Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mbali Nawe

๐Ÿ‘ค Jay Melody โ€ข ๐ŸŽผ Mbali Nawe โ€ข โฑ๏ธ 3:42
๐ŸŽต 1178 characters
โฑ๏ธ 3:42 duration
๐Ÿ†” ID: 9721574

๐Ÿ“œ Lyrics

Once again (Jimmie X double six)

Maskini mimi
Mwenzako mimi naumia sana
Japo nishajua mimi kua sawa na wewe haitawezekana
Hata nikishuka chini ndio unaniona mi' mjinga sana
Eti umepatwa nini mbona apo mwanzo ulitulia, aah?

Na wala sio mbali, sio mbali
Tulikua karibu na malengo
Na leo kiutani kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena haujali, haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo

Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe

Hu-uh-uh-uh-uh
Oh-ah-ah-ah

Au kua na mie hautamani
Ah, basi niambie kosa gani
Basi niambie jinsi gani
Utakua sawa baby, mmh
Nikueleze jinsi gani?
Vile nimekuweka moyoni
Ata unipime kwa mizani
Nitajaa kwako honey

Mi' naumwa, siko sawa
Lako penzi ndo yangu dawa
Mi' naumwa, ah siko sawa
Lako penzi, ah ndo yangu dawa

Na wala sio mbali, sio mbali
Tulikua karibu na malengo
Na leo kiutani, kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena haujali, haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo

Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe

Comic Slyzer
Music

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.31] Once again (Jimmie X double six)
[00:12.03] Maskini mimi
[00:13.76] Mwenzako mimi naumia sana
[00:17.95] Japo nishajua mimi kua sawa na wewe haitawezekana
[00:24.35] Hata nikishuka chini ndio unaniona mi' mjinga sana
[00:30.50] Eti umepatwa nini mbona apo mwanzo ulitulia, aah?
[00:36.86] Na wala sio mbali, sio mbali
[00:40.50] Tulikua karibu na malengo
[00:43.39] Na leo kiutani kama utani
[00:46.96] Umeshindwa kuumaliza mwendo
[00:49.68] Na tena haujali, haujali
[00:53.27] Ukiondoka utaacha pengo
[00:56.02] Hakuna cha habari nikae mbali
[00:59.62] Huku kuachwa bila maelezo
[01:02.67] Mbali nawe, mbali nawe
[01:09.16] Mbali nawe, mbali nawe
[01:15.44] Mbali nawe, mbali nawe
[01:21.96] Mbali nawe, mbali nawe
[01:34.11] Hu-uh-uh-uh-uh
[01:37.86] Oh-ah-ah-ah
[01:41.88] Au kua na mie hautamani
[01:44.76] Ah, basi niambie kosa gani
[01:48.25] Basi niambie jinsi gani
[01:51.23] Utakua sawa baby, mmh
[01:54.84] Nikueleze jinsi gani?
[01:57.70] Vile nimekuweka moyoni
[02:01.18] Ata unipime kwa mizani
[02:03.94] Nitajaa kwako honey
[02:06.79] Mi' naumwa, siko sawa
[02:13.13] Lako penzi ndo yangu dawa
[02:19.49] Mi' naumwa, ah siko sawa
[02:25.81] Lako penzi, ah ndo yangu dawa
[02:32.06] Na wala sio mbali, sio mbali
[02:35.55] Tulikua karibu na malengo
[02:38.36] Na leo kiutani, kama utani
[02:42.02] Umeshindwa kuumaliza mwendo
[02:44.85] Na tena haujali, haujali
[02:48.43] Ukiondoka utaacha pengo
[02:51.32] Hakuna cha habari nikae mbali
[02:54.95] Huku kuachwa bila maelezo
[02:57.80] Mbali nawe, mbali nawe
[03:04.20] Mbali nawe, mbali nawe
[03:10.71] Mbali nawe, mbali nawe
[03:16.92] Mbali nawe, mbali nawe
[03:35.43] Comic Slyzer
[03:37.39] Music
[03:38.98]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings