Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Proud of You - Darassa Ft. Alikiba (Official Music Video)

๐Ÿ‘ค Darassa โ€ข ๐ŸŽผ Darassa โ€ข โฑ๏ธ 3:43
๐ŸŽต 2056 characters
โฑ๏ธ 3:43 duration
๐Ÿ†” ID: 8679263

๐Ÿ“œ Lyrics

Yap
Aaah, aah
Ye baba (classic music)
Iyoo, Iyooo, Iyooo

Ulivyojidapika oh mama eeh
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
I'm proud of you my woman

Mi siogopi eh
Kwani ye ndiye wa moyo pambio (heee)
Na hakiombeki namkiya uwooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh

Ah, you make a man wah wah wah
Woman why you do me la la like that
You make me sing nah nah nah nah
She got that beauty kampa mama

Mapenzi yanaweza kuchipua jangwani
Mapenzi hayadanganyi usifanyie utani
Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani
Yakikushika mapenzi mambo hadharani

Nikubebe mgongoni nikuzungushe mtaani
Au ufungue moyo ndani uone thamani
No game, game-over nimesurrender
Sina-sina sera, sina agenda
Sina pakwenda mtu ukipenda danger
Unaweza kusaga chuma kwa blender

Ulivyojidapika oh mama ee
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
I'm proud of you my woman

Mi siogopi eh
Kwani ye ndiye wa moyo pambio
Na hakiombeki namkiya uwooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh

You too much sweety
Unapotabasamu hunionyeshi hamu
My lemon my sugar tam tam
I'm proud of you my woman

Mi siogopi eh
Nawe ndo nyota ya kamchezo
Hii karama hakuna cha dezo dezo
Waambie kwangu ushatulia bila kiungulia

Anachotaka nakata
Pochi namnunulia
Namwaga manoti nahudumia
Hahitaji tochi namulikia

Kashavua upweke vua koti namkumbatia
I need you by my side, need you in my life
Girl I wanna marry you, can you be my wife?
Sikumwagii sera za kuja kukulaghai
Me I tell you no lie, walai mama I'm die

Unaniipandisha mizuka, zuka
Narukaruka matuta, tuta
Sifa nyingi za kukupa, nakupa
Mwendo kama umejisusa, unajitupa (aya!)

Funga kazi namba moja top top
Umkute mwanamke wa uswazi anajua soap soap
Chochote anachovaa kinafaa dope dope
Akiinuka akikaa ndo balaa oh oh

Ulivyojitapika oh mama ee
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
I'm proud of you my woman

Mi siogopi eh
Kwani ye ndiye wa moyo pambio
Na hakiombeki namkiya ooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh

Comestas, niko na Darassa
Yeap
Yeah baba, uuh la-la
Aba!, ababa, eeh
Vitu vitamu ndo vinagharamiwa

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.21] Yap
[00:03.47] Aaah, aah
[00:04.81] Ye baba (classic music)
[00:06.37] Iyoo, Iyooo, Iyooo
[00:14.73]
[00:19.59] Ulivyojidapika oh mama eeh
[00:21.39] Yaani we ndo my woman
[00:23.58] Itabidi wakushangae
[00:25.50] I'm proud of you my woman
[00:27.93] Mi siogopi eh
[00:30.72] Kwani ye ndiye wa moyo pambio (heee)
[00:31.92] Na hakiombeki namkiya uwooh
[00:36.08] Fagio oh-oh
[00:39.51] Fagio eh-eh
[00:41.26] Fagio oh-oh, eh eh eh
[00:43.95] Ah, you make a man wah wah wah
[00:48.55] Woman why you do me la la like that
[00:50.26] You make me sing nah nah nah nah
[00:53.19] She got that beauty kampa mama
[00:55.53] Mapenzi yanaweza kuchipua jangwani
[00:59.92] Mapenzi hayadanganyi usifanyie utani
[01:02.53] Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani
[01:04.38] Yakikushika mapenzi mambo hadharani
[01:06.63] Nikubebe mgongoni nikuzungushe mtaani
[01:08.50] Au ufungue moyo ndani uone thamani
[01:10.22] No game, game-over nimesurrender
[01:12.44] Sina-sina sera, sina agenda
[01:14.68] Sina pakwenda mtu ukipenda danger
[01:18.77] Unaweza kusaga chuma kwa blender
[01:20.45] Ulivyojidapika oh mama ee
[01:22.10] Yaani we ndo my woman
[01:23.74] Itabidi wakushangae
[01:25.37] I'm proud of you my woman
[01:27.26] Mi siogopi eh
[01:29.56] Kwani ye ndiye wa moyo pambio
[01:31.13] Na hakiombeki namkiya uwooh
[01:36.15] Fagio oh-oh
[01:37.95] Fagio eh-eh
[01:41.21] Fagio oh-oh, eh eh eh
[01:43.86] You too much sweety
[01:49.18] Unapotabasamu hunionyeshi hamu
[01:51.72] My lemon my sugar tam tam
[01:54.48] I'm proud of you my woman
[01:56.36] Mi siogopi eh
[01:58.11] Nawe ndo nyota ya kamchezo
[01:59.74] Hii karama hakuna cha dezo dezo
[02:01.71] Waambie kwangu ushatulia bila kiungulia
[02:03.38] Anachotaka nakata
[02:06.29] Pochi namnunulia
[02:08.10] Namwaga manoti nahudumia
[02:10.30] Hahitaji tochi namulikia
[02:12.33] Kashavua upweke vua koti namkumbatia
[02:15.24] I need you by my side, need you in my life
[02:17.98] Girl I wanna marry you, can you be my wife?
[02:20.16] Sikumwagii sera za kuja kukulaghai
[02:22.25] Me I tell you no lie, walai mama I'm die
[02:23.90] Unaniipandisha mizuka, zuka
[02:26.40] Narukaruka matuta, tuta
[02:28.73] Sifa nyingi za kukupa, nakupa
[02:31.38] Mwendo kama umejisusa, unajitupa (aya!)
[02:33.56] Funga kazi namba moja top top
[02:36.33] Umkute mwanamke wa uswazi anajua soap soap
[02:38.52] Chochote anachovaa kinafaa dope dope
[02:40.13] Akiinuka akikaa ndo balaa oh oh
[02:42.70] Ulivyojitapika oh mama ee
[02:44.97] Yaani we ndo my woman
[02:47.25] Itabidi wakushangae
[02:49.64] I'm proud of you my woman
[02:54.62] Mi siogopi eh
[02:56.45] Kwani ye ndiye wa moyo pambio
[02:57.31] Na hakiombeki namkiya ooh
[03:00.48] Fagio oh-oh
[03:03.26] Fagio eh-eh
[03:04.99] Fagio oh-oh, eh eh eh
[03:07.64] Comestas, niko na Darassa
[03:13.98] Yeap
[03:15.93] Yeah baba, uuh la-la
[03:18.56] Aba!, ababa, eeh
[03:22.11]
[03:26.16] Vitu vitamu ndo vinagharamiwa
[03:28.95]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings