Mbosso-Shida (Official Audio)_Producer by Nusder Wasafi Record
๐ต 1309 characters
โฑ๏ธ 3:45 duration
๐ ID: 8113638
๐ Lyrics
Nasdaaa
Natoka zangu kwetu Kibiti naisaka Dar es Salama
Naenda tafuta riziki niwatunze baba na mama
Si kiunga na haba na haba ndo kilo inatosha
Chunga miguu kuvaa raba bwana zisizo kutosha
Anaesema riziki mafungu saba
Anakupotosha
Riziki mafungu mawili
Kupata au kukosa
Aloyasema baba
Heshima ya nyumba si dirisha
Dunia ni saa mbovu mwana
Usije ifatisha
Vingine vinakaba lazima unywe maji kupitisha
Umia upate kovu baba maumivu yatakwisha
Hata mate kinywani ya uchungu nayameza kwa tabu jamaa
Maisha yangu mazingaombwe
Ya maajabu saana
Oooh mama ooooh
Yeee mama eeeeh
(Ooooh shida)
(Ooooh shida)
(Ooooh shida)
Shida zitakwisha lini
(Ooooh shida)
(Ooooh shida)
(Ooooh shida)
Shida zitakwisha lini
Najipa matumaini nitafuute nisichooke
Moyoni nikiamini kuwa Mungu ni wetu sote
Ila mbona kwangu sasambu sasambu sipati usiku si mchana
Ama kitabu cha riziki yangu tayari kimee chanwa
Eeeeh eeeeeh eeeeh
Mama mama chama na mogela
Yani mimi ndo nategemewa
Nakazana shinda kombolela
Nikipiga nabutua hewa
Hata mate kinywani ya uchungu
Nayameza kwa tabu jamaa
Maisha yangu mazingaombwe
Yamaajabu saana
Ooooh mama oooh
Yeeee mama yeee
Ooooh
(Oooh shida)
(Oooh shida)
(Oooh shida)
Shida zitakwisha lini
(Mama mamaa yeee oooh shida)
(Mama mamaa yeeh oooh shida)
(Mama mamaa yeeh oooh shida)
Shida zitakwisha lini
Wasaaafi

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:13.40] Nasdaaa
[00:14.90] Natoka zangu kwetu Kibiti naisaka Dar es Salama
[00:20.01] Naenda tafuta riziki niwatunze baba na mama
[00:23.21]
[00:25.43] Si kiunga na haba na haba ndo kilo inatosha
[00:28.66]
[00:30.93] Chunga miguu kuvaa raba bwana zisizo kutosha
[00:35.89] Anaesema riziki mafungu saba
[00:39.99] Anakupotosha
[00:41.77] Riziki mafungu mawili
[00:44.65] Kupata au kukosa
[00:46.70] Aloyasema baba
[00:48.83] Heshima ya nyumba si dirisha
[00:52.44] Dunia ni saa mbovu mwana
[00:54.86] Usije ifatisha
[00:57.09] Vingine vinakaba lazima unywe maji kupitisha
[01:02.98] Umia upate kovu baba maumivu yatakwisha
[01:07.51] Hata mate kinywani ya uchungu nayameza kwa tabu jamaa
[01:13.99] Maisha yangu mazingaombwe
[01:16.37] Ya maajabu saana
[01:19.54] Oooh mama ooooh
[01:25.39] Yeee mama eeeeh
[01:30.79] (Ooooh shida)
[01:32.63] (Ooooh shida)
[01:35.50] (Ooooh shida)
[01:37.66] Shida zitakwisha lini
[01:41.09] (Ooooh shida)
[01:43.57] (Ooooh shida)
[01:46.30] (Ooooh shida)
[01:48.34] Shida zitakwisha lini
[02:01.40] Najipa matumaini nitafuute nisichooke
[02:06.92] Moyoni nikiamini kuwa Mungu ni wetu sote
[02:12.49] Ila mbona kwangu sasambu sasambu sipati usiku si mchana
[02:17.62] Ama kitabu cha riziki yangu tayari kimee chanwa
[02:24.12] Eeeeh eeeeeh eeeeh
[02:27.60] Mama mama chama na mogela
[02:30.33] Yani mimi ndo nategemewa
[02:33.15] Nakazana shinda kombolela
[02:35.81] Nikipiga nabutua hewa
[02:38.52] Hata mate kinywani ya uchungu
[02:41.22] Nayameza kwa tabu jamaa
[02:44.16] Maisha yangu mazingaombwe
[02:46.72] Yamaajabu saana
[02:49.66] Ooooh mama oooh
[02:54.60] Yeeee mama yeee
[02:58.29] Ooooh
[03:01.25] (Oooh shida)
[03:03.88] (Oooh shida)
[03:06.70] (Oooh shida)
[03:07.96] Shida zitakwisha lini
[03:10.35] (Mama mamaa yeee oooh shida)
[03:12.84] (Mama mamaa yeeh oooh shida)
[03:15.24] (Mama mamaa yeeh oooh shida)
[03:19.24] Shida zitakwisha lini
[03:22.47]
[03:30.39] Wasaaafi
[03:32.44]