Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

JALI - Sanaipei Tande & Nyashinski (Official Video)

๐Ÿ‘ค Sanaipei Tande โ€ข ๐ŸŽผ Sanaipei Tande โ€ข โฑ๏ธ 3:28
๐ŸŽต 1786 characters
โฑ๏ธ 3:28 duration
๐Ÿ†” ID: 6604357

๐Ÿ“œ Lyrics

Like you care, like you care
Like you care (Ihaji made it)

Rangi ya mdomo kwenye shirt
Nina uhakika ile marashi sio yake
Bado yuaja kwangu kitandani
Akitaka tubanane

Receipt kila kitu mbili
Amejaa maalama kwenye mwili
Bado yuaja kwangu kitandani
Akitaka tubanane

Anamlale ana mlala na sio siri
Sio habari
Anamlale ana mlala wala hafichi
Sio habari

Niliambiwa akupendaye
Atakuchiti hadharani
Niliambiwa akupendaye
Hatakusitiri hadharani

Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali

Jali jali jali mmh
Jali jali jali mmh
Jali jali jali mmh
Jali jali jali mmh

Like you care, like you care
Like you care
I say like you care, like you care
Like you care

Hata saa ile sidanganyi unasema mi nadanganya
Utaskizaje maskio yako usazibana
Macho yako yanaona vitu na hakuna kitu unafanya
Hapo ndo tumefika

Nakuongelesha nikiona unaona niko guilty
Haimatter kitu nitasema, ndani ya roho inaumiza
Naskia wivu nikiona wale wanapenda
Bila kushughushushana vile inafaa

Vile unataka kufanya fanya leo leo
Ka napanda cheo cheo nipande ka nashuka
Basi nianze kutafuta stage ya maji
Jifanye ka una care pia utaniamini
Uone vile nakuchangeia mami

Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali

Jali jali jali mmh
Jali jali jali
Jali jali jali mmh
Jali jali jali

Like you care, like you care
Like you care
I say like you care, like you care
Like you care

Never let you down
Never will
Sanaipei na shin
Got your love, got your love

Anamlale ana mlala na sio siri
Sio habari
Anamlale ana mlala wala hafichi
Sio habari

Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali

Jali jali jali mmh
Jali jali jali
Jali jali jali mmh
Jali jali

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.56] Like you care, like you care
[00:03.78] Like you care (Ihaji made it)
[00:11.97] Rangi ya mdomo kwenye shirt
[00:14.06] Nina uhakika ile marashi sio yake
[00:17.67] Bado yuaja kwangu kitandani
[00:19.56] Akitaka tubanane
[00:22.92] Receipt kila kitu mbili
[00:24.91] Amejaa maalama kwenye mwili
[00:28.45] Bado yuaja kwangu kitandani
[00:30.34] Akitaka tubanane
[00:33.18] Anamlale ana mlala na sio siri
[00:37.16] Sio habari
[00:38.60] Anamlale ana mlala wala hafichi
[00:42.32] Sio habari
[00:43.98] Niliambiwa akupendaye
[00:46.63] Atakuchiti hadharani
[00:49.28] Niliambiwa akupendaye
[00:52.05] Hatakusitiri hadharani
[00:54.63] Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
[00:58.17] Kama wanijali
[01:00.37] Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
[01:03.75] Kama wanijali
[01:05.76] Jali jali jali mmh
[01:08.36] Jali jali jali mmh
[01:11.05] Jali jali jali mmh
[01:13.76] Jali jali jali mmh
[01:15.93] Like you care, like you care
[01:17.89] Like you care
[01:20.83] I say like you care, like you care
[01:22.95] Like you care
[01:26.34] Hata saa ile sidanganyi unasema mi nadanganya
[01:29.78] Utaskizaje maskio yako usazibana
[01:31.83] Macho yako yanaona vitu na hakuna kitu unafanya
[01:35.22] Hapo ndo tumefika
[01:36.64] Nakuongelesha nikiona unaona niko guilty
[01:38.70] Haimatter kitu nitasema, ndani ya roho inaumiza
[01:41.88] Naskia wivu nikiona wale wanapenda
[01:43.87] Bila kushughushushana vile inafaa
[01:47.02] Vile unataka kufanya fanya leo leo
[01:49.73] Ka napanda cheo cheo nipande ka nashuka
[01:52.12] Basi nianze kutafuta stage ya maji
[01:54.81] Jifanye ka una care pia utaniamini
[01:57.09] Uone vile nakuchangeia mami
[01:59.41] Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
[02:03.23] Kama wanijali
[02:05.27] Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
[02:08.55] Kama wanijali
[02:10.42] Jali jali jali mmh
[02:13.22] Jali jali jali
[02:15.88] Jali jali jali mmh
[02:18.39] Jali jali jali
[02:20.70] Like you care, like you care
[02:22.44] Like you care
[02:25.46] I say like you care, like you care
[02:27.67] Like you care
[02:36.59] Never let you down
[02:38.52] Never will
[02:39.68] Sanaipei na shin
[02:41.08] Got your love, got your love
[02:42.86] Anamlale ana mlala na sio siri
[02:46.83] Sio habari
[02:48.43] Anamlale ana mlala wala hafichi
[02:52.24] Sio habari
[02:53.77] Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
[02:57.05] Kama wanijali
[02:59.29] Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
[03:03.08] Kama wanijali
[03:04.73] Jali jali jali mmh
[03:07.26] Jali jali jali
[03:10.70] Jali jali jali mmh
[03:13.07] Jali jali
[03:15.98]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings