Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Maajab

๐Ÿ‘ค Mbosso โ€ข ๐ŸŽผ Maajab โ€ข โฑ๏ธ 3:39
๐ŸŽต 1554 characters
โฑ๏ธ 3:39 duration
๐Ÿ†” ID: 7724540

๐Ÿ“œ Lyrics

Nana na naaa
Naa nana naaa na
Naa nana naa na
Naa naa nana

Moko mokooo

Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
Wallah kanipatia, anastahili sifa
Chumba kizima chanukia, uturi kajifisha
Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa

Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
Yendo kocha na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafuu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu

Kifuani unipaka harua, mikono tende anazichambua
Anilambaaa aah
Kitandani humwaga maua
Vingine hata chembe sikuwa najua. hanitoa ushamba aah uuuh

Na nitake nini kwake? Niombe nsipewee
Iwe pemba ama chako chake, nichague mwenyewe eeh
Kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe eeh
Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe eeh

Libanikee penzi kama gazeti walisomee,
Tuwa adabishe sangara shombo vibetwe tuwango'ng'e
Ni kila nilishe chapati za alizeti ni none
Tuwafungishe midomo uzi cement tuwashonee

Ananikosha mwili kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karaafu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

Maajabu maajabu, penzi lake maajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu

Ayo laizer
Wasafiii...
Haluwa haluwa, hunipa vitamu laini lainii...
Haluwa haluwa kinyama cha hamu, uhondo utosinii
Haluwa haluwa sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimii
Haluwa haluwa napewa hadi vya miko sa nitake nini

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:29.18] Nana na naaa
[00:30.43] Naa nana naaa na
[00:33.66] Naa nana naa na
[00:34.15] Naa naa nana
[00:34.69] Moko mokooo
[00:34.69] Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
[00:35.16] Wallah kanipatia, anastahili sifa
[00:37.77] Chumba kizima chanukia, uturi kajifisha
[00:41.15] Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa
[00:42.86] Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
[00:43.40] Yendo kocha na ananifunza kucheza rafu
[00:45.97] Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafuu
[00:51.23] Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
[00:55.70] Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
[01:00.77] Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
[01:05.45] Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
[01:10.82] Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
[01:14.50] Kifuani unipaka harua, mikono tende anazichambua
[01:20.19]
[01:28.85] Anilambaaa aah
[01:31.41] Kitandani humwaga maua
[01:35.47] Vingine hata chembe sikuwa najua. hanitoa ushamba aah uuuh
[01:39.51] Na nitake nini kwake? Niombe nsipewee
[01:45.06] Iwe pemba ama chako chake, nichague mwenyewe eeh
[01:52.08] Kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe eeh
[01:53.99] Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe eeh
[01:59.47] Libanikee penzi kama gazeti walisomee,
[02:05.50] Tuwa adabishe sangara shombo vibetwe tuwango'ng'e
[02:10.23] Ni kila nilishe chapati za alizeti ni none
[02:13.91] Tuwafungishe midomo uzi cement tuwashonee
[02:19.31] Ananikosha mwili kwa maji ya madafu
[02:24.38] Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
[02:29.80] Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karaafu
[02:32.26] Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
[02:35.45] Maajabu maajabu, penzi lake maajabu
[02:39.95] Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
[02:44.85] Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
[02:48.78] Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
[02:54.18]
[02:58.22] Ayo laizer
[03:00.97]
[03:12.62] Wasafiii...
[03:14.13] Haluwa haluwa, hunipa vitamu laini lainii...
[03:15.28] Haluwa haluwa kinyama cha hamu, uhondo utosinii
[03:17.03] Haluwa haluwa sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimii
[03:21.80] Haluwa haluwa napewa hadi vya miko sa nitake nini
[03:25.52]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings