Yerusalemi
๐ต 2478 characters
โฑ๏ธ 6:06 duration
๐ ID: 9648400
๐ Lyrics
Tunao wengi duniani
Wametembea kwa miji mikubwa
Wakienda kunywa, wakijiburudisha sana, aah
Wakidhani wameona yote
Yanayoenesha mioyo yao
Ila ukumbuke yote ya dunia hii
Ni bure
Kunao mji umeandaliwa
Wa kipekee hautopita
Mji huo hautalinganishwa, hautalinganishwa na dunia
Kunao mji umeandaliwa
Wa kipekee hautopita
Mji huo hautalinganishwa, hautalinganishwa na dunia
Yerusalemi ni mji wa ajabu (Yerusalem)
Yerusalemi ni mji wa washindi (Yerusalem)
Yerusalemi ni mji unameremeta, wameremeta
Yerusalemi haulinganishwi (Yerusalemi)
Yerusalemi ni mji wa ajabu (Yerusalem)
Yerusalemi ni mji wa washindi (Yerusalemi)
Yerusalemi ni mji unameremeta, wameremeta
Yerusalemi haulinganishwi
Ooooh
(Instrumental)
Wapo wengine
Wameridhishwa na mali za dunia hii
Wapo wengine, wameridhishwa na masomo
Wapo wengine
Wameridhishwa na watoto wao
Wakidhani ya kwamba
Raha za maisha zaishia dunia
Kwenye Mji ule
Ni raha Mji ule
Ukitembea Mji ule barabara zake ni za dhahabu
Kwenye Mji ule, ukiingia Mji ule
Hakuna kifo, wala magonjwa
Kwenye Mji ule
Yerusalemi ni mji wa ajabu (Yerusalem)
Yerusalemi ni mji wa washindi (Yerusalem)
Yerusalemi ni mji unameremeta wameremeta
Yerusalemi haulinganishwi (Haulinganishwi)
Yerusalemi ni mji wa ajabu (wa ajabu)
Yerusalemi ni mji wa washindi (wa washindi)
Yerusalemi ni mji unameremeta, wameremeta
Yerusalemi haulinganishwi (Haulinganishwi)
(Instrumental)
Sasa jiandae
Usijekosa Mji ule, eeeh
Usije ukajipata ukihangaika jehanamu
Yatengeneze mambo yako
Ibadili mienendo yako
Ungali na muda
Lango la Rehema lingali wazi
Bwana Yesu, takupokea
Mwingi wa upendo na huruma
Yeye njia kweli na uzima ya kutufikisha Yerusalemi
Yerusalemi ni mji wa ajabu (Yerusalem)
Yerusalemi ni mji wa washindi (kaza mwendo baba)
Yerusalemi ni mji unameremeta, wameremeta (kaza mwendo mama)
Yerusalemi haulinganishwi (Yerusalemi)
Yerusalemi ni mji wa ajabu (Yerusalem dada)
Yerusalemi ni mji wa washindi (Yerusalem kaka)
Yerusalemi ni mji unameremeta, wameremeta
Yerusalemi haulinganishwi
Yerusalem, Yerusalem, Yerusalem
Yerusalem, Yerusalem, Yerusalem
Yerusalem, Yerusalem, Yerusalem
Yerusalem, Yerusalem, Yerusalem
Yerusalem, Yerusalem, Yerusalem
Yerusalemi ni mji wa ajabu
Yerusalemi ni mji wa washindi (wa washindi)
Yerusalemi ni mji unameremeta, wameremeta
Yerusalemi haulinganishwi (Yerusalemi)
Yerusalemi ni mji wa ajabu (Yerusalemi)
Yerusalemi ni mji wa washindi (Yerusalem)
Yerusalemi ni mji unameremeta, wameremeta
Yerusalemi haulinganishwi
(Haulingalishwi)