Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

G Nako x Diamond Platnumz - Komando (Official Music Video)

๐Ÿ‘ค G Nako โ€ข ๐ŸŽผ G Nako โ€ข โฑ๏ธ 3:29
๐ŸŽต 2356 characters
โฑ๏ธ 3:29 duration
๐Ÿ†” ID: 8321977

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmm (yeah, yeah)
Wa-rah!
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) we zombie!
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) haujui?
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) we zombie!
(Leo lion, simba na-) na simba la masimba, Dangote

Omalicha, omalicha!
Ah, ki-wowowo feki unatingisha
Unaona sifa, tu misifa
We endelea kuzigida, utazilipa!

We jifanye born hapa (mzaliwa)
Na chako tukikitaka (kinaliwa)
Mwana nguru bin papa (maziwa)
Chapa fululu mi matter (unalia)

Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni

Mlioachwa (poleni)
Mnaodai (poleni)
Msio na baby (poleni)
Mkakojoe (kalaleni)

Komando, komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Komando, sisi komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Ka big G, yaani utamu ka big G (eeh)
Ka big G, yaani utamu ka big G (eeh)
Ka big G (komando sisi komando) yaani utamu ka big G (waambie sisi ndio vipensi, komando)
Ka big G (komando, komando) yaani utamu ka big G (waambie sisi ndio vipensi, komando)

Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)
Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)

Abah tiee (abah tiee), abah wenah (abah wenah)
Oh, my queen (oh, my queen), nipe tena (nipe tena)
Hapa chini (hapa chini), shuka tena (shuka tena)
We una nini? (we una nini?), unahema (unahema)

Mchepuko leo nae kasalitiwa (waah)
Mke wa mtu sumu kuna maziwa (waah)
Kuna maziwa na kutaitiwa
(Tiwa savage)

Umealikwa, hujaalikwa
We njoo na mpunga patakalika
Mashimo yote kanapita
Kwenye milima na mabonde panapitika

Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni

Mlioachwa (poleni)
Mnaodai (poleni)
Msio na baby (poleni)
Mkakojoe (kalaleni)

Komando, komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Komando, sisi komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Ka big G, yani utamu ka big G (eh)
Ka big G, yani utamu ka big G (eh)
Ka big G (komando sisi komando) yani utamu ka big G (waambie sisi ndio vipensi, komando)
Ka big G (komando, komando) yani utamu ka big G (waambie sisi ndio vipensi, komando)

Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)
(Kamix-Lizer)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:25.52] Mmm (yeah, yeah)
[00:27.34] Wa-rah!
[00:30.56] (Leo lion, simba na zombi wa mazombi) we zombie!
[00:33.77] (Leo lion, simba na zombi wa mazombi) haujui?
[00:38.29] (Leo lion, simba na zombi wa mazombi) we zombie!
[00:42.68] (Leo lion, simba na-) na simba la masimba, Dangote
[00:47.02] Omalicha, omalicha!
[00:48.92] Ah, ki-wowowo feki unatingisha
[00:51.18] Unaona sifa, tu misifa
[00:53.38] We endelea kuzigida, utazilipa!
[00:55.40] We jifanye born hapa (mzaliwa)
[00:57.50] Na chako tukikitaka (kinaliwa)
[00:59.56] Mwana nguru bin papa (maziwa)
[01:01.73] Chapa fululu mi matter (unalia)
[01:03.86] Kwanza poleni, poleni
[01:06.22] Nawapa wote poleni
[01:08.35] Nawatakia poleni
[01:10.35] Nawasalia poleni
[01:12.48] Mlioachwa (poleni)
[01:14.57] Mnaodai (poleni)
[01:16.66] Msio na baby (poleni)
[01:18.97] Mkakojoe (kalaleni)
[01:21.46] Komando, komando, komando
[01:24.02] Waambie sisi ndio vipensi, komando
[01:26.01] (Komando, komando)
[01:28.25] (Waambie sisi ndio vipensi, komando)
[01:30.04] Komando, sisi komando
[01:32.68] Waambie sisi ndio vipensi, komando
[01:34.65] (Komando, komando)
[01:36.69] (Waambie sisi ndio vipensi, komando)
[01:38.92] Ka big G, yaani utamu ka big G (eeh)
[01:42.58] Ka big G, yaani utamu ka big G (eeh)
[01:46.63] Ka big G (komando sisi komando) yaani utamu ka big G (waambie sisi ndio vipensi, komando)
[01:51.48] Ka big G (komando, komando) yaani utamu ka big G (waambie sisi ndio vipensi, komando)
[01:54.55] Kan'fuma na katoto ka-Tanga
[01:58.73] Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)
[02:00.07] Kan'fuma na katoto ka-Tanga
[02:02.17] Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)
[02:04.45] Abah tiee (abah tiee), abah wenah (abah wenah)
[02:06.26] Oh, my queen (oh, my queen), nipe tena (nipe tena)
[02:08.06] Hapa chini (hapa chini), shuka tena (shuka tena)
[02:10.76] We una nini? (we una nini?), unahema (unahema)
[02:12.46] Mchepuko leo nae kasalitiwa (waah)
[02:15.02] Mke wa mtu sumu kuna maziwa (waah)
[02:17.19] Kuna maziwa na kutaitiwa
[02:19.03] (Tiwa savage)
[02:20.96] Umealikwa, hujaalikwa
[02:22.94] We njoo na mpunga patakalika
[02:25.08] Mashimo yote kanapita
[02:27.63] Kwenye milima na mabonde panapitika
[02:29.82] Kwanza poleni, poleni
[02:31.94] Nawapa wote poleni
[02:34.00] Nawatakia poleni
[02:36.19] Nawasalia poleni
[02:38.17] Mlioachwa (poleni)
[02:40.12] Mnaodai (poleni)
[02:42.23] Msio na baby (poleni)
[02:44.22] Mkakojoe (kalaleni)
[02:46.81] Komando, komando, komando
[02:49.69] Waambie sisi ndio vipensi, komando
[02:51.81] (Komando, komando)
[02:53.83] (Waambie sisi ndio vipensi, komando)
[02:55.97] Komando, sisi komando
[02:58.05] Waambie sisi ndio vipensi, komando
[03:00.32] (Komando, komando)
[03:02.52] (Waambie sisi ndio vipensi, komando)
[03:04.58] Ka big G, yani utamu ka big G (eh)
[03:08.09] Ka big G, yani utamu ka big G (eh)
[03:12.30] Ka big G (komando sisi komando) yani utamu ka big G (waambie sisi ndio vipensi, komando)
[03:16.63] Ka big G (komando, komando) yani utamu ka big G (waambie sisi ndio vipensi, komando)
[03:21.66] Kan'fuma na katoto ka-Tanga
[03:23.46] Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)
[03:25.39] (Kamix-Lizer)
[03:26.72]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings