Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Zawadi (feat. Dadiposlim)

๐Ÿ‘ค Zuchu โ€ข ๐ŸŽผ Zawadi (feat. Dadiposlim) โ€ข โฑ๏ธ 3:31
๐ŸŽต 1100 characters
โฑ๏ธ 3:31 duration
๐Ÿ†” ID: 6729784

๐Ÿ“œ Lyrics

Mon cherie ne t'aime beacoup
Penzi lako gundi nimenasa
Mon cherie kama uchawi upoo
Mganga wako fundi hasa hasa
Eh mwamvuli wangu moyo umefunika
Wewe ndo kiboko yangu
Unaejua pakunishika
Kama mapenzi pili pileey
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwileey
Uwe wako uchukuee

Pokea, pokea
Zawadi, zawadi
Ya upendo wangu
Ya upendo wanguuu my love
Pokea, pokea
Zawadi, zawadi
Ya upendo wangu
Ya upendo wanguuu my love
Ma cherie cherie
Mu ungiye baridi weni komeya
Mi uka makini
Matso yangu ye hu ona hu fumbariya
Zidisha ye zana
Bawe huni lisi yilikiki kazana
Kama mapenzi pili pileey
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwileey
Uwe wako uchukue

Pokea, pokea
Zawadi, zawadi
Ya upendo wangu
Ya upendo wanguuu my love
Pokea, pokea
Zawadi, zawadi
Ya upendo wangu
Ya upendo wanguuu my love
Njoo tucheze kompaa, kompaa
Mh mmh aah
We lizer weweee
Aah yah yah yah yah
Eeh warereeee, wakachaa
Eeh wakachaa, warereee
Mh mh nh mh mh aah

Baby pokeaa, pokea
Zawadi, zawadii
Ya upendo wangu
Ya upendo wanguuu my love
Baby pokeaa, pokea
Zawadi, zawadii
Ya upendo wangu
Ya upendo wanguuu my love

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings