuri zaidi ya mungu baba
[03:04.37] Mungu baba baba baba
[03:07.76] Usia wa tembo
[03:10.24] Konde boy
[03:11.75]