Hussein Machozi - Kwa Ajili Yako (Official Video)
๐ต 1330 characters
โฑ๏ธ 5:07 duration
๐ ID: 9126595
๐ Lyrics
Najua hiki ndio kipindi ukipendacho
Najua sasa hivi uko karibu na redio
Labda peke yako hauna rafiki zako
Naomba kidogo ongeza sauti ya redio
Nachukua nafasi kuongea nawe kwa wimbo
Nimetunga special kwa ajili yako mrembo
Mtangazi kati ya wimbo usiweke jingo
Nimetunga rasmi kwa mtu aliye single
Kwa ajili yako naimba
Sauti hii sikia
Habari hii pokea
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia
Zingatia... ah ah
Ndani ya roho yangu uko peke yako
Usihofu mami hakuna mwenzako
Nimezaliwa mimi kwa ajili yako
Ninaahidi sitotupa penzi lako
Nimekupa nafasi kubwa ndani ya moyo
Fursa tu uniite baba watoto wako
Kipingamizi hakuna juu yako
Come closer nipunguze mapigo ya moyo
Kwa ajili yako naimba
Sauti hii sikia
Habari hii pokea
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia
Zingatia... ah ah
Moyo wangu unatamani sana
Mimi kuwa na wewe
Wacha niseme hadharani
Kila mtu asikie
Moyo wangu unatamani sana
Mimi kuwa na wewe
Wacha niseme hadharani
Kila mtu asikie
Asali ni tamu baby
Kwa wanaoifahamu
Ila ni chungu sana, kwa wasioifahamu
Songea karibu yangu yangu, tulia kabisa
Lala kifuani mwangu,sinzia kabisa
Kwa ajili yako naimba
Sauti hii sikia
Habari hii pokea
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia
Zingatia... ah ah
Zingatia
Zingatia
Zingatia
Najua sasa hivi uko karibu na redio
Labda peke yako hauna rafiki zako
Naomba kidogo ongeza sauti ya redio
Nachukua nafasi kuongea nawe kwa wimbo
Nimetunga special kwa ajili yako mrembo
Mtangazi kati ya wimbo usiweke jingo
Nimetunga rasmi kwa mtu aliye single
Kwa ajili yako naimba
Sauti hii sikia
Habari hii pokea
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia
Zingatia... ah ah
Ndani ya roho yangu uko peke yako
Usihofu mami hakuna mwenzako
Nimezaliwa mimi kwa ajili yako
Ninaahidi sitotupa penzi lako
Nimekupa nafasi kubwa ndani ya moyo
Fursa tu uniite baba watoto wako
Kipingamizi hakuna juu yako
Come closer nipunguze mapigo ya moyo
Kwa ajili yako naimba
Sauti hii sikia
Habari hii pokea
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia
Zingatia... ah ah
Moyo wangu unatamani sana
Mimi kuwa na wewe
Wacha niseme hadharani
Kila mtu asikie
Moyo wangu unatamani sana
Mimi kuwa na wewe
Wacha niseme hadharani
Kila mtu asikie
Asali ni tamu baby
Kwa wanaoifahamu
Ila ni chungu sana, kwa wasioifahamu
Songea karibu yangu yangu, tulia kabisa
Lala kifuani mwangu,sinzia kabisa
Kwa ajili yako naimba
Sauti hii sikia
Habari hii pokea
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia mrembo
Usiguze mrembo
Zingatia
Zingatia... ah ah
Zingatia
Zingatia
Zingatia
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:18.07] Najua hiki ndio kipindi ukipendacho
[00:25.91] Najua sasa hivi uko karibu na redio
[00:31.43] Labda peke yako hauna rafiki zako
[00:36.92] Naomba kidogo ongeza sauti ya redio
[00:42.44] Nachukua nafasi kuongea nawe kwa wimbo
[00:48.31] Nimetunga special kwa ajili yako mrembo
[00:53.04] Mtangazi kati ya wimbo usiweke jingo
[00:58.88] Nimetunga rasmi kwa mtu aliye single
[01:02.60] Kwa ajili yako naimba
[01:06.89] Sauti hii sikia
[01:13.58] Habari hii pokea
[01:18.05] Zingatia mrembo
[01:20.44] Usiguze mrembo
[01:23.60] Zingatia mrembo
[01:25.74] Usiguze mrembo
[01:28.41] Zingatia
[01:32.89] Zingatia... ah ah
[01:38.25] Ndani ya roho yangu uko peke yako
[01:44.32] Usihofu mami hakuna mwenzako
[01:50.03] Nimezaliwa mimi kwa ajili yako
[01:54.95] Ninaahidi sitotupa penzi lako
[02:00.58] Nimekupa nafasi kubwa ndani ya moyo
[02:05.64] Fursa tu uniite baba watoto wako
[02:10.98] Kipingamizi hakuna juu yako
[02:15.74] Come closer nipunguze mapigo ya moyo
[02:20.44] Kwa ajili yako naimba
[02:26.50] Sauti hii sikia
[02:31.30] Habari hii pokea
[02:34.86] Zingatia mrembo
[02:37.74] Usiguze mrembo
[02:40.41] Zingatia mrembo
[02:43.74] Usiguze mrembo
[02:45.67] Zingatia
[02:50.76] Zingatia... ah ah
[02:52.65] Moyo wangu unatamani sana
[02:53.30] Mimi kuwa na wewe
[02:53.97] Wacha niseme hadharani
[03:00.80] Kila mtu asikie
[03:03.09] Moyo wangu unatamani sana
[03:06.07] Mimi kuwa na wewe
[03:08.38] Wacha niseme hadharani
[03:11.37] Kila mtu asikie
[03:13.02] Asali ni tamu baby
[03:16.63] Kwa wanaoifahamu
[03:18.98] Ila ni chungu sana, kwa wasioifahamu
[03:23.57] Songea karibu yangu yangu, tulia kabisa
[03:28.55] Lala kifuani mwangu,sinzia kabisa
[03:33.26] Kwa ajili yako naimba
[03:38.21] Sauti hii sikia
[03:40.67] Habari hii pokea
[03:47.69] Zingatia mrembo
[03:50.16] Usiguze mrembo
[03:52.75] Zingatia mrembo
[03:55.24] Usiguze mrembo
[03:57.95] Zingatia
[04:02.21] Zingatia... ah ah
[04:03.58] Zingatia
[04:08.55] Zingatia
[04:13.69] Zingatia
[04:17.74]
[00:25.91] Najua sasa hivi uko karibu na redio
[00:31.43] Labda peke yako hauna rafiki zako
[00:36.92] Naomba kidogo ongeza sauti ya redio
[00:42.44] Nachukua nafasi kuongea nawe kwa wimbo
[00:48.31] Nimetunga special kwa ajili yako mrembo
[00:53.04] Mtangazi kati ya wimbo usiweke jingo
[00:58.88] Nimetunga rasmi kwa mtu aliye single
[01:02.60] Kwa ajili yako naimba
[01:06.89] Sauti hii sikia
[01:13.58] Habari hii pokea
[01:18.05] Zingatia mrembo
[01:20.44] Usiguze mrembo
[01:23.60] Zingatia mrembo
[01:25.74] Usiguze mrembo
[01:28.41] Zingatia
[01:32.89] Zingatia... ah ah
[01:38.25] Ndani ya roho yangu uko peke yako
[01:44.32] Usihofu mami hakuna mwenzako
[01:50.03] Nimezaliwa mimi kwa ajili yako
[01:54.95] Ninaahidi sitotupa penzi lako
[02:00.58] Nimekupa nafasi kubwa ndani ya moyo
[02:05.64] Fursa tu uniite baba watoto wako
[02:10.98] Kipingamizi hakuna juu yako
[02:15.74] Come closer nipunguze mapigo ya moyo
[02:20.44] Kwa ajili yako naimba
[02:26.50] Sauti hii sikia
[02:31.30] Habari hii pokea
[02:34.86] Zingatia mrembo
[02:37.74] Usiguze mrembo
[02:40.41] Zingatia mrembo
[02:43.74] Usiguze mrembo
[02:45.67] Zingatia
[02:50.76] Zingatia... ah ah
[02:52.65] Moyo wangu unatamani sana
[02:53.30] Mimi kuwa na wewe
[02:53.97] Wacha niseme hadharani
[03:00.80] Kila mtu asikie
[03:03.09] Moyo wangu unatamani sana
[03:06.07] Mimi kuwa na wewe
[03:08.38] Wacha niseme hadharani
[03:11.37] Kila mtu asikie
[03:13.02] Asali ni tamu baby
[03:16.63] Kwa wanaoifahamu
[03:18.98] Ila ni chungu sana, kwa wasioifahamu
[03:23.57] Songea karibu yangu yangu, tulia kabisa
[03:28.55] Lala kifuani mwangu,sinzia kabisa
[03:33.26] Kwa ajili yako naimba
[03:38.21] Sauti hii sikia
[03:40.67] Habari hii pokea
[03:47.69] Zingatia mrembo
[03:50.16] Usiguze mrembo
[03:52.75] Zingatia mrembo
[03:55.24] Usiguze mrembo
[03:57.95] Zingatia
[04:02.21] Zingatia... ah ah
[04:03.58] Zingatia
[04:08.55] Zingatia
[04:13.69] Zingatia
[04:17.74]