Niite Basi (Version 1)
π΅ 1622 characters
β±οΈ 5:25 duration
π ID: 8270573
π Lyrics
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo niza kwangu
Njoo njoo njoo njoo oooh yeah
Unaponita mpenzi joslin napata wazimu
Isitoshe baby pale unaponichumu
Mwili unasimuka then napoteza fahamu baby ningefanya nn
Washiskaji zangu daily me wanacheka
Jinsi mpenzi ulivyo nikeka
Wansema siku moja utanitoroka
Alafu Me nitabaki teseka
Ukifanya hivo baby ni vibaya hivoo
Utanitesa me baby ni vibaya hivoo
Hata nkiwaona masela nitaona soo
Nitee basi mpenzi we ndo kipenda roho
Mbona unaniweka wasi wasi baby gal njoo unipe nafasi
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo niza kwangu
Njoo njoo njoo njoo oooh yeah
Me nataka twende zetu kwa wazazi
Lakini mpenzi ubadilishe mavazi
Kusudi tukifikapo wasipate kipingamizi
Njoo basi njoo wangu mpenzi
Nitafurahi ukiwaona ndugu zangu
Bibi na babu baba na mama angu
Ninauhakika watakuombea kwa mungu
Maisha yako yote yasiwe machungu
Napenda pozi zako baby unaposhika dred
Napend unavyo blaise macho yako yako yako light
Napenda unavyoshake kiuno chacko kama Ray c
Napenda unavyo nambia ukwel
Mbona unaniweka wasi wasi baby gal njoo me nipate nafasi
Chorous
Yeah usione kama naropoka me niko real
Inamaana ndo unataka sema hata haunifeel
Skiza baby gal In fact am dying
Naomba unielewe me ni kwenye line
Ndo maana daily nataka niwe nawe siwez kuishi maisha
Peke yangu bila ww nitaenjoy vip wakati nko mwenyewe
Ni viti nitafurahi wapi nitajidai
Nishachunguza round wengi wliopita na
Wake zao waskaji zangu wa home wana ndoa zao
Niite basi mpenzi ili we uwe wangu
Mungu akipenda naamini uatkua kwangu
ChorousΓ4
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo niza kwangu
Njoo njoo njoo njoo oooh yeah
Unaponita mpenzi joslin napata wazimu
Isitoshe baby pale unaponichumu
Mwili unasimuka then napoteza fahamu baby ningefanya nn
Washiskaji zangu daily me wanacheka
Jinsi mpenzi ulivyo nikeka
Wansema siku moja utanitoroka
Alafu Me nitabaki teseka
Ukifanya hivo baby ni vibaya hivoo
Utanitesa me baby ni vibaya hivoo
Hata nkiwaona masela nitaona soo
Nitee basi mpenzi we ndo kipenda roho
Mbona unaniweka wasi wasi baby gal njoo unipe nafasi
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo niza kwangu
Njoo njoo njoo njoo oooh yeah
Me nataka twende zetu kwa wazazi
Lakini mpenzi ubadilishe mavazi
Kusudi tukifikapo wasipate kipingamizi
Njoo basi njoo wangu mpenzi
Nitafurahi ukiwaona ndugu zangu
Bibi na babu baba na mama angu
Ninauhakika watakuombea kwa mungu
Maisha yako yote yasiwe machungu
Napenda pozi zako baby unaposhika dred
Napend unavyo blaise macho yako yako yako light
Napenda unavyoshake kiuno chacko kama Ray c
Napenda unavyo nambia ukwel
Mbona unaniweka wasi wasi baby gal njoo me nipate nafasi
Chorous
Yeah usione kama naropoka me niko real
Inamaana ndo unataka sema hata haunifeel
Skiza baby gal In fact am dying
Naomba unielewe me ni kwenye line
Ndo maana daily nataka niwe nawe siwez kuishi maisha
Peke yangu bila ww nitaenjoy vip wakati nko mwenyewe
Ni viti nitafurahi wapi nitajidai
Nishachunguza round wengi wliopita na
Wake zao waskaji zangu wa home wana ndoa zao
Niite basi mpenzi ili we uwe wangu
Mungu akipenda naamini uatkua kwangu
ChorousΓ4