Vanessa Mdee & Barnaba - Siri [Official Video]
๐ต 1863 characters
โฑ๏ธ 4:16 duration
๐ ID: 8129869
๐ Lyrics
Tosa la secret baby
Jamais
Yooo zane valee baby
Yooo zane valee papaaa
Treni langu la kutongoza
Limefunga breki na kituo ndo wewe (Ndo wewe kipenzi)
Sina mengi mimi
Sio mtoto wa mjini
Nimefundwa jandoni kipenzi
Hadithi Hadithi Uwongo njoo
Aya nieleze porojoo
Mie bado mdogo
Ivi ni juzi ulikuja na mauwa (Yes)
Kulikuwa na barua ila sukuifunguaa na na naa (Why)
Ungesoma ndani (Why)
Ungejua vingi (No)
Vile moyo wangu ulivyojawa na vigingii ii
Wewe una mume (Nampenda)
Nami nina mke
Twaweza iba bado wasishituke! (Loh!!)
Kumbe muhuni ii ii ii
Aku siwezi kushare penzi noo way
Kasoro yangu nini ii ii ii
Si una mke yule amekosa nini
Ouu yeah! Ouuuuuu!
Kwanza ningekuomba
Kupenzi ukubali ii
Tutafanya Siri ii
Ya watu wawili
Utaniponza kwa jambo hili
Hamnaga Siri
Ya watu wawili
Kama ukikubali
Nitakupa kagari
Na Visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Aliniifunza mama
Niogope wavulana aa
Nikae mbali
Nyie wabaya sana
Kwetu nyumbani ii
Tumekulia kwenye dini mmh
Penda wako nyumbani kwanza
Kisha unipende mimi mmh
Aaaaaasante
Kwa muda wako
Nimependa majibu yako
Hivi niku ulize swali? (Niulize nini?)
Anavyotoka mumeo unajua mangapi anafanya?
Ni muhuni (Muongo)
Niseme nini (Muongo)
Kila kitu (Muongo)
Maneno yangu hayakuvuna pendo
Hunajipya (Muongo)
Useme nini (muongo)
Maneno yangu (Muongo)
Kibaya zaidi mke wako akijua
Kumbe muhuni ii ii ii
Aku siwezi kushare penzi noo way
Kasoro yangu nini ii ii ii
Si una mke yule amekosa nini
Ouu yeah! Ouuuuuu! (Ebo!)
Ukikubali
Nitakupa kagari
Na Visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Aliniifunza mama
Niogope wavulana aa
Nikae mbali
Nyie wabaya sana
Kwanza ninge kuomba
Kupenzi ukubali ii
Tutafanya Siri ii
Ya watu wawili
Utaniponza kwa jambo hili
Hamnaga Siri
Ya watu wawili
Kama ukikubali
Nitakupa kagari
Na Visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Aliniifunza mama
Niogope wavulana aa
Nikae mbali
Nyie wabaya sana
Jamais
Yooo zane valee baby
Yooo zane valee papaaa
Treni langu la kutongoza
Limefunga breki na kituo ndo wewe (Ndo wewe kipenzi)
Sina mengi mimi
Sio mtoto wa mjini
Nimefundwa jandoni kipenzi
Hadithi Hadithi Uwongo njoo
Aya nieleze porojoo
Mie bado mdogo
Ivi ni juzi ulikuja na mauwa (Yes)
Kulikuwa na barua ila sukuifunguaa na na naa (Why)
Ungesoma ndani (Why)
Ungejua vingi (No)
Vile moyo wangu ulivyojawa na vigingii ii
Wewe una mume (Nampenda)
Nami nina mke
Twaweza iba bado wasishituke! (Loh!!)
Kumbe muhuni ii ii ii
Aku siwezi kushare penzi noo way
Kasoro yangu nini ii ii ii
Si una mke yule amekosa nini
Ouu yeah! Ouuuuuu!
Kwanza ningekuomba
Kupenzi ukubali ii
Tutafanya Siri ii
Ya watu wawili
Utaniponza kwa jambo hili
Hamnaga Siri
Ya watu wawili
Kama ukikubali
Nitakupa kagari
Na Visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Aliniifunza mama
Niogope wavulana aa
Nikae mbali
Nyie wabaya sana
Kwetu nyumbani ii
Tumekulia kwenye dini mmh
Penda wako nyumbani kwanza
Kisha unipende mimi mmh
Aaaaaasante
Kwa muda wako
Nimependa majibu yako
Hivi niku ulize swali? (Niulize nini?)
Anavyotoka mumeo unajua mangapi anafanya?
Ni muhuni (Muongo)
Niseme nini (Muongo)
Kila kitu (Muongo)
Maneno yangu hayakuvuna pendo
Hunajipya (Muongo)
Useme nini (muongo)
Maneno yangu (Muongo)
Kibaya zaidi mke wako akijua
Kumbe muhuni ii ii ii
Aku siwezi kushare penzi noo way
Kasoro yangu nini ii ii ii
Si una mke yule amekosa nini
Ouu yeah! Ouuuuuu! (Ebo!)
Ukikubali
Nitakupa kagari
Na Visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Aliniifunza mama
Niogope wavulana aa
Nikae mbali
Nyie wabaya sana
Kwanza ninge kuomba
Kupenzi ukubali ii
Tutafanya Siri ii
Ya watu wawili
Utaniponza kwa jambo hili
Hamnaga Siri
Ya watu wawili
Kama ukikubali
Nitakupa kagari
Na Visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Aliniifunza mama
Niogope wavulana aa
Nikae mbali
Nyie wabaya sana
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:00.64] Tosa la secret baby
[00:02.32] Jamais
[00:04.27] Yooo zane valee baby
[00:08.47]
[00:11.71] Yooo zane valee papaaa
[00:14.43]
[00:21.93] Treni langu la kutongoza
[00:24.42] Limefunga breki na kituo ndo wewe (Ndo wewe kipenzi)
[00:29.33] Sina mengi mimi
[00:32.41] Sio mtoto wa mjini
[00:33.74] Nimefundwa jandoni kipenzi
[00:36.18] Hadithi Hadithi Uwongo njoo
[00:38.30] Aya nieleze porojoo
[00:40.49] Mie bado mdogo
[00:42.78] Ivi ni juzi ulikuja na mauwa (Yes)
[00:45.65] Kulikuwa na barua ila sukuifunguaa na na naa (Why)
[00:50.94] Ungesoma ndani (Why)
[00:53.19] Ungejua vingi (No)
[00:55.34] Vile moyo wangu ulivyojawa na vigingii ii
[00:58.81] Wewe una mume (Nampenda)
[01:00.89] Nami nina mke
[01:02.35] Twaweza iba bado wasishituke! (Loh!!)
[01:06.22] Kumbe muhuni ii ii ii
[01:09.62] Aku siwezi kushare penzi noo way
[01:13.64] Kasoro yangu nini ii ii ii
[01:17.49] Si una mke yule amekosa nini
[01:20.55] Ouu yeah! Ouuuuuu!
[01:24.23]
[01:26.88] Kwanza ningekuomba
[01:28.44] Kupenzi ukubali ii
[01:29.84] Tutafanya Siri ii
[01:31.59] Ya watu wawili
[01:33.89] Utaniponza kwa jambo hili
[01:37.55] Hamnaga Siri
[01:39.14] Ya watu wawili
[01:41.91] Kama ukikubali
[01:43.33] Nitakupa kagari
[01:45.36] Na Visalary
[01:47.35] Utakuwa bonge la sister duu
[01:49.65] Aliniifunza mama
[01:50.70] Niogope wavulana aa
[01:53.06] Nikae mbali
[01:54.30] Nyie wabaya sana
[01:58.30]
[02:04.29] Kwetu nyumbani ii
[02:06.06] Tumekulia kwenye dini mmh
[02:10.18] Penda wako nyumbani kwanza
[02:13.17] Kisha unipende mimi mmh
[02:17.52] Aaaaaasante
[02:23.02] Kwa muda wako
[02:24.37] Nimependa majibu yako
[02:25.96] Hivi niku ulize swali? (Niulize nini?)
[02:28.64] Anavyotoka mumeo unajua mangapi anafanya?
[02:32.36] Ni muhuni (Muongo)
[02:34.31] Niseme nini (Muongo)
[02:36.16] Kila kitu (Muongo)
[02:37.88] Maneno yangu hayakuvuna pendo
[02:40.67] Hunajipya (Muongo)
[02:41.66] Useme nini (muongo)
[02:43.13] Maneno yangu (Muongo)
[02:44.94] Kibaya zaidi mke wako akijua
[02:47.30] Kumbe muhuni ii ii ii
[02:51.58] Aku siwezi kushare penzi noo way
[02:55.34] Kasoro yangu nini ii ii ii
[02:59.39] Si una mke yule amekosa nini
[03:02.43] Ouu yeah! Ouuuuuu! (Ebo!)
[03:05.86]
[03:08.98] Ukikubali
[03:12.71] Nitakupa kagari
[03:14.16] Na Visalary
[03:15.05] Utakuwa bonge la sister duu
[03:16.56] Aliniifunza mama
[03:19.02] Niogope wavulana aa
[03:20.05] Nikae mbali
[03:21.33] Nyie wabaya sana
[03:23.22] Kwanza ninge kuomba
[03:24.94] Kupenzi ukubali ii
[03:26.00] Tutafanya Siri ii
[03:29.60] Ya watu wawili
[03:31.11] Utaniponza kwa jambo hili
[03:32.72] Hamnaga Siri
[03:36.03] Ya watu wawili
[03:37.69] Kama ukikubali
[03:40.38] Nitakupa kagari
[03:41.97] Na Visalary
[03:43.55] Utakuwa bonge la sister duu
[03:45.60] Aliniifunza mama
[03:47.13] Niogope wavulana aa
[03:49.04] Nikae mbali
[03:50.76] Nyie wabaya sana
[03:51.99]
[00:02.32] Jamais
[00:04.27] Yooo zane valee baby
[00:08.47]
[00:11.71] Yooo zane valee papaaa
[00:14.43]
[00:21.93] Treni langu la kutongoza
[00:24.42] Limefunga breki na kituo ndo wewe (Ndo wewe kipenzi)
[00:29.33] Sina mengi mimi
[00:32.41] Sio mtoto wa mjini
[00:33.74] Nimefundwa jandoni kipenzi
[00:36.18] Hadithi Hadithi Uwongo njoo
[00:38.30] Aya nieleze porojoo
[00:40.49] Mie bado mdogo
[00:42.78] Ivi ni juzi ulikuja na mauwa (Yes)
[00:45.65] Kulikuwa na barua ila sukuifunguaa na na naa (Why)
[00:50.94] Ungesoma ndani (Why)
[00:53.19] Ungejua vingi (No)
[00:55.34] Vile moyo wangu ulivyojawa na vigingii ii
[00:58.81] Wewe una mume (Nampenda)
[01:00.89] Nami nina mke
[01:02.35] Twaweza iba bado wasishituke! (Loh!!)
[01:06.22] Kumbe muhuni ii ii ii
[01:09.62] Aku siwezi kushare penzi noo way
[01:13.64] Kasoro yangu nini ii ii ii
[01:17.49] Si una mke yule amekosa nini
[01:20.55] Ouu yeah! Ouuuuuu!
[01:24.23]
[01:26.88] Kwanza ningekuomba
[01:28.44] Kupenzi ukubali ii
[01:29.84] Tutafanya Siri ii
[01:31.59] Ya watu wawili
[01:33.89] Utaniponza kwa jambo hili
[01:37.55] Hamnaga Siri
[01:39.14] Ya watu wawili
[01:41.91] Kama ukikubali
[01:43.33] Nitakupa kagari
[01:45.36] Na Visalary
[01:47.35] Utakuwa bonge la sister duu
[01:49.65] Aliniifunza mama
[01:50.70] Niogope wavulana aa
[01:53.06] Nikae mbali
[01:54.30] Nyie wabaya sana
[01:58.30]
[02:04.29] Kwetu nyumbani ii
[02:06.06] Tumekulia kwenye dini mmh
[02:10.18] Penda wako nyumbani kwanza
[02:13.17] Kisha unipende mimi mmh
[02:17.52] Aaaaaasante
[02:23.02] Kwa muda wako
[02:24.37] Nimependa majibu yako
[02:25.96] Hivi niku ulize swali? (Niulize nini?)
[02:28.64] Anavyotoka mumeo unajua mangapi anafanya?
[02:32.36] Ni muhuni (Muongo)
[02:34.31] Niseme nini (Muongo)
[02:36.16] Kila kitu (Muongo)
[02:37.88] Maneno yangu hayakuvuna pendo
[02:40.67] Hunajipya (Muongo)
[02:41.66] Useme nini (muongo)
[02:43.13] Maneno yangu (Muongo)
[02:44.94] Kibaya zaidi mke wako akijua
[02:47.30] Kumbe muhuni ii ii ii
[02:51.58] Aku siwezi kushare penzi noo way
[02:55.34] Kasoro yangu nini ii ii ii
[02:59.39] Si una mke yule amekosa nini
[03:02.43] Ouu yeah! Ouuuuuu! (Ebo!)
[03:05.86]
[03:08.98] Ukikubali
[03:12.71] Nitakupa kagari
[03:14.16] Na Visalary
[03:15.05] Utakuwa bonge la sister duu
[03:16.56] Aliniifunza mama
[03:19.02] Niogope wavulana aa
[03:20.05] Nikae mbali
[03:21.33] Nyie wabaya sana
[03:23.22] Kwanza ninge kuomba
[03:24.94] Kupenzi ukubali ii
[03:26.00] Tutafanya Siri ii
[03:29.60] Ya watu wawili
[03:31.11] Utaniponza kwa jambo hili
[03:32.72] Hamnaga Siri
[03:36.03] Ya watu wawili
[03:37.69] Kama ukikubali
[03:40.38] Nitakupa kagari
[03:41.97] Na Visalary
[03:43.55] Utakuwa bonge la sister duu
[03:45.60] Aliniifunza mama
[03:47.13] Niogope wavulana aa
[03:49.04] Nikae mbali
[03:50.76] Nyie wabaya sana
[03:51.99]