Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Safari

๐Ÿ‘ค Nikki Wa Pilli feat. Navykenzo|joh Makini, G Nako, Jux & Vanessa Mdee โ€ข ๐ŸŽผ Safari โ€ข โฑ๏ธ 3:55
๐ŸŽต 2067 characters
โฑ๏ธ 3:55 duration
๐Ÿ†” ID: 6776722

๐Ÿ“œ Lyrics

Where is my money yoo
Where is my honey njoo
Bila we ni presha na kesha na weee
Tusiachane, safari ya mapenzi kitane
Aziza anita anne
Atoke nanii anitukane, eti sina pozi sina money
Niweke pozi au nikuchane
Nikupe kikii ujulikane
Hakuna kikii jus funny
Sina mshahara ila shout-out
Mziki biashara. Wananitaka leo akina sara
Sio me... Sio joe. Sio G. Wara wara
Watoto wanapenda asali
Watoto hawapend ukalo
Hawapendi safari
Maisha kufika ni mbal na tena kwa msoto mkalii
I love u waubanii waubanii
Na huku i love your money
I love u waubanii waubanii
Na huku i love your money
Man me na we si journey
Safari its not funny
Jamani hawataki kuni crown me
Usijalii hakiananii
Demu alizani me ni Jigga
Nikamuacha akidhani nikapiga
Hakuna goldi. Wacha digger
Utachezea wazungu wa nigger
Ma shopping kutwa kwa maduka
Salooni ma wigi kusuka
Ma disco ma joker kuruka
Na jina mwandike kwa chupa
Kwa miguu ata nikamaliza moka
Me bado sikua kanye kumbe ka sisterdu kitambo kalkua Kardashian
Amna kitu kichwan daashi yan
Watoto wanapenda asali
Watoto hawapend ukali
Hawapend safari
Maisha kufika ni mbal na tena kwa msoto mkalii
Where is my money yoo
Where is my honey njoo
Bila we ni presha na kesha na weee
Where is my money yoo
Where is my honey njoo
Bila we ni presha na kesha na weee
I love u waubanii waubanii
Na huku i love your money
I love u waubanii waubanii
Na huku i love my money
Utanipiga dek nkikudekezaa
Maisha safari ndo kuwekeza
Mara anataka iphone hmmmm
Nkakanunlia apple
Kakatafuna kisha kakatafuna
Kakataka out nkakatoa nje
Kakpigwa upepo nkakaimbia XO
Mapenz mama ntakupa pepo
Mambo za nini nini eeh karibu depo
Me ni zero juu yako
Simama pembeni kushoto tukamilishe kumi
Watoto wanapenda asali
Watoto hawapend ukali
Hawapend safari
Maisha kufika ni mbal na tena kwa msoto mkalii
Where is my money yoo
Where is my honey njoo
Bila we ni presha na kesha na weee
Where is my money yoo
Where is my honey njoo
Bila we ni presha na kesha na weee
I love u waubanii waubanii
Na huku i love your money
I love u waubanii waubanii
Na huku i love my money
I love my money!!

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings