Set Me Free (Interlude)
๐ต 953 characters
โฑ๏ธ 2:32 duration
๐ ID: 6119058
๐ Lyrics
Ehh
Ehh
Ehh
Hivi bado nakumbuka, nikiwa kijana
Ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana
Na wasichana walinipenda, wengine walinikataa
Na hapa nilipoamka, sikulala jana
Napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana
Na masiri zilipasuka, wengi walizaana kwa sana
Na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani
Wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasaniii tuliponea (Eh!)
Naomba (naomba) nizidi kijana
Naomba (naomba) nizidi kijana
Naomba (naomba) nizidi kijana
Won't you set me free, nizidi kijana?
Kaja Facebook kaja Twitter, kaja pia na Instagram (Ooh)
Wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana
Na walitesa, tesa
Wazungu wanasemanga ati business and pleasure
Inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure
Wasanii tuliponea
Naomba (naomba) nizidi kijana
Naomba (naomba) nizidi kijana
Naomba (naomba) nizidi kijana
Won't you set me free, nizidi kijana?
Wait! Wait! Wait! (Oh my god)
I can't feel my legs, guys
(So...)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:35.43] Ehh
[00:36.28] Ehh
[00:36.75] Ehh
[00:37.34] Hivi bado nakumbuka, nikiwa kijana
[00:37.80] Ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana
[00:45.19] Na wasichana walinipenda, wengine walinikataa
[00:50.73] Na hapa nilipoamka, sikulala jana
[00:56.48] Napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana
[01:02.36] Na masiri zilipasuka, wengi walizaana kwa sana
[01:08.83] Na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani
[01:12.81] Wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasaniii tuliponea (Eh!)
[01:19.83] Naomba (naomba) nizidi kijana
[01:37.09] Naomba (naomba) nizidi kijana
[01:43.47] Naomba (naomba) nizidi kijana
[01:43.75] Won't you set me free, nizidi kijana?
[01:43.94] Kaja Facebook kaja Twitter, kaja pia na Instagram (Ooh)
[01:45.82] Wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana
[01:54.45] Na walitesa, tesa
[01:55.21] Wazungu wanasemanga ati business and pleasure
[01:57.98] Inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure
[01:58.96] Wasanii tuliponea
[02:02.78] Naomba (naomba) nizidi kijana
[02:03.25] Naomba (naomba) nizidi kijana
[02:13.99] Naomba (naomba) nizidi kijana
[02:14.72] Won't you set me free, nizidi kijana?
[02:18.46] Wait! Wait! Wait! (Oh my god)
[02:23.97] I can't feel my legs, guys
[02:24.12] (So...)
[02:28.46]