Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Sio Kwa Ubaya

๐Ÿ‘ค MwanaFA โ€ข ๐ŸŽผ Sio Kwa Ubaya โ€ข โฑ๏ธ 3:34
๐ŸŽต 2394 characters
โฑ๏ธ 3:34 duration
๐Ÿ†” ID: 7366743

๐Ÿ“œ Lyrics

Falsafaa
Konde boy call me number one
Falsafa baba
Gachi B

Hela sio matako kwamba kila mtu anazo
Zilipo Mwanangu usilete Mchezo
Kuwaza Hela Hakuna Kwenda Likizo
Hasa wenzangu na mimi
Ambao hatukuzaliwa nazo
Eti hazileti furaha ukiwa sikiliza shauri yako
Sio swala la mjadala hii ndo iwe ramani yako
Eeeh pambana ziwe zako
Pigana mwana mpaka wachange jina lako
Tunawatolea sadaka sadaka tunazopata
Laana zinatuepuka dua mbaya zinaturuka
Hata ufahamu kwanini wananiita baba
Roho tisa kama za paka I'm ma brothers keeper
The white collar Don kama Paul Castellano
Wanatangulia kufunga ila sipotezi mapambano
Usiende mbali kumbuka kuna kurudi
Mayai yote kapu moja man karibu unabugi

Moyo wa Champion sioni competition
Mitihani ya maisha hufaulu kwa kwenda tuition
AKA ya ulimwengu
Ninayekutia fimbo za ugoko
Ka hukufunzwa na mama ako
Shauri yako

Mi sina time ya kupoteza
Ngoma ya mtu siwezicheza
So usiponiona usiulize
Jua tu niko bize
Nazichanga si kwa ubaya
Mi sina time ya kupoteza
Ngoma ya mtu siwezicheza
So usiponiona usiulize
Jua tu niko bize
Nazichanga si kwa ubaya

Ukiwa na siku ya kutafuta na ya kupata ipo
Ridhiki hatoi baba ako kwamba itakufuata ulipo
Nakutia moyo kukata tamaa mwiko
Sio lele mama ilibidi mnagombea fito
Penda hela usiziabudu usivukwe na utu
Roho yako ya chuma usiache iwe kutu
Sheria msumeno lakini haichani dhiki
Mawe yameiva na mkaa bado umebaki
Pesa hainunui furaha ufukara unanunua nini
Mi nakimbiza hela mademu mewaachia nyinyi
Hizi si habari za mjini ni habari zangu mimi
Maisha hayana subtitle sio lazima uniamini
Pata hela maadui zako wanune
Usihofu life manigga mipunga ndo nguvu za kiume
Au uendelee kulala ka utakuwa ulichokiota
Asiye hustle na asile ukija kitaa utatukuta

Moyo wa Champion sioni competition
Mitihani ya maisha hufaulu kwa kwenda tuition
AKA ya ulimwengu
Ninayekutia fimbo za ugoko
Ka hukufunzwa na mama ako
Shauri yako

Mi sina time ya kupoteza
Ngoma ya mtu siwezi cheza
So usiponiona usiulize
Jua tu niko bize
Nazichanga si kwa ubaya
Mi sina time ya kupoteza
Ngoma ya mtu siwezi cheza
So usiponiona usiulize
Jua tu niko bize
Nazichanga si kwa ubaya

Kwanza naamka mapema kama naishi Kigamboni
Dili isiyo na pesa Konde Boy humuoni
Gari imefuka moshi
Ka nimepaki jikoni
Na usipumuona Mudi Mnyama
Bunduki ipo kiunoni yeeeh

I go for the money mura
Mi am go for the money money mura
I go for the money mura
Na sina time ya utani utani mura

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.43] Falsafaa
[00:07.68] Konde boy call me number one
[00:09.55] Falsafa baba
[00:11.69]
[00:18.64] Gachi B
[00:21.70] Hela sio matako kwamba kila mtu anazo
[00:24.19] Zilipo Mwanangu usilete Mchezo
[00:26.42] Kuwaza Hela Hakuna Kwenda Likizo
[00:28.68] Hasa wenzangu na mimi
[00:29.55] Ambao hatukuzaliwa nazo
[00:31.82] Eti hazileti furaha ukiwa sikiliza shauri yako
[00:34.21] Sio swala la mjadala hii ndo iwe ramani yako
[00:37.13] Eeeh pambana ziwe zako
[00:39.70] Pigana mwana mpaka wachange jina lako
[00:42.27] Tunawatolea sadaka sadaka tunazopata
[00:44.85] Laana zinatuepuka dua mbaya zinaturuka
[00:47.24] Hata ufahamu kwanini wananiita baba
[00:49.91] Roho tisa kama za paka I'm ma brothers keeper
[00:52.55] The white collar Don kama Paul Castellano
[00:54.90] Wanatangulia kufunga ila sipotezi mapambano
[00:57.68] Usiende mbali kumbuka kuna kurudi
[01:00.56] Mayai yote kapu moja man karibu unabugi
[01:02.88] Moyo wa Champion sioni competition
[01:05.64] Mitihani ya maisha hufaulu kwa kwenda tuition
[01:08.09] AKA ya ulimwengu
[01:09.82] Ninayekutia fimbo za ugoko
[01:11.35] Ka hukufunzwa na mama ako
[01:12.56] Shauri yako
[01:13.11] Mi sina time ya kupoteza
[01:14.85] Ngoma ya mtu siwezicheza
[01:17.45] So usiponiona usiulize
[01:19.53] Jua tu niko bize
[01:20.98] Nazichanga si kwa ubaya
[01:22.84] Mi sina time ya kupoteza
[01:25.19] Ngoma ya mtu siwezicheza
[01:27.92] So usiponiona usiulize
[01:29.84] Jua tu niko bize
[01:31.48] Nazichanga si kwa ubaya
[01:34.46]
[01:44.65] Ukiwa na siku ya kutafuta na ya kupata ipo
[01:47.43] Ridhiki hatoi baba ako kwamba itakufuata ulipo
[01:50.13] Nakutia moyo kukata tamaa mwiko
[01:52.78] Sio lele mama ilibidi mnagombea fito
[01:55.35] Penda hela usiziabudu usivukwe na utu
[01:57.95] Roho yako ya chuma usiache iwe kutu
[02:00.47] Sheria msumeno lakini haichani dhiki
[02:03.12] Mawe yameiva na mkaa bado umebaki
[02:05.51] Pesa hainunui furaha ufukara unanunua nini
[02:08.22] Mi nakimbiza hela mademu mewaachia nyinyi
[02:10.84] Hizi si habari za mjini ni habari zangu mimi
[02:13.46] Maisha hayana subtitle sio lazima uniamini
[02:16.23] Pata hela maadui zako wanune
[02:18.42] Usihofu life manigga mipunga ndo nguvu za kiume
[02:21.33] Au uendelee kulala ka utakuwa ulichokiota
[02:23.92] Asiye hustle na asile ukija kitaa utatukuta
[02:26.37] Moyo wa Champion sioni competition
[02:29.22] Mitihani ya maisha hufaulu kwa kwenda tuition
[02:31.63] AKA ya ulimwengu
[02:33.33] Ninayekutia fimbo za ugoko
[02:34.78] Ka hukufunzwa na mama ako
[02:36.15] Shauri yako
[02:36.89] Mi sina time ya kupoteza
[02:38.65] Ngoma ya mtu siwezi cheza
[02:41.09] So usiponiona usiulize
[02:43.27] Jua tu niko bize
[02:44.58] Nazichanga si kwa ubaya
[02:46.38] Mi sina time ya kupoteza
[02:48.90] Ngoma ya mtu siwezi cheza
[02:51.33] So usiponiona usiulize
[02:53.67] Jua tu niko bize
[02:55.06] Nazichanga si kwa ubaya
[02:57.56] Kwanza naamka mapema kama naishi Kigamboni
[03:00.31] Dili isiyo na pesa Konde Boy humuoni
[03:03.04] Gari imefuka moshi
[03:04.52] Ka nimepaki jikoni
[03:05.77] Na usipumuona Mudi Mnyama
[03:06.91] Bunduki ipo kiunoni yeeeh
[03:08.05] I go for the money mura
[03:12.28] Mi am go for the money money mura
[03:17.83] I go for the money mura
[03:21.15]
[03:23.19] Na sina time ya utani utani mura
[03:24.63]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings