Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Dunia Tuna Pita

๐Ÿ‘ค Samba Mapangala โ€ข ๐ŸŽผ African Classics: East Africa's Most Beloved Singer โ€ข โฑ๏ธ 5:16
๐ŸŽต 522 characters
โฑ๏ธ 5:16 duration
๐Ÿ†” ID: 7781748

๐Ÿ“œ Lyrics

Kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa wanganga
Badilisha hiyo tabia eeeh X2
Pesa zako hupatia kina dada, watafuta jina ama vipiii X2
Wake za watu umetongoza imejulikana
Jihadhari utaishia Shimo la Tewaa X2
Waongea kuhusu kujenga ghorofa na huna kitu eeh
Acha mdomo na maringo kakaa
Dunia tunapita eeh
Kila kitu kitabakia
Binadamu ni mchanga, kitabaki milele
Waroga roga watu papa buree
Waumiza waafrika wenzako kwa nini
Madaraka wapigania, kampuni sio yako wala yake, ni ya muzungu baba.
Wapee haki zaoo, wana matumizi pia

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:07.56] Kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa wanganga
[00:16.29] Badilisha hiyo tabia eeeh X2
[00:31.02] Pesa zako hupatia kina dada, watafuta jina ama vipiii X2
[00:51.48] Wake za watu umetongoza imejulikana
[01:00.18] Jihadhari utaishia Shimo la Tewaa X2
[01:15.86] Waongea kuhusu kujenga ghorofa na huna kitu eeh
[01:22.93] Acha mdomo na maringo kakaa
[01:32.93] Dunia tunapita eeh
[01:41.24] Kila kitu kitabakia
[01:45.47] Binadamu ni mchanga, kitabaki milele
[02:18.45] Waroga roga watu papa buree
[02:23.09] Waumiza waafrika wenzako kwa nini
[02:27.88] Madaraka wapigania, kampuni sio yako wala yake, ni ya muzungu baba.
[02:39.13] Wapee haki zaoo, wana matumizi pia
[02:47.56]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings