Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nadekezwa

๐Ÿ‘ค Mbosso โ€ข ๐ŸŽผ Nadekezwa โ€ข โฑ๏ธ 3:48
๐ŸŽต 1587 characters
โฑ๏ธ 3:48 duration
๐Ÿ†” ID: 7532759

๐Ÿ“œ Lyrics

Hohohoo hohoo hoho
Hohohoo hohoo hoho

Hohohoo hohoo hoho
Hohohoo hohoo hoho

Salamu ulizo nitumia ah
Zimenifikia ah
Nipo salama hata usijali
Nalishwa vitamu
Vinono najilia ah
Biliyani yangamia
Penzi twadalikana poo kidali

Nimekusahau
Nakumbuka tu lako jina
Kidogo angalu
Umengoa mizizi sio kukatashina
Penzi wakapanda dau ah
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina

Nando uwezo wangu ulipo ishia
Ningekupa nini tena
Kula yangu yakupapasia
(Hukumeza ukaatema)

Mimi sina gali
Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
(Hukumeza ukaatema)
Eeeheeehee

Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... Nadeke...

Ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
Hadi na come come kuminambili arufajiri

Na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
Kanijaza kanichota kanishika pabayaa

Nakutadharisha simu zausiku punguza
Unahatarisha penzi langu moto kuunguza

Nishakusahau nakumbuka tuu lako jina
Kidogo angaluu
Umengoa mizizi sio kukatashina
Penzi wakapanda dau anh
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina

Nando uwezo wangu ulipo ishia
Ningekupa nini tena
Kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema}

Mimi sina gali
Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
{Hukumweza ukaatema}eeeheeehee

Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... Nadeke...

Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... nadekezwa
Nadeke... Nadeke...

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:20.63] Hohohoo hohoo hoho
[00:21.84] Hohohoo hohoo hoho
[00:24.05] Hohohoo hohoo hoho
[00:26.11] Hohohoo hohoo hoho
[00:30.16] Salamu ulizo nitumia ah
[00:32.98] Zimenifikia ah
[00:35.27] Nipo salama hata usijali
[00:38.29] Nalishwa vitamu
[00:40.78] Vinono najilia ah
[00:42.65] Biliyani yangamia
[00:44.88] Penzi twadalikana poo kidali
[00:46.94] Nimekusahau
[00:49.32] Nakumbuka tu lako jina
[00:52.02] Kidogo angalu
[00:54.29] Umengoa mizizi sio kukatashina
[00:57.37] Penzi wakapanda dau ah
[00:59.74] Mjini baba pesa fitina
[01:02.16] Mimi ukanidharau
[01:04.36] Visenti haba mfuko umechina
[01:07.24] Nando uwezo wangu ulipo ishia
[01:08.90] Ningekupa nini tena
[01:11.56] Kula yangu yakupapasia
[01:14.01] (Hukumeza ukaatema)
[01:15.98] Mimi sina gali
[01:18.33] Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
[01:22.88] (Hukumeza ukaatema)
[01:25.41] Eeeheeehee
[01:26.94] Nadeke... nadekezwa
[01:29.32] Nadeke... nadekezwa
[01:31.61] Nadeke... nadekezwa
[01:33.66] Nadeke... nadekezwa
[01:35.96] Nadeke... nadekezwa
[01:38.65] Nadeke... nadekezwa
[01:40.21] Nadeke... nadekezwa
[01:43.47] Nadeke... Nadeke...
[01:46.89]
[01:55.42] Ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
[01:58.19] Hadi na come come kuminambili arufajiri
[02:02.83] Na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
[02:09.02] Kanijaza kanichota kanishika pabayaa
[02:12.77] Nakutadharisha simu zausiku punguza
[02:17.69] Unahatarisha penzi langu moto kuunguza
[02:22.60] Nishakusahau nakumbuka tuu lako jina
[02:27.61] Kidogo angaluu
[02:29.82] Umengoa mizizi sio kukatashina
[02:33.12] Penzi wakapanda dau anh
[02:34.90] Mjini baba pesa fitina
[02:37.69] Mimi ukanidharau
[02:39.56] Visenti haba mfuko umechina
[02:42.27] Nando uwezo wangu ulipo ishia
[02:44.24] Ningekupa nini tena
[02:47.51] Kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema}
[02:51.47] Mimi sina gali
[02:53.51] Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
[02:58.22] {Hukumweza ukaatema}eeeheeehee
[03:01.94] Nadeke... nadekezwa
[03:04.44] Nadeke... nadekezwa
[03:05.91] Nadeke... nadekezwa
[03:08.45] Nadeke... nadekezwa
[03:10.58] Nadeke... nadekezwa
[03:15.63] Nadeke... nadekezwa
[03:18.56] Nadeke... Nadeke...
[03:20.86]
[03:52.25] Nadeke... nadekezwa
[03:52.49] Nadeke... nadekezwa
[03:52.62] Nadeke... nadekezwa
[03:52.86] Nadeke... nadekezwa
[03:53.07] Nadeke... nadekezwa
[03:53.25] Nadeke... Nadeke...
[03:53.42]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings