Nyota Yako
๐ต 1762 characters
โฑ๏ธ 4:52 duration
๐ ID: 9355495
๐ Lyrics
Jua kwamba wewe ndio wangu
Baridi ya roho 'seisha na hamu
Sura yako dawa kwangu
Raha za pungu' kando zangu
Mahaba yako ndio tiba yangu
Nyota yako yang'ara yangu
Hebu tathmini kisha nipe jibu
'Vi kwanini hutaki kunijibu
Mitihani yote nimeshinda
Nadhani ni wakati
Penzi letu sisi liwe wazi
Roho yangu inauma
Maumivu sasa basi
Sasa basiiiii
Ni kwa thabiti nielewe
Pesa sio mapenzi
Pesa sio mapenzi
Kwa utenzi huu
Nielewe baby
Nakuhitaji mpenzi
Wewe nd'o faraja yangu
Wewe nd'o faraja yangu
Faraja yangu
You are my baby
Jua kwamba wewe ndio wangu (oohhh...)
Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
Raha za pungu' kando zangu (nd'o zangu)
Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-)
Nyota yako (ehh) yang'ara yangu (kwangu mimi)
Kama tamaduni zetu ni moja
Twende nyumbani ukamsabahi mama
Tupate baraka za wazazi
Na uwajue ndugu zangu
Dini zetu isiwe kama hoja
Pingamizi sintozingoja
Niko tayari kukuvisha pete
Uwe wangu
Kwa utenzi huu
Niamini (niamini)
Nielewe (nielewe)
'Cause you're my baby (yeah yeah)
You're
You're my lady
Njoo nyumbani
Njoo nyumbani
You're my lady
Njoo nyumbani
Unipe burudani yeah
Uliniamini
You're my lady
Njoo nyumbani
Unipe burudani
Unione kama mimi yeah yeah ya'
Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu)
Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
Raha za kungu kando zangu (nd'o zangu)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:10.66] Jua kwamba wewe ndio wangu
[00:12.81] Baridi ya roho 'seisha na hamu
[00:15.28] Sura yako dawa kwangu
[00:19.07] Raha za pungu' kando zangu
[00:22.59] Mahaba yako ndio tiba yangu
[00:24.51] Nyota yako yang'ara yangu
[00:28.40] Hebu tathmini kisha nipe jibu
[00:31.52] 'Vi kwanini hutaki kunijibu
[00:33.89] Mitihani yote nimeshinda
[00:36.26] Nadhani ni wakati
[00:38.72] Penzi letu sisi liwe wazi
[00:40.93] Roho yangu inauma
[00:43.75] Maumivu sasa basi
[00:45.70] Sasa basiiiii
[00:48.01] Ni kwa thabiti nielewe
[00:52.04] Pesa sio mapenzi
[00:54.50] Pesa sio mapenzi
[00:56.94] Kwa utenzi huu
[00:59.62] Nielewe baby
[01:01.67] Nakuhitaji mpenzi
[01:04.01] Wewe nd'o faraja yangu
[01:10.33] Wewe nd'o faraja yangu
[01:13.52] Faraja yangu
[01:15.33] You are my baby
[01:16.51] Jua kwamba wewe ndio wangu (oohhh...)
[01:18.44] Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
[01:20.68] Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
[01:24.60] Raha za pungu' kando zangu (nd'o zangu)
[01:27.98] Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-)
[01:29.78] Nyota yako (ehh) yang'ara yangu (kwangu mimi)
[01:43.95] Kama tamaduni zetu ni moja
[01:46.04] Twende nyumbani ukamsabahi mama
[01:48.39] Tupate baraka za wazazi
[01:50.74] Na uwajue ndugu zangu
[01:53.11] Dini zetu isiwe kama hoja
[01:55.69] Pingamizi sintozingoja
[01:57.85] Niko tayari kukuvisha pete
[01:59.82] Uwe wangu
[02:02.62] Kwa utenzi huu
[02:04.34] Niamini (niamini)
[02:07.78] Nielewe (nielewe)
[02:09.94] 'Cause you're my baby (yeah yeah)
[02:20.98] You're
[02:23.54] You're my lady
[02:25.44] Njoo nyumbani
[02:27.69] Njoo nyumbani
[02:31.09] You're my lady
[02:32.35] Njoo nyumbani
[02:34.04] Unipe burudani yeah
[02:35.81] Uliniamini
[02:40.24] You're my lady
[02:41.66] Njoo nyumbani
[02:43.45] Unipe burudani
[02:45.45] Unione kama mimi yeah yeah ya'
[02:49.30] Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu)
[02:51.66] Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
[02:53.60] Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
[02:57.79] Raha za kungu kando zangu (nd'o zangu)
[03:00.76] Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-)
[03:02.98] Nyota yako (ehh) yang'ara yangu (kwangu mimi)
[03:44.47] Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu)
[03:47.52] Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
[03:49.62] Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
[03:53.77] Raha za kungu kando zangu (nd'o zangu)
[03:56.76] Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-)
[03:58.94] Nyota yako (ehh) yang'ara yangu (kwangu mimi)
[04:42.36]