Pendo La Mungu
๐ต 1375 characters
โฑ๏ธ 5:10 duration
๐ ID: 9584572
๐ Lyrics
Naona pendo
Kubwa mno latoka kwa Mwokozi wangu
Niteleka na maji mengi yatembeayo baharini
Lanitolea tumaini
Ya kwamba nitatiwa nguvu
Na niwe mhodari
Kwa pendo kubwa la Mwokozi
Lanitolea tumaini
Ya kwamba nitatiwa nguvu
Na niwe mhodari tena
Kwa pendo kubwa la Mwokozi
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Na pendo hilo kubwa mno
Huyaondoa majivuno
Na kunifunza haki kweli
Uongo wote niuvue
Hunituliza moyo wangu
Huruma nayo hunitia
Na sote tuwe na umoja
Katika pendo la Mwokozi
Hunituliza moyo wangu
Huruma nayo hunitia
Na sote tuwe na umoja
Katika pendo la Mwokozi
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako (moyo wako Baba)
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Nijazwe pendo hilo kubwa
Inibidiishe siku zote
Rohoni niwe na jukumu
Nimtumikie Bwana Yesu
Hazina Yako nipeleke
Kwa watu waliopotea
Wafahamishwe pendo kubwa
Ulilonalo Mungu wangu
Hazina Yako nipeleke
Kwa watu waliopotea
Wafahamishwe pendo kubwa
Ulilonalo Mungu wangu
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Kubwa mno latoka kwa Mwokozi wangu
Niteleka na maji mengi yatembeayo baharini
Lanitolea tumaini
Ya kwamba nitatiwa nguvu
Na niwe mhodari
Kwa pendo kubwa la Mwokozi
Lanitolea tumaini
Ya kwamba nitatiwa nguvu
Na niwe mhodari tena
Kwa pendo kubwa la Mwokozi
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Na pendo hilo kubwa mno
Huyaondoa majivuno
Na kunifunza haki kweli
Uongo wote niuvue
Hunituliza moyo wangu
Huruma nayo hunitia
Na sote tuwe na umoja
Katika pendo la Mwokozi
Hunituliza moyo wangu
Huruma nayo hunitia
Na sote tuwe na umoja
Katika pendo la Mwokozi
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako (moyo wako Baba)
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Nijazwe pendo hilo kubwa
Inibidiishe siku zote
Rohoni niwe na jukumu
Nimtumikie Bwana Yesu
Hazina Yako nipeleke
Kwa watu waliopotea
Wafahamishwe pendo kubwa
Ulilonalo Mungu wangu
Hazina Yako nipeleke
Kwa watu waliopotea
Wafahamishwe pendo kubwa
Ulilonalo Mungu wangu
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
Hallelujah
Ni pendo kubwa
Linalotoka moyo wako
Ee Mungu wangu nakuomba
Nijaze pendo lako tele
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:11.86] Naona pendo
[00:14.10] Kubwa mno latoka kwa Mwokozi wangu
[00:19.06] Niteleka na maji mengi yatembeayo baharini
[00:26.50] Lanitolea tumaini
[00:33.09] Ya kwamba nitatiwa nguvu
[00:37.56] Na niwe mhodari
[00:40.38] Kwa pendo kubwa la Mwokozi
[00:47.47] Lanitolea tumaini
[00:50.33] Ya kwamba nitatiwa nguvu
[00:55.52] Na niwe mhodari tena
[00:59.68] Kwa pendo kubwa la Mwokozi
[01:06.76] Hallelujah
[01:08.64] Ni pendo kubwa
[01:11.27] Linalotoka moyo wako
[01:14.61] Ee Mungu wangu nakuomba
[01:18.77] Nijaze pendo lako tele
[01:23.68] Hallelujah
[01:26.86] Ni pendo kubwa
[01:28.46] Linalotoka moyo wako
[01:32.93] Ee Mungu wangu nakuomba
[01:36.94] Nijaze pendo lako tele
[01:54.80] Na pendo hilo kubwa mno
[01:57.39] Huyaondoa majivuno
[02:01.54] Na kunifunza haki kweli
[02:05.99] Uongo wote niuvue
[02:09.14] Hunituliza moyo wangu
[02:14.88] Huruma nayo hunitia
[02:20.01] Na sote tuwe na umoja
[02:24.27] Katika pendo la Mwokozi
[02:29.86] Hunituliza moyo wangu
[02:33.66] Huruma nayo hunitia
[02:37.52] Na sote tuwe na umoja
[02:42.25] Katika pendo la Mwokozi
[02:48.93] Hallelujah
[02:51.12] Ni pendo kubwa
[02:53.04] Linalotoka moyo wako (moyo wako Baba)
[02:57.50] Ee Mungu wangu nakuomba
[03:01.30] Nijaze pendo lako tele
[03:05.21] Hallelujah
[03:08.62] Ni pendo kubwa
[03:10.94] Linalotoka moyo wako
[03:14.80] Ee Mungu wangu nakuomba
[03:19.19] Nijaze pendo lako tele
[03:36.68] Nijazwe pendo hilo kubwa
[03:40.06] Inibidiishe siku zote
[03:43.41] Rohoni niwe na jukumu
[03:48.23] Nimtumikie Bwana Yesu
[03:51.65] Hazina Yako nipeleke
[03:57.06] Kwa watu waliopotea
[04:06.29] Wafahamishwe pendo kubwa
[04:09.09] Ulilonalo Mungu wangu
[04:12.21] Hazina Yako nipeleke
[04:15.19] Kwa watu waliopotea
[04:20.26] Wafahamishwe pendo kubwa
[04:24.34] Ulilonalo Mungu wangu
[04:28.19] Hallelujah
[04:33.29] Ni pendo kubwa
[04:34.83] Linalotoka moyo wako
[04:40.10] Ee Mungu wangu nakuomba
[04:44.56] Nijaze pendo lako tele
[04:49.59] Hallelujah
[04:51.48] Ni pendo kubwa
[04:53.10] Linalotoka moyo wako
[04:57.55] Ee Mungu wangu nakuomba
[05:01.90] Nijaze pendo lako tele
[05:06.22]
[00:14.10] Kubwa mno latoka kwa Mwokozi wangu
[00:19.06] Niteleka na maji mengi yatembeayo baharini
[00:26.50] Lanitolea tumaini
[00:33.09] Ya kwamba nitatiwa nguvu
[00:37.56] Na niwe mhodari
[00:40.38] Kwa pendo kubwa la Mwokozi
[00:47.47] Lanitolea tumaini
[00:50.33] Ya kwamba nitatiwa nguvu
[00:55.52] Na niwe mhodari tena
[00:59.68] Kwa pendo kubwa la Mwokozi
[01:06.76] Hallelujah
[01:08.64] Ni pendo kubwa
[01:11.27] Linalotoka moyo wako
[01:14.61] Ee Mungu wangu nakuomba
[01:18.77] Nijaze pendo lako tele
[01:23.68] Hallelujah
[01:26.86] Ni pendo kubwa
[01:28.46] Linalotoka moyo wako
[01:32.93] Ee Mungu wangu nakuomba
[01:36.94] Nijaze pendo lako tele
[01:54.80] Na pendo hilo kubwa mno
[01:57.39] Huyaondoa majivuno
[02:01.54] Na kunifunza haki kweli
[02:05.99] Uongo wote niuvue
[02:09.14] Hunituliza moyo wangu
[02:14.88] Huruma nayo hunitia
[02:20.01] Na sote tuwe na umoja
[02:24.27] Katika pendo la Mwokozi
[02:29.86] Hunituliza moyo wangu
[02:33.66] Huruma nayo hunitia
[02:37.52] Na sote tuwe na umoja
[02:42.25] Katika pendo la Mwokozi
[02:48.93] Hallelujah
[02:51.12] Ni pendo kubwa
[02:53.04] Linalotoka moyo wako (moyo wako Baba)
[02:57.50] Ee Mungu wangu nakuomba
[03:01.30] Nijaze pendo lako tele
[03:05.21] Hallelujah
[03:08.62] Ni pendo kubwa
[03:10.94] Linalotoka moyo wako
[03:14.80] Ee Mungu wangu nakuomba
[03:19.19] Nijaze pendo lako tele
[03:36.68] Nijazwe pendo hilo kubwa
[03:40.06] Inibidiishe siku zote
[03:43.41] Rohoni niwe na jukumu
[03:48.23] Nimtumikie Bwana Yesu
[03:51.65] Hazina Yako nipeleke
[03:57.06] Kwa watu waliopotea
[04:06.29] Wafahamishwe pendo kubwa
[04:09.09] Ulilonalo Mungu wangu
[04:12.21] Hazina Yako nipeleke
[04:15.19] Kwa watu waliopotea
[04:20.26] Wafahamishwe pendo kubwa
[04:24.34] Ulilonalo Mungu wangu
[04:28.19] Hallelujah
[04:33.29] Ni pendo kubwa
[04:34.83] Linalotoka moyo wako
[04:40.10] Ee Mungu wangu nakuomba
[04:44.56] Nijaze pendo lako tele
[04:49.59] Hallelujah
[04:51.48] Ni pendo kubwa
[04:53.10] Linalotoka moyo wako
[04:57.55] Ee Mungu wangu nakuomba
[05:01.90] Nijaze pendo lako tele
[05:06.22]