2nd Wave
๐ต 2394 characters
โฑ๏ธ 2:41 duration
๐ ID: 8772862
๐ Lyrics
Si tuko baze tunachill we got nothing to lose
Izo change mtatuachia tukiwajazia matatu
Mikono juu please, usimake sudden moves
Ita press umuambie apa kuna kitu itamake kwa news
Karao alitry kushika yout sema kuwacha mguu
MauMau part2 ni vile tumetulia tu
Righteous youts lakini hamtushindi kugroove
Hamtushindi kupush, hamtushindi ma 1 2
Sa mnadu
Ka si look na kuingia Carrefour
Pass iyo douche umedunga na ni foreign si gush
Hakuna kitu tamu kama kuget high kwa roof
Saa iyo keja imewaka na inagonga tu ma Roots
Punctuate iyo sentence tuelewe chenye unasema
Me ni ka Elijah, me ni ka Moses, nkitembea kwa bush Warena
Eeeh nakam kwa Arena na njaa za ki Magera
Sauti ya Miriam Makeba inaplay kwa debe na Tenour
Tumerudi tena, ka 2nd wave but only better
Rizzla ki nea paraphenelia za ma vela
Mbleina cheki Radar tumeriet tuko ma Red Eye
Yes I, natyy zinadunda ka za Dedan
Runda ndo si udunda zikirundaa
Jeshi ya bunda, washwash si mumesunda
Willy Mtunga ungechanua kina Mtuva
Izo milli ni za kusunda sa itabaki jo umekulwa
Alfred Mutua alikuliwa pia na Julius
Crime scene, 15, one down Rubia
Shut down, Shut up, si uliambiwa tulia
Kushoto ya kahasho mpaka ukaanza kulia
Pastor alikula kondoo na mbegu haikua imegrow
Nliwaambia siste alienda kombo skuizi anapenda kuicock
Na hatujawai condone mistake zikiwa tatu in a row
Na si unajua hatujawai bow down kwa Mlami juu ya Do
Me ndo iyo monkey kwa room Otobenga yoh
Nimetoka human zoo walini import juu ya kuflow
Top ranking kwa booth Alpha Omega bro
Patia mtoto the Truth ata unaeza mnyima Do
Hang nao juu ya Do, kama suicider kwa rope
Powe inaeza fanya bro aingie bro guto
Rap loud vunja gate ingia industry na force
Towers lazima zitafall after all I know
On God mathangu na pia matha fuvkin Dosh
Tulidoze backstreet tukiwa mbachu juu ya ma cops
Nimechoka, baby girl, please panda On Top
Me mshifty skuizi na work around the clock
Ata u sing hard aje unaeza kuwa the unsung Hero
Kipsang uyo mbio ame cover distance Zero
Umehang uko Maduya ama unataka Reload
Si ulimeza 40 percent sai unataka Milo
Aliona aache shillings akakimbilia Riyad
Sai amerudi Nill, anatuthigitha adi Mia
Ngumu ata kulipa na wao uanga wa kwanza kulia
Tuliifanya last year na this year tutairudiaa
Wantaka two thirds ndio ati hali ikue Maryer
Niko na RudeGyal sioni Things zikiwa better
Ako wapi Dufla ama alikula akasepa
Batizwa na BoomBap kwa jina la Kimemia

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:11.82] Si tuko baze tunachill we got nothing to lose
[00:14.48] Izo change mtatuachia tukiwajazia matatu
[00:17.18] Mikono juu please, usimake sudden moves
[00:19.81] Ita press umuambie apa kuna kitu itamake kwa news
[00:22.60] Karao alitry kushika yout sema kuwacha mguu
[00:25.26] MauMau part2 ni vile tumetulia tu
[00:27.83] Righteous youts lakini hamtushindi kugroove
[00:30.66] Hamtushindi kupush, hamtushindi ma 1 2
[00:33.02] Sa mnadu
[00:34.35] Ka si look na kuingia Carrefour
[00:36.16] Pass iyo douche umedunga na ni foreign si gush
[00:38.49] Hakuna kitu tamu kama kuget high kwa roof
[00:40.97] Saa iyo keja imewaka na inagonga tu ma Roots
[00:43.46] Punctuate iyo sentence tuelewe chenye unasema
[00:46.37] Me ni ka Elijah, me ni ka Moses, nkitembea kwa bush Warena
[00:48.96] Eeeh nakam kwa Arena na njaa za ki Magera
[00:51.72] Sauti ya Miriam Makeba inaplay kwa debe na Tenour
[00:54.51] Tumerudi tena, ka 2nd wave but only better
[00:57.15] Rizzla ki nea paraphenelia za ma vela
[00:59.94] Mbleina cheki Radar tumeriet tuko ma Red Eye
[01:02.58] Yes I, natyy zinadunda ka za Dedan
[01:05.15] Runda ndo si udunda zikirundaa
[01:07.79] Jeshi ya bunda, washwash si mumesunda
[01:10.73] Willy Mtunga ungechanua kina Mtuva
[01:13.29] Izo milli ni za kusunda sa itabaki jo umekulwa
[01:16.03] Alfred Mutua alikuliwa pia na Julius
[01:18.58] Crime scene, 15, one down Rubia
[01:21.15] Shut down, Shut up, si uliambiwa tulia
[01:23.83] Kushoto ya kahasho mpaka ukaanza kulia
[01:26.47] Pastor alikula kondoo na mbegu haikua imegrow
[01:29.07] Nliwaambia siste alienda kombo skuizi anapenda kuicock
[01:31.85] Na hatujawai condone mistake zikiwa tatu in a row
[01:34.46] Na si unajua hatujawai bow down kwa Mlami juu ya Do
[01:37.06] Me ndo iyo monkey kwa room Otobenga yoh
[01:39.75] Nimetoka human zoo walini import juu ya kuflow
[01:42.46] Top ranking kwa booth Alpha Omega bro
[01:45.12] Patia mtoto the Truth ata unaeza mnyima Do
[01:47.89] Hang nao juu ya Do, kama suicider kwa rope
[01:50.43] Powe inaeza fanya bro aingie bro guto
[01:53.15] Rap loud vunja gate ingia industry na force
[01:55.84] Towers lazima zitafall after all I know
[01:58.48] On God mathangu na pia matha fuvkin Dosh
[02:01.03] Tulidoze backstreet tukiwa mbachu juu ya ma cops
[02:03.82] Nimechoka, baby girl, please panda On Top
[02:06.44] Me mshifty skuizi na work around the clock
[02:09.30] Ata u sing hard aje unaeza kuwa the unsung Hero
[02:11.88] Kipsang uyo mbio ame cover distance Zero
[02:14.47] Umehang uko Maduya ama unataka Reload
[02:17.12] Si ulimeza 40 percent sai unataka Milo
[02:19.94] Aliona aache shillings akakimbilia Riyad
[02:22.42] Sai amerudi Nill, anatuthigitha adi Mia
[02:25.21] Ngumu ata kulipa na wao uanga wa kwanza kulia
[02:27.89] Tuliifanya last year na this year tutairudiaa
[02:30.51] Wantaka two thirds ndio ati hali ikue Maryer
[02:33.14] Niko na RudeGyal sioni Things zikiwa better
[02:35.87] Ako wapi Dufla ama alikula akasepa
[02:38.35] Batizwa na BoomBap kwa jina la Kimemia
[02:40.32]