Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Huu Mwaka

๐Ÿ‘ค Dayoo โ€ข ๐ŸŽผ Huu Mwaka โ€ข โฑ๏ธ 3:24
๐ŸŽต 1293 characters
โฑ๏ธ 3:24 duration
๐Ÿ†” ID: 8101701

๐Ÿ“œ Lyrics

Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Huu mwaka mtaniita boss

Oya! Si eti eeh mmmh
Oh no no no, ooh aah
(Ma Feelings make It)

Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Mtaniita boss

Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh

Kwanza nashukuru tumevuka (Tumeuona)
Yale yaliopita yametukomaza
Oya wanangu wa bodaboda (Eeh)
Wa akina mama wauza mboga (Eeeh)
Hata wachawi wabeba nyota
Huu mwaka ni wetu

Kama unadanga danga sana
Ila usisahau kumake bwana
Uje kujenga ka kibanda
Nawe uwe na kwenu

Na ukipata limama, eh likomoe
Likupe pesa huu mwaka utoboe
Oya usikae kizembe na usichague jembe
Kama mkulima lima
Kama unaimba imba utoboe

Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh

Oya wanangu wa bodaboda (Eeh)
Wa akina mama wauza mboga (Eeeh)
Hata wachawi wabeba nyota
Huu mwaka ni wetu

Kama unadanga danga sana
Ila usisahau kumake bwana
Uje kujenga ka kibanda
Nawe uwe na kwenu

Na ukipata limama, eh likomoe
Likupe pesa huu mwaka utoboe
Oya usikae kizembe na usichague jembe
Kama mkulima lima
Kama unaimba imba utoboe

Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Huu mwaka mtaniita boss

Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Huu mwaka mtaniita boss

Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.60] Huu mwaka eeh
[00:03.59] Ndio mwaka wa kufosi
[00:04.65] Yaani mtake msitake
[00:06.68] Huu mwaka mtaniita boss
[00:09.19] Oya! Si eti eeh mmmh
[00:16.55] Oh no no no, ooh aah
[00:18.35] (Ma Feelings make It)
[00:26.64] Huu mwaka eeh
[00:28.24] Ndio mwaka wa kufosi
[00:29.64] Yaani mtake msitake
[00:31.68] Mtaniita boss
[00:33.54] Huu mwaka eeh
[00:36.81] Huu mwaka eeh
[00:38.97] Huu mwaka eeh
[00:41.02] Huu mwaka eeh
[00:51.72] Kwanza nashukuru tumevuka (Tumeuona)
[00:55.74] Yale yaliopita yametukomaza
[00:59.96] Oya wanangu wa bodaboda (Eeh)
[01:02.27] Wa akina mama wauza mboga (Eeeh)
[01:03.99] Hata wachawi wabeba nyota
[01:06.09] Huu mwaka ni wetu
[01:08.62] Kama unadanga danga sana
[01:10.62] Ila usisahau kumake bwana
[01:12.88] Uje kujenga ka kibanda
[01:14.98] Nawe uwe na kwenu
[01:16.90] Na ukipata limama, eh likomoe
[01:20.80] Likupe pesa huu mwaka utoboe
[01:25.26] Oya usikae kizembe na usichague jembe
[01:29.83] Kama mkulima lima
[01:31.26] Kama unaimba imba utoboe
[01:34.22] Huu mwaka eeh
[01:35.85] Huu mwaka eeh
[01:37.95] Huu mwaka eeh
[01:40.08] Huu mwaka eeh
[01:59.57] Oya wanangu wa bodaboda (Eeh)
[02:01.46] Wa akina mama wauza mboga (Eeeh)
[02:03.37] Hata wachawi wabeba nyota
[02:05.36] Huu mwaka ni wetu
[02:07.72] Kama unadanga danga sana
[02:09.61] Ila usisahau kumake bwana
[02:11.65] Uje kujenga ka kibanda
[02:13.74] Nawe uwe na kwenu
[02:15.88] Na ukipata limama, eh likomoe
[02:20.35] Likupe pesa huu mwaka utoboe
[02:24.19] Oya usikae kizembe na usichague jembe
[02:28.92] Kama mkulima lima
[02:30.38] Kama unaimba imba utoboe
[02:33.03] Huu mwaka eeh
[02:34.68] Ndio mwaka wa kufosi
[02:36.35] Yaani mtake msitake
[02:38.13] Huu mwaka mtaniita boss
[02:41.47] Huu mwaka eeh
[02:42.97] Ndio mwaka wa kufosi
[02:44.75] Yaani mtake msitake
[02:46.46] Huu mwaka mtaniita boss
[03:06.96] Huu mwaka eeh
[03:08.55] Huu mwaka eeh
[03:10.86] Huu mwaka eeh
[03:12.52] Huu mwaka eeh
[03:15.59]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings