Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Diamond Platnumz-Kesho (Official Video)

๐Ÿ‘ค Diamond Platnumz โ€ข ๐ŸŽผ Diamond Platnumz โ€ข โฑ๏ธ 4:14
๐ŸŽต 1567 characters
โฑ๏ธ 4:14 duration
๐Ÿ†” ID: 6653177

๐Ÿ“œ Lyrics

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama

Kwanza kabisa ntanyonga Tai
T-shirt na Jeans ntatupa kidogo
Unite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo
Na ukifika uagize Chai
Savanna Takila uzipe kisogo
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeza ila za hekima Logo
Even though wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even though, wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama

Usilete swaga za Nainai
Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo
Eti shopping twende Thai
Wakati dadaangu ana duka kigogo
Ukikuta nguna usikatae
We zuga unapenda hata kama wa muhogo
Kuhusu kabila mbona sadai
Mama angu hana noma hata kama mgogo
Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke
Even though wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama

Mama yangu mama
Mama Naseeb mama
Mama Diamond mama
Mama yangu nyumbani
Mama Chali mama
Mama Sepetu mama
Mama Kidoti mama
Kwa mama Diamond nyumbani

Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani

Nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:27.33] Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
[00:31.31] Mi nataka kesho twende ukamuone mama
[00:35.65] Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
[00:39.82] Nataka kesho twende ukamuone mama
[00:43.88] Kwanza kabisa ntanyonga Tai
[00:46.81] T-shirt na Jeans ntatupa kidogo
[00:50.06] Unite Nasibu usiniite Dai
[00:51.38] Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo
[00:53.50] Na ukifika uagize Chai
[00:55.67] Savanna Takila uzipe kisogo
[00:58.60] Kuhusu mavazi kimini haifai
[00:59.94] Tupia pendeza ila za hekima Logo
[01:02.92] Even though wanaponda we ni kicheche
[01:05.11] Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
[01:09.68] Even though, wanaponda we ni kicheche
[01:13.90] Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
[01:18.16] Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
[01:22.46] Mi nataka kesho twende ukamuone mama
[01:26.96] Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
[01:31.25] Mi nataka kesho twende ukamuone mama
[01:38.89] Usilete swaga za Nainai
[01:39.33] Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo
[01:40.72] Eti shopping twende Thai
[01:44.23] Wakati dadaangu ana duka kigogo
[01:46.48] Ukikuta nguna usikatae
[01:47.23] We zuga unapenda hata kama wa muhogo
[01:49.31] Kuhusu kabila mbona sadai
[01:51.22] Mama angu hana noma hata kama mgogo
[01:53.14] Even though wanaponda eti we ni kicheche
[01:57.19] Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke
[02:01.38] Even though wanaponda we ni kicheche
[02:05.36] Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
[02:09.69] Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
[02:13.93] Nataka kesho twende ukamuone mama
[02:17.97] Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
[02:22.46] Mi nataka kesho twende ukamuone mama
[02:27.25] Mama yangu mama
[02:29.93] Mama Naseeb mama
[02:32.06] Mama Diamond mama
[02:34.44] Mama yangu nyumbani
[02:36.81] Mama Chali mama
[02:39.26] Mama Sepetu mama
[02:41.17] Mama Kidoti mama
[02:43.72] Kwa mama Diamond nyumbani
[02:46.26]
[02:53.28] Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
[02:56.65] Nataka kesho twende ukamuone mama
[03:00.92] Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
[03:05.23] Mi nataka kesho twende ukamuone mama
[03:15.61]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings