Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nenda Lote

๐Ÿ‘ค Sauti Sol โ€ข ๐ŸŽผ Midnight Train โ€ข โฑ๏ธ 4:24
๐ŸŽต 1268 characters
โฑ๏ธ 4:24 duration
๐Ÿ†” ID: 6119050

๐Ÿ“œ Lyrics

Umetuma wazazi wako waje wanielezee
Umetuma wazazi wako waje wanielezee
Hunitaki tena
Na mashoga zako waje waniambie
Na mashoga zako waje waniambie
Ndoa tumeivunja

Siamini kuna time singeishi bila wewe
Mapenzi ya kukata na shoka, eeh
Yashamwagika hayazoleki haya, oh
Basi nenda lote mama
Nenda lote mama

Mpenzi unaenda
Nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya, oh
Nenda lote mama

Ukatuma lawyer wako aje anisomee
Ukatuma lawyer wako aje anisomee
Kuwa watoto ulonizalia, eeh
Kuwa watoto ulonizalia, eeh
Sitawaona tena

Siamini kuna time tuliapa hadharani
Kanisani kwa chanda na pete, eeh
Yashamwagika hayazoleki haya, oh
Nenda lote mama
Nenda lote mama

Mpenzi unaenda
Nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya, oh
Nenda lote mama

Ukatuma pastor wako aje anikemee
Ukatuma pastor wako aje anikemee, mama
Na madeni zangu ukazitangaza, eeh (Ukazitangaza, eeh)
Na madeni zangu ukazitangaza, eeh
Mitandaoni

Shemeji zangu ndugu zako tukionana
Waambie sisi bado rafiki, eeh
Wasinipite barabarani, mama, oh
Umeenda lote mama
Umeenda lote mama

Mpenzi unaenda
Nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya, oh
Basi nenda lote mama
Nenda lote mama

Mpenzi unaenda
Nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya, oh
Nenda lote mama
Nenda lote mama

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:17.54] Umetuma wazazi wako waje wanielezee
[00:22.18] Umetuma wazazi wako waje wanielezee
[00:25.75] Hunitaki tena
[00:27.29] Na mashoga zako waje waniambie
[00:31.45] Na mashoga zako waje waniambie
[00:34.54] Ndoa tumeivunja
[00:37.54]
[00:45.09] Siamini kuna time singeishi bila wewe
[00:49.49] Mapenzi ya kukata na shoka, eeh
[00:53.66] Yashamwagika hayazoleki haya, oh
[00:57.75] Basi nenda lote mama
[01:02.42] Nenda lote mama
[01:04.13] Mpenzi unaenda
[01:07.77] Nilikuenzi kinomanoma
[01:11.85] Yashamwagika hayazoleki haya, oh
[01:16.05] Nenda lote mama
[01:19.76]
[01:29.91] Ukatuma lawyer wako aje anisomee
[01:34.27] Ukatuma lawyer wako aje anisomee
[01:39.11] Kuwa watoto ulonizalia, eeh
[01:43.59] Kuwa watoto ulonizalia, eeh
[01:47.06] Sitawaona tena
[01:53.77]
[01:57.08] Siamini kuna time tuliapa hadharani
[02:01.78] Kanisani kwa chanda na pete, eeh
[02:06.42] Yashamwagika hayazoleki haya, oh
[02:10.42] Nenda lote mama
[02:14.97] Nenda lote mama
[02:16.46] Mpenzi unaenda
[02:20.04] Nilikuenzi kinomanoma
[02:24.46] Yashamwagika hayazoleki haya, oh
[02:28.51] Nenda lote mama
[02:32.11]
[02:51.56] Ukatuma pastor wako aje anikemee
[02:56.08] Ukatuma pastor wako aje anikemee, mama
[03:00.97] Na madeni zangu ukazitangaza, eeh (Ukazitangaza, eeh)
[03:05.46] Na madeni zangu ukazitangaza, eeh
[03:09.04] Mitandaoni
[03:13.69]
[03:18.74] Shemeji zangu ndugu zako tukionana
[03:23.21] Waambie sisi bado rafiki, eeh
[03:28.08] Wasinipite barabarani, mama, oh
[03:31.75] Umeenda lote mama
[03:36.30] Umeenda lote mama
[03:38.03] Mpenzi unaenda
[03:41.68] Nilikuenzi kinomanoma
[03:45.82] Yashamwagika hayazoleki haya, oh
[03:49.87] Basi nenda lote mama
[03:54.66] Nenda lote mama
[03:56.16] Mpenzi unaenda
[03:59.73] Nilikuenzi kinomanoma
[04:04.15] Yashamwagika hayazoleki haya, oh
[04:08.04] Nenda lote mama
[04:12.63] Nenda lote mama
[04:15.13]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings