Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Adabu (feat. H_ART THE BAND)

๐Ÿ‘ค Dela โ€ข ๐ŸŽผ Public Demand โ€ข โฑ๏ธ 4:11
๐ŸŽต 1575 characters
โฑ๏ธ 4:11 duration
๐Ÿ†” ID: 9324232

๐Ÿ“œ Lyrics

Woman, you make me feel like a thousand shillings
Sio coins but noti
Me you minus tai shati na koti.
Heaven floating, hoping, I may make you feel like a lady
oooh yeeeah

Nataka unifunze adabu, (penzi langu tamu kama madafu)
Nipe nipe hilo penzi la ajabu, (usikawie, usikawie)
Usikawie bila sababu, (songa karibu yangu mami)
Nataka unifunze adabu, (usinipimie, usinipimie).

Ua limechanua, ukikawia litanyauka
Jua kapisha mvua, nimegundua utaniua
Wanipagawisha, long time it's been kuna kiangazi
Tukutane wapi, nikupate wapi
Hey hey heeeey hey hey
(Wewe ni mubaya-baya,
Mafuta moto kwa karaya-raya ah
Nitaimba bila haya-haya
Wewe ni pastor mi ni kwaya-kwaya aah)

Nataka unifunze adabu, (penzi langu tamu kama madafu)
Nipe nipe hilo penzi la ajabu, (usikawie, usikawie)
Usikawie bila sababu, (songa karibu yangu mami)
Nataka unifunze adabu, (usinipimie, usinipimie).

Mpenzi uka ngutavye,
Lemme lemme talk to you for a minute,
Coz lately, i seem not to be ok,
Wanifanya nakuwaza kishenzi,
Wanifanya nahisi ni kama naoga na maji vuguvugu,
Yaani ngumissiete ngakwata ukuta
Kizunguzungu,
It's been a long long time,
Since I felt this way,
And I've been longing and waiting,
To see your face,
Songea karibu,
Niruhusu nikubusu,
Sauti yako mpenzi,
Nataka kuisikia daily
(Baby you light me fire,
Nikiwa nawe mi sioni haya,
Mambo yote sawa,
Siwezi kuacha,
Hata na dawa ya mganga)

Nataka unifunze adabu, (penzi langu tamu kama madafu)
Nipe nipe hilo penzi la ajabu, (usikawie, usikawie)
Usikawie bila sababu, (songa karibu yangu mami)
Nataka unifunze adabu, (usinipimie, usinipimie).

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings