Viva La Vida
๐ต 1419 characters
โฑ๏ธ 2:59 duration
๐ ID: 9218525
๐ Lyrics
(La la la la la la)
(Viva la Vida la Vida la Vida ma)
Sudah
(La la la la la la la)
(Ma ma ma ma ma ma)
No disturbance
Leo ni lazima nile nyama
Kisha nimalizie na shada
Nimeshajinyimanga sana
Mi usave sana
For Suzanna
You know forever I got my mama
Sitaki madeni ama drama
Natuma za mamaa na pesa za chama
(No no no no)
Akianani maisha ya city
Tunaishingi 50-50
Utakaribishwa na mwizi
Ama wajanja na mafisi
Wasichana wapretty pretty
Wananiita mwenye kiti
Wanaonanga niko fiti
Hauezi nieka chini
Viva la Vida la Vida la Vida
Ahumdulilah nimeivaa
Nimepiga looku nimeshiba
Dua langu leo limefika
Amina Amina
Ahumdulilah nimeivaa
Nimekula fiti nimeshiba
Dua langu leo limefika
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
Kamshande kako set
Nimeshalipana rent
Leo nimeshinda bet
Sasa wapi weekendi
Ka msupa kako wet
Kanataka nikapet
Nikavalishe pete
Kisha apewe machete
Vaa nikua ngwete
Nikua ngwete
Unawasha moto sasa wacha nipepete
Nibebeshe niichezeshe
Maisha raha washa kitu ituchekeshe
Akianani maisha ya city
Tunaishingi 50-50
Utakaribishwa na mwizi
Ama wajanja na mafisi
Wakubwa wa maofisi
Wananiita mwenye kiti
Wanaonanga niko fiti
Huwezi nieka chini
Viva la Vida la Vida la Vida
Ahumdulilah nimeivaa
Nimekula fiti nimeshiba
Dua langu leo limefika
Amina Amina
Ahumdulilah nimeivaa
Nimepiga looku nimeshiba
Dua langu leo limefika
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
(Amina)
(Viva la Vida la Vida la Vida ma)
Sudah
(La la la la la la la)
(Ma ma ma ma ma ma)
No disturbance
Leo ni lazima nile nyama
Kisha nimalizie na shada
Nimeshajinyimanga sana
Mi usave sana
For Suzanna
You know forever I got my mama
Sitaki madeni ama drama
Natuma za mamaa na pesa za chama
(No no no no)
Akianani maisha ya city
Tunaishingi 50-50
Utakaribishwa na mwizi
Ama wajanja na mafisi
Wasichana wapretty pretty
Wananiita mwenye kiti
Wanaonanga niko fiti
Hauezi nieka chini
Viva la Vida la Vida la Vida
Ahumdulilah nimeivaa
Nimepiga looku nimeshiba
Dua langu leo limefika
Amina Amina
Ahumdulilah nimeivaa
Nimekula fiti nimeshiba
Dua langu leo limefika
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
Kamshande kako set
Nimeshalipana rent
Leo nimeshinda bet
Sasa wapi weekendi
Ka msupa kako wet
Kanataka nikapet
Nikavalishe pete
Kisha apewe machete
Vaa nikua ngwete
Nikua ngwete
Unawasha moto sasa wacha nipepete
Nibebeshe niichezeshe
Maisha raha washa kitu ituchekeshe
Akianani maisha ya city
Tunaishingi 50-50
Utakaribishwa na mwizi
Ama wajanja na mafisi
Wakubwa wa maofisi
Wananiita mwenye kiti
Wanaonanga niko fiti
Huwezi nieka chini
Viva la Vida la Vida la Vida
Ahumdulilah nimeivaa
Nimekula fiti nimeshiba
Dua langu leo limefika
Amina Amina
Ahumdulilah nimeivaa
Nimepiga looku nimeshiba
Dua langu leo limefika
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
(Amina)
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:01.15] (La la la la la la)
[00:03.39] (Viva la Vida la Vida la Vida ma)
[00:05.87] Sudah
[00:06.66] (La la la la la la la)
[00:08.58] (Ma ma ma ma ma ma)
[00:10.46] No disturbance
[00:12.33] Leo ni lazima nile nyama
[00:15.02] Kisha nimalizie na shada
[00:17.56] Nimeshajinyimanga sana
[00:20.05] Mi usave sana
[00:21.18] For Suzanna
[00:22.75] You know forever I got my mama
[00:25.49] Sitaki madeni ama drama
[00:28.43] Natuma za mamaa na pesa za chama
[00:30.98] (No no no no)
[00:31.73] Akianani maisha ya city
[00:34.29] Tunaishingi 50-50
[00:37.26] Utakaribishwa na mwizi
[00:39.43] Ama wajanja na mafisi
[00:41.88] Wasichana wapretty pretty
[00:45.17] Wananiita mwenye kiti
[00:47.96] Wanaonanga niko fiti
[00:50.47] Hauezi nieka chini
[00:53.47] Viva la Vida la Vida la Vida
[00:56.05] Ahumdulilah nimeivaa
[00:58.57] Nimepiga looku nimeshiba
[01:02.03] Dua langu leo limefika
[01:04.59] Amina Amina
[01:06.94] Ahumdulilah nimeivaa
[01:09.75] Nimekula fiti nimeshiba
[01:12.45] Dua langu leo limefika
[01:14.38] Ahhhhh Amina Amina
[01:19.83] Ahhhhh Amina Amina
[01:25.33] Kamshande kako set
[01:26.44] Nimeshalipana rent
[01:27.41] Leo nimeshinda bet
[01:28.88] Sasa wapi weekendi
[01:30.28] Ka msupa kako wet
[01:31.62] Kanataka nikapet
[01:32.93] Nikavalishe pete
[01:34.52] Kisha apewe machete
[01:35.81] Vaa nikua ngwete
[01:37.80] Nikua ngwete
[01:38.81] Unawasha moto sasa wacha nipepete
[01:41.34] Nibebeshe niichezeshe
[01:43.77] Maisha raha washa kitu ituchekeshe
[01:46.85] Akianani maisha ya city
[01:48.53] Tunaishingi 50-50
[01:51.52] Utakaribishwa na mwizi
[01:54.29] Ama wajanja na mafisi
[01:57.10] Wakubwa wa maofisi
[01:59.50] Wananiita mwenye kiti
[02:02.24] Wanaonanga niko fiti
[02:04.96] Huwezi nieka chini
[02:07.46] Viva la Vida la Vida la Vida
[02:10.29] Ahumdulilah nimeivaa
[02:13.73] Nimekula fiti nimeshiba
[02:16.58] Dua langu leo limefika
[02:18.29] Amina Amina
[02:21.46] Ahumdulilah nimeivaa
[02:24.23] Nimepiga looku nimeshiba
[02:27.03] Dua langu leo limefika
[02:29.84] Ahhhhh Amina Amina
[02:34.77] Ahhhhh Amina Amina
[02:39.76] Ahhhhh Amina Amina
[02:45.89] Ahhhhh Amina Amina
[02:50.39] (Amina)
[02:52.73]
[00:03.39] (Viva la Vida la Vida la Vida ma)
[00:05.87] Sudah
[00:06.66] (La la la la la la la)
[00:08.58] (Ma ma ma ma ma ma)
[00:10.46] No disturbance
[00:12.33] Leo ni lazima nile nyama
[00:15.02] Kisha nimalizie na shada
[00:17.56] Nimeshajinyimanga sana
[00:20.05] Mi usave sana
[00:21.18] For Suzanna
[00:22.75] You know forever I got my mama
[00:25.49] Sitaki madeni ama drama
[00:28.43] Natuma za mamaa na pesa za chama
[00:30.98] (No no no no)
[00:31.73] Akianani maisha ya city
[00:34.29] Tunaishingi 50-50
[00:37.26] Utakaribishwa na mwizi
[00:39.43] Ama wajanja na mafisi
[00:41.88] Wasichana wapretty pretty
[00:45.17] Wananiita mwenye kiti
[00:47.96] Wanaonanga niko fiti
[00:50.47] Hauezi nieka chini
[00:53.47] Viva la Vida la Vida la Vida
[00:56.05] Ahumdulilah nimeivaa
[00:58.57] Nimepiga looku nimeshiba
[01:02.03] Dua langu leo limefika
[01:04.59] Amina Amina
[01:06.94] Ahumdulilah nimeivaa
[01:09.75] Nimekula fiti nimeshiba
[01:12.45] Dua langu leo limefika
[01:14.38] Ahhhhh Amina Amina
[01:19.83] Ahhhhh Amina Amina
[01:25.33] Kamshande kako set
[01:26.44] Nimeshalipana rent
[01:27.41] Leo nimeshinda bet
[01:28.88] Sasa wapi weekendi
[01:30.28] Ka msupa kako wet
[01:31.62] Kanataka nikapet
[01:32.93] Nikavalishe pete
[01:34.52] Kisha apewe machete
[01:35.81] Vaa nikua ngwete
[01:37.80] Nikua ngwete
[01:38.81] Unawasha moto sasa wacha nipepete
[01:41.34] Nibebeshe niichezeshe
[01:43.77] Maisha raha washa kitu ituchekeshe
[01:46.85] Akianani maisha ya city
[01:48.53] Tunaishingi 50-50
[01:51.52] Utakaribishwa na mwizi
[01:54.29] Ama wajanja na mafisi
[01:57.10] Wakubwa wa maofisi
[01:59.50] Wananiita mwenye kiti
[02:02.24] Wanaonanga niko fiti
[02:04.96] Huwezi nieka chini
[02:07.46] Viva la Vida la Vida la Vida
[02:10.29] Ahumdulilah nimeivaa
[02:13.73] Nimekula fiti nimeshiba
[02:16.58] Dua langu leo limefika
[02:18.29] Amina Amina
[02:21.46] Ahumdulilah nimeivaa
[02:24.23] Nimepiga looku nimeshiba
[02:27.03] Dua langu leo limefika
[02:29.84] Ahhhhh Amina Amina
[02:34.77] Ahhhhh Amina Amina
[02:39.76] Ahhhhh Amina Amina
[02:45.89] Ahhhhh Amina Amina
[02:50.39] (Amina)
[02:52.73]