Buruda
๐ต 2106 characters
โฑ๏ธ 3:45 duration
๐ ID: 7356526
๐ Lyrics
Mmmh Baaad
Whistle
Aweeeh Igama lami ngu-Jaivah wena
Aweeeh Aweeeeeh
Aweeeeeh
Jaivah
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia akijitusu natembeza
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia akijitusu natembeza
Nikamwambia mitungi buruda
Washa hata kitu buruda
Na kama sio kesi na kama upo freshi
Hapa hata mikasi buruda
Nikamwambia mitungi buruda
Washa hata kitu buruda
Na kama sio kesi na kama upo freshi
Hapa hata mikasi buruda(Akaniuliza)
Nani jina lako
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
(Akaniuliza)
Ubani igama lakho
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
Si mtoto alivyoona venye nimepoa(alivyoona vile nimepoa)
Ye akanichukulia poa(ye akanichulia poa)
Na mwanenu nnavyojua kukomoa(Na mwanenu nnavyojua kukomoa)
Nakuwaga kama natafuta ndoa(Nakuwaga kama natafuta ndoa)
Nauliza niendelee niache
(Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee niache
(Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Aloooooh
Limenibana kojo kojo kojooo(kojo kojo kojoo)
Kojo kojo kojoo(kojo kojo kojoo)
Nimelewa sioni mbele sioni nyuma
Sioni juu sioni chini tundu liko wapi(La choo)
Sioni mundu sioni kijema
Kwani njia iko wapi(Ya chooni)
Kama nawakwaza semeni(Hautukwazi tajiri)
Kama nawaboa semeni(Hautukwazi tajiri)
Kama nina gubu semeni(Hauna gubu tajiri)
Kama ninabaya semeni(Hauna baya tajiri)
Shiih
Leo dj nani chapa ngoma ya Zuchu (honey)
Anapiga nani hebu ngoja nipokee
Aloooh
(Hey baby please come back home please i need you now)
Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home
Au ninyi mnasemaje
Nauliza niendelee niache
(Kwanini uache kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee niache
(Kwanini uache kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee niache
(Kwanini uache kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee niache
(Kwanini uache kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Limenibana kojo kojo kojooo
Kojo kojo kojoo

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:09.59] Mmmh Baaad
[00:12.86] Whistle
[00:29.26] Aweeeh Igama lami ngu-Jaivah wena
[00:35.94] Aweeeh Aweeeeeh
[00:41.24] Aweeeeeh
[00:46.04] Jaivah
[00:46.72] Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
[00:48.77] Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza
[00:50.78] Ananiangalia huku macho analegeza
[00:52.80] Nami nampimia akijitusu natembeza
[00:55.04] Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
[00:57.20] Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza
[00:59.47] Ananiangalia huku macho analegeza
[01:01.46] Nami nampimia akijitusu natembeza
[01:03.57] Nikamwambia mitungi buruda
[01:05.57] Washa hata kitu buruda
[01:07.53] Na kama sio kesi na kama upo freshi
[01:10.30] Hapa hata mikasi buruda
[01:12.23] Nikamwambia mitungi buruda
[01:14.30] Washa hata kitu buruda
[01:16.53] Na kama sio kesi na kama upo freshi
[01:18.84] Hapa hata mikasi buruda(Akaniuliza)
[01:21.04] Nani jina lako
[01:22.44] Igama lami ngu-Jaivah
[01:24.61] Igama lami ngu-Coach
[01:26.56] Igama lami ngu-Striker
[01:28.38] (Akaniuliza)
[01:29.16] Ubani igama lakho
[01:31.09] Igama lami ngu-Jaivah
[01:32.87] Igama lami ngu-Coach
[01:35.25] Igama lami ngu-Striker
[01:37.68] Si mtoto alivyoona venye nimepoa(alivyoona vile nimepoa)
[01:42.24] Ye akanichukulia poa(ye akanichulia poa)
[01:46.62] Na mwanenu nnavyojua kukomoa(Na mwanenu nnavyojua kukomoa)
[01:50.72] Nakuwaga kama natafuta ndoa(Nakuwaga kama natafuta ndoa)
[01:54.88] Nauliza niendelee niache
[01:57.57] (Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
[02:03.44] Nauliza niendelee niache
[02:06.66] (Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
[02:10.55] Aloooooh
[02:12.24] Limenibana kojo kojo kojooo(kojo kojo kojoo)
[02:17.40] Kojo kojo kojoo(kojo kojo kojoo)
[02:21.36] Nimelewa sioni mbele sioni nyuma
[02:23.21] Sioni juu sioni chini tundu liko wapi(La choo)
[02:25.97] Sioni mundu sioni kijema
[02:27.83] Kwani njia iko wapi(Ya chooni)
[02:30.28] Kama nawakwaza semeni(Hautukwazi tajiri)
[02:34.41] Kama nawaboa semeni(Hautukwazi tajiri)
[02:38.45] Kama nina gubu semeni(Hauna gubu tajiri)
[02:42.82] Kama ninabaya semeni(Hauna baya tajiri)
[02:46.61] Shiih
[02:47.56] Leo dj nani chapa ngoma ya Zuchu (honey)
[02:51.46] Anapiga nani hebu ngoja nipokee
[02:54.85] Aloooh
[02:55.71] (Hey baby please come back home please i need you now)
[02:59.57] Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home
[03:01.62] Au ninyi mnasemaje
[03:03.59] Nauliza niendelee niache
[03:05.93] (Kwanini uache kama umelianzisha
[03:09.62] Twende mpaka asubuhi)
[03:11.87] Nauliza niendelee niache
[03:14.69] (Kwanini uache kama umelianzisha
[03:18.90] Twende mpaka asubuhi)
[03:21.11] Nauliza niendelee niache
[03:23.32] (Kwanini uache kama umelianzisha
[03:27.32] Twende mpaka asubuhi)
[03:29.20] Nauliza niendelee niache
[03:32.29] (Kwanini uache kama umelianzisha
[03:36.06] Twende mpaka asubuhi)
[03:37.56] Limenibana kojo kojo kojooo
[03:40.84] Kojo kojo kojoo
[03:43.51]