Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mpaka Kesho

๐Ÿ‘ค Harmonize โ€ข ๐ŸŽผ Afro East โ€ข โฑ๏ธ 3:54
๐ŸŽต 1745 characters
โฑ๏ธ 3:54 duration
๐Ÿ†” ID: 5912705

๐Ÿ“œ Lyrics

Hello, Hello baby
Mmmh mmmh

Natamani niandike barua na niitume kwako
Ilanahisi hutaisomaa, utaikataa
Hata simu nitajisumbua, kupiga namba yako
Maana hata ukiiona utaikata

I wish yawe ndoto, haya ninayo yapitia
Ama nirudi utoto imenisonga dunia
Eti kurwa bila ndoto, hivi ni wapi ntaanzia?
Kulia bila kushoto, sijawai kusikia

Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)

Mpaka kesho, eeh eeh
Mpaka kesho, umeniganda mawazoni
Mpaka kesho, bado nakuwazaa
Mmh mmh eeh

Yaani mawazo kizunguzungu (Mpaka kesho)
Insta napaona pachungu (Mpaka kesho)
Mateso nihurumie, bado nakuwaza

Nishajaribu kudanga nipoteze mawazo
Huenda nitaenjoy
Kumbe najivua utu na heshima

Kwa watabibu waganga
Nijue nini chanzo, mwenzako nipo hoi
Ama nyota yangu butu, makali sina

Eeeh, zile nadhiri
Kwamba utaniweka moyoni zinajirudia
Mie ndio moja we mbili
Mbona sasa sikuoni, umenikimbia

Mie mwenzako ka sabuni kichelema
Siezi ata kupangusa ah ah
Jeraha la penzi nachechema
Sina furaha ata ya kunusa ah ah

Yaani umeniacha dillema
Siwezi kupanda kushusha ah ah
Yaani mapenzi vitaa, CCM na Chademaa
Firauni na Musa ah ah

Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)

Mpaka kesho, eeh eeh
Mpaka kesho, umeniganda mawazoni
Mpaka kesho, bado nakuwazaa
Mmh mmh eeh

Yaani mawazo kizunguzungu (Mpaka kesho)
Insta napaona pachungu (Mpaka kesho)
Mateso nihurumie, bado nakuwaza

Wa kumove on nitakuwa mie (Ooh siwezi)
Yaani ipite siku nisikufikirie (Ooh siwezi)
Kuku unfollow nitaweza mie? (Ooh siwezi)
Kwenye page yako nisichungulie eeh (Ooh siwezi)

(The Mix Killer)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.35] Hello, Hello baby
[00:16.19] Mmmh mmmh
[00:19.17] Natamani niandike barua na niitume kwako
[00:24.17] Ilanahisi hutaisomaa, utaikataa
[00:28.18] Hata simu nitajisumbua, kupiga namba yako
[00:31.53]
[00:33.56] Maana hata ukiiona utaikata
[00:38.32] I wish yawe ndoto, haya ninayo yapitia
[00:42.92] Ama nirudi utoto imenisonga dunia
[00:47.26] Eti kurwa bila ndoto, hivi ni wapi ntaanzia?
[00:52.05] Kulia bila kushoto, sijawai kusikia
[00:56.09] Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
[01:01.15] Maana ata usingizi sina (Sinaa)
[01:05.49] Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
[01:10.72] Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)
[01:14.49] Mpaka kesho, eeh eeh
[01:16.54] Mpaka kesho, umeniganda mawazoni
[01:19.28] Mpaka kesho, bado nakuwazaa
[01:21.95] Mmh mmh eeh
[01:24.03] Yaani mawazo kizunguzungu (Mpaka kesho)
[01:27.07] Insta napaona pachungu (Mpaka kesho)
[01:29.77] Mateso nihurumie, bado nakuwaza
[01:33.75] Nishajaribu kudanga nipoteze mawazo
[01:37.46] Huenda nitaenjoy
[01:38.86] Kumbe najivua utu na heshima
[01:43.45] Kwa watabibu waganga
[01:44.46] Nijue nini chanzo, mwenzako nipo hoi
[01:48.43] Ama nyota yangu butu, makali sina
[01:52.79] Eeeh, zile nadhiri
[01:55.13] Kwamba utaniweka moyoni zinajirudia
[02:00.02]
[02:02.45] Mie ndio moja we mbili
[02:04.84] Mbona sasa sikuoni, umenikimbia
[02:10.19] Mie mwenzako ka sabuni kichelema
[02:12.83] Siezi ata kupangusa ah ah
[02:15.72] Jeraha la penzi nachechema
[02:18.04] Sina furaha ata ya kunusa ah ah
[02:20.10] Yaani umeniacha dillema
[02:22.28] Siwezi kupanda kushusha ah ah
[02:24.38] Yaani mapenzi vitaa, CCM na Chademaa
[02:27.02] Firauni na Musa ah ah
[02:28.83] Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
[02:34.22] Maana ata usingizi sina (Sinaa)
[02:38.51] Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
[02:43.70] Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)
[02:47.62] Mpaka kesho, eeh eeh
[02:50.04] Mpaka kesho, umeniganda mawazoni
[02:52.17] Mpaka kesho, bado nakuwazaa
[02:54.85] Mmh mmh eeh
[02:56.93] Yaani mawazo kizunguzungu (Mpaka kesho)
[03:00.13] Insta napaona pachungu (Mpaka kesho)
[03:02.88] Mateso nihurumie, bado nakuwaza
[03:06.73]
[03:15.59] Wa kumove on nitakuwa mie (Ooh siwezi)
[03:20.01] Yaani ipite siku nisikufikirie (Ooh siwezi)
[03:25.14] Kuku unfollow nitaweza mie? (Ooh siwezi)
[03:29.67] Kwenye page yako nisichungulie eeh (Ooh siwezi)
[03:35.22]
[03:42.26] (The Mix Killer)
[03:47.83]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings