Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Sisi Ni Wale

๐Ÿ‘ค Phina โ€ข ๐ŸŽผ Sisi Ni Wale - Single โ€ข โฑ๏ธ 3:48
๐ŸŽต 1126 characters
โฑ๏ธ 3:48 duration
๐Ÿ†” ID: 7059712

๐Ÿ“œ Lyrics

Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba

Sina hela, sina pesa, sina doh
Sina nyumba sina gari, sina ooh
Kila kukikucha mi naiwaza kesho
Napiga moyo konde nitafika ooh

Wanaokudharau leo
Watakusalimia kesho, kwa heshima
Wanaokusema sema, watakusifia kesho
Unaokula nao na kucheka nao
Kesho ukidondoka utokuwa nao

Piga moyo konde
Wakati wa Mungu wakati sahihi
Piga moyo konde
Wakati wa Baba wakati sahihi
(Sisi ni wale)

Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba

Jana niliumwa, nikadhani nitakufa
Leo niko fiti, ukinicheki nadundika
Nilipoachishwa kazi walidhani nitasota
Leo nipo juu ile kibosi nadundika

Kama unaamini umesaidiwa na Mungu
Piga kelele
Kelele moja
(Eeh) Kelele mbili (Eeh eeh)

Kama unaamini umesaidiwa na Mungu
Piga kelele
Kelele moja
(Eeh) Kelele mbili (Eeh eeh)

Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:28.48] Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
[00:34.80] Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
[00:41.69] Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
[00:48.26] Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
[00:55.14] Sina hela, sina pesa, sina doh
[00:58.19] Sina nyumba sina gari, sina ooh
[01:01.49] Kila kukikucha mi naiwaza kesho
[01:04.93] Napiga moyo konde nitafika ooh
[01:07.90] Wanaokudharau leo
[01:10.06] Watakusalimia kesho, kwa heshima
[01:14.99] Wanaokusema sema, watakusifia kesho
[01:19.47] Unaokula nao na kucheka nao
[01:27.29] Kesho ukidondoka utokuwa nao
[01:34.34] Piga moyo konde
[01:36.10] Wakati wa Mungu wakati sahihi
[01:40.41] Piga moyo konde
[01:42.69] Wakati wa Baba wakati sahihi
[01:47.01] (Sisi ni wale)
[01:48.72] Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
[01:55.30] Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
[02:02.13] Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
[02:08.95] Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
[02:15.80] Jana niliumwa, nikadhani nitakufa
[02:19.02] Leo niko fiti, ukinicheki nadundika
[02:22.32] Nilipoachishwa kazi walidhani nitasota
[02:25.55] Leo nipo juu ile kibosi nadundika
[02:29.02] Kama unaamini umesaidiwa na Mungu
[02:33.16] Piga kelele
[02:35.50] Kelele moja
[02:37.40] (Eeh) Kelele mbili (Eeh eeh)
[02:41.15] Kama unaamini umesaidiwa na Mungu
[02:46.48] Piga kelele
[02:49.19] Kelele moja
[02:50.65] (Eeh) Kelele mbili (Eeh eeh)
[02:55.24] Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
[03:01.84] Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
[03:09.24] Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
[03:15.84] Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba
[03:18.58]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings