Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Pombe Sigara

๐Ÿ‘ค Nviiri The Storyteller โ€ข ๐ŸŽผ Pombe Sigara โ€ข โฑ๏ธ 3:33
๐ŸŽต 1174 characters
โฑ๏ธ 3:33 duration
๐Ÿ†” ID: 7948682

๐Ÿ“œ Lyrics

Oh-ooh, pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana
Lakini, hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana
Ooh, Sol Generation
I'm tha storyteller, aye, aye, aye
Ooh lawd

Naskia walevi huota na beer
Lakini kuna siri nitawaibia leo
See I'm not addicted to alcohol
I'm not a victim, not at all
Yalimpata Samson, yakampata Solomon
Situation hugeuka tricky
Kila shimo napanda miti
Contribution kwa team mafisi, Karura
Eeh, hii situation hugeuka tricky
Kwa hivyo...
Msiniweke kamba kwa shingo

Pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
Ni kama laana, ah

Someone please call 911
Tell them the storyteller has gone down
Ati alivunja shingo akalemewa
Akatoa fimbo nje ya ndoa
Na hivyo ndivyo alijichomea

Ehh hii situation imekuwa tricky
Kuna shimo alipanda miti
Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela
Eeh hii situation hugeuka tricky
Kwa hivyo...
Msiniweke kamba kwa shingo

Pombe sigara, ah
Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
Ni kama laana, ah
Ooh yeah, yeah

Pombe sigara, ah
Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
Lakini hawa wasichana, maze, vile nawapenda
Ni kama laana, ah
(Ooh yeah, yeah, yeah, yeah)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.04] Oh-ooh, pombe sigara
[00:14.06] Naweza wacha bila kung'ang'ana
[00:20.02] Lakini, hawa wasichana
[00:23.02] Vile nawapenda, ni kama laana
[00:29.03] Ooh, Sol Generation
[00:34.01] I'm tha storyteller, aye, aye, aye
[00:41.07] Ooh lawd
[00:42.02] Naskia walevi huota na beer
[00:45.03] Lakini kuna siri nitawaibia leo
[00:53.03] See I'm not addicted to alcohol
[00:56.08] I'm not a victim, not at all
[00:58.05] Yalimpata Samson, yakampata Solomon
[01:04.09] Situation hugeuka tricky
[01:06.04] Kila shimo napanda miti
[01:08.09] Contribution kwa team mafisi, Karura
[01:14.07] Eeh, hii situation hugeuka tricky
[01:17.08] Kwa hivyo...
[01:18.08] Msiniweke kamba kwa shingo
[01:23.00] Pombe sigara
[01:28.03] Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
[01:34.07] Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
[01:41.06] Ni kama laana, ah
[01:46.06] Someone please call 911
[02:00.01] Tell them the storyteller has gone down
[02:05.04] Ati alivunja shingo akalemewa
[02:09.02] Akatoa fimbo nje ya ndoa
[02:12.07] Na hivyo ndivyo alijichomea
[02:15.01] Ehh hii situation imekuwa tricky
[02:20.05] Kuna shimo alipanda miti
[02:23.08] Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela
[02:28.03] Eeh hii situation hugeuka tricky
[02:31.09] Kwa hivyo...
[02:34.05] Msiniweke kamba kwa shingo
[02:38.06] Pombe sigara, ah
[02:43.01] Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
[02:48.08] Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
[02:55.07] Ni kama laana, ah
[02:58.09] Ooh yeah, yeah
[03:00.01] Pombe sigara, ah
[03:03.00] Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
[03:08.02] Lakini hawa wasichana, maze, vile nawapenda
[03:13.09] Ni kama laana, ah
[03:18.06] (Ooh yeah, yeah, yeah, yeah)
[03:20.02]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings