Abneli
๐ต 2420 characters
โฑ๏ธ 9:23 duration
๐ ID: 9735583
๐ Lyrics
Mbona huyu amefia hapa
Kwa nini?
Mbona huyu amenyongwa
Nashanga
Nyumba za wageni zimejaa wizi
Kwa nini?
Taarifa za habari hakuna mapya
Nashanga
Huruma huruma
Ikowapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
Ukatumia nyundo ukidhani utamsaidia
Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
Ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia
Jeraha utaloacha ni kubwa
Ni bora uwaache wenye busara
Watumie akili wamsaidie
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Abneli Abneli
Umekufaje abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli abneli
Daudi aliliaa
Tumepoteza ndugu zetu
Bila sababu
Tumepoteza marafiki
Bila sababu
Tumepoteza ndugu zetu
Bila sababu
Tumepoteza marafiki
Wasio na hatia
Kwa sababu ya kufurahisha
Wanadamu
Kwa sababu ya kufurahisha
Wanaotuzunguka
Huruma huruma
Iko wapi huruma?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi huruma?
Huruma huruma
Haipo tena
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Maana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumi
Roho ya huruma haipo tena
Roho ya kisasi inatenda kazi
Roho ya huruma haipo tena
Roho ya kisasi inatenda kazi
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Baada ya sahuli ilikufwa
Abneli alirudi kwa Daudi
Alipotengeneza na Daudi
Akasahau Yoabu anakumbuka
Kifo alichomuua nduguye
Asaheli wakati wa vita
Yoabu aka muua abneli
Abneli hakutambua hilo
Yeye alipotengeneza na Daudi
Akajua maadui wamekwisha
Msamaha msamaha
Uko wapi dunia?
Msamaha msamaha
Mungu atusaidie
Msamaha msamaha
Ukowapi dunia?
Msamaha msamaha
Mungu atuhurumie
Nyakati hizi tulizo nazo
Alama za nyakati zinaonesha
Wanadamu wamechoka suluhu
Wanaona maamuzi kuwa ni kifo
Wajue adui ulio nao
Jihadhari nahao marafiki
Sio kila kicheko kina maanisha furaha
Wengine wakichukia hucheka sana
Sio kila kicheko kina maanisha upendo
Wengine wanataka wakusogeze tu
Wengine wanataka wakuweke karibu
Ili iwe sababu ya kutoa roho yako
Abneli Abneli
Umekufaje abneli?
Abneli abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje abneli
Abneli Abneli
Daudi alilia
Kwa nini?
Mbona huyu amenyongwa
Nashanga
Nyumba za wageni zimejaa wizi
Kwa nini?
Taarifa za habari hakuna mapya
Nashanga
Huruma huruma
Ikowapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
Ukatumia nyundo ukidhani utamsaidia
Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
Ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia
Jeraha utaloacha ni kubwa
Ni bora uwaache wenye busara
Watumie akili wamsaidie
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Abneli Abneli
Umekufaje abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli abneli
Daudi aliliaa
Tumepoteza ndugu zetu
Bila sababu
Tumepoteza marafiki
Bila sababu
Tumepoteza ndugu zetu
Bila sababu
Tumepoteza marafiki
Wasio na hatia
Kwa sababu ya kufurahisha
Wanadamu
Kwa sababu ya kufurahisha
Wanaotuzunguka
Huruma huruma
Iko wapi huruma?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi huruma?
Huruma huruma
Haipo tena
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Maana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumi
Roho ya huruma haipo tena
Roho ya kisasi inatenda kazi
Roho ya huruma haipo tena
Roho ya kisasi inatenda kazi
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Baada ya sahuli ilikufwa
Abneli alirudi kwa Daudi
Alipotengeneza na Daudi
Akasahau Yoabu anakumbuka
Kifo alichomuua nduguye
Asaheli wakati wa vita
Yoabu aka muua abneli
Abneli hakutambua hilo
Yeye alipotengeneza na Daudi
Akajua maadui wamekwisha
Msamaha msamaha
Uko wapi dunia?
Msamaha msamaha
Mungu atusaidie
Msamaha msamaha
Ukowapi dunia?
Msamaha msamaha
Mungu atuhurumie
Nyakati hizi tulizo nazo
Alama za nyakati zinaonesha
Wanadamu wamechoka suluhu
Wanaona maamuzi kuwa ni kifo
Wajue adui ulio nao
Jihadhari nahao marafiki
Sio kila kicheko kina maanisha furaha
Wengine wakichukia hucheka sana
Sio kila kicheko kina maanisha upendo
Wengine wanataka wakusogeze tu
Wengine wanataka wakuweke karibu
Ili iwe sababu ya kutoa roho yako
Abneli Abneli
Umekufaje abneli?
Abneli abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje abneli
Abneli Abneli
Daudi alilia
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:08.84] Mbona huyu amefia hapa
[00:13.41] Kwa nini?
[00:15.81] Mbona huyu amenyongwa
[00:19.10] Nashanga
[00:22.21] Nyumba za wageni zimejaa wizi
[00:26.33] Kwa nini?
[00:28.11] Taarifa za habari hakuna mapya
[00:32.04] Nashanga
[00:35.16] Huruma huruma
[00:38.00] Ikowapi dunia?
[00:40.72] Huruma huruma
[00:44.52] Haipo tena
[00:47.15] Huruma huruma
[00:50.53] Iko wapi dunia?
[00:54.26] Huruma huruma
[00:57.70] Haipo tena
[01:06.59] Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
[01:12.56] Ukatumia nyundo ukidhani utamsaidia
[01:18.58] Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
[01:25.19] Ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia
[01:31.66] Jeraha utaloacha ni kubwa
[01:34.85] Ni bora uwaache wenye busara
[01:37.64] Watumie akili wamsaidie
[01:43.55] Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
[01:50.64] Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
[01:57.59] Neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
[02:03.55] Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
[02:10.12] Abneli Abneli
[02:13.58] Umekufaje abneli?
[02:17.03] Abneli Abneli
[02:20.13] Daudi alilia
[02:23.05] Abneli Abneli
[02:26.36] Umekufaje Abneli?
[02:29.58] Abneli abneli
[02:32.50] Daudi aliliaa
[02:35.80]
[02:43.18] Tumepoteza ndugu zetu
[02:46.72] Bila sababu
[02:49.23] Tumepoteza marafiki
[02:53.69] Bila sababu
[02:55.49] Tumepoteza ndugu zetu
[03:00.30] Bila sababu
[03:02.11] Tumepoteza marafiki
[03:06.06] Wasio na hatia
[03:08.54] Kwa sababu ya kufurahisha
[03:13.17] Wanadamu
[03:14.62] Kwa sababu ya kufurahisha
[03:18.55] Wanaotuzunguka
[03:26.85] Huruma huruma
[03:29.98] Iko wapi huruma?
[03:32.57] Huruma huruma
[03:36.67] Haipo tena
[03:39.08] Huruma huruma
[03:42.76] Iko wapi huruma?
[03:46.02] Huruma huruma
[03:49.41] Haipo tena
[03:50.78]
[03:57.76] Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
[04:04.34] Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
[04:10.69] Maana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumi
[04:17.95] Roho ya huruma haipo tena
[04:24.59] Roho ya kisasi inatenda kazi
[04:30.73] Roho ya huruma haipo tena
[04:36.68] Roho ya kisasi inatenda kazi
[04:43.34] Huruma huruma
[04:46.59] Iko wapi dunia?
[04:49.55] Huruma huruma
[04:52.63] Haipo tena
[04:56.08] Huruma huruma
[04:59.47] Iko wapi dunia?
[05:02.26] Huruma huruma
[05:05.76] Haipo tena
[05:08.97] Abneli Abneli
[05:12.06] Umekufaje Abneli?
[05:14.96] Abneli Abneli
[05:18.12] Daudi alilia
[05:20.70] Abneli Abneli
[05:24.53] Umekufaje Abneli?
[05:27.35] Abneli Abneli
[05:30.75] Daudi alilia
[05:33.31]
[05:46.88] Baada ya sahuli ilikufwa
[05:52.83] Abneli alirudi kwa Daudi
[05:59.32] Alipotengeneza na Daudi
[06:05.64] Akasahau Yoabu anakumbuka
[06:12.40] Kifo alichomuua nduguye
[06:18.79] Asaheli wakati wa vita
[06:25.27] Yoabu aka muua abneli
[06:31.12] Abneli hakutambua hilo
[06:37.13] Yeye alipotengeneza na Daudi
[06:44.03] Akajua maadui wamekwisha
[06:49.51] Msamaha msamaha
[06:53.59] Uko wapi dunia?
[06:56.62] Msamaha msamaha
[06:59.44] Mungu atusaidie
[07:03.08] Msamaha msamaha
[07:06.55] Ukowapi dunia?
[07:08.93] Msamaha msamaha
[07:12.42] Mungu atuhurumie
[07:16.58] Nyakati hizi tulizo nazo
[07:22.99] Alama za nyakati zinaonesha
[07:29.11] Wanadamu wamechoka suluhu
[07:35.13] Wanaona maamuzi kuwa ni kifo
[07:41.86] Wajue adui ulio nao
[07:47.87] Jihadhari nahao marafiki
[07:54.40] Sio kila kicheko kina maanisha furaha
[08:00.43] Wengine wakichukia hucheka sana
[08:06.89] Sio kila kicheko kina maanisha upendo
[08:13.28] Wengine wanataka wakusogeze tu
[08:19.56] Wengine wanataka wakuweke karibu
[08:25.84] Ili iwe sababu ya kutoa roho yako
[08:32.14] Abneli Abneli
[08:35.04] Umekufaje abneli?
[08:37.98] Abneli abneli
[08:40.66] Daudi alilia
[08:44.59] Abneli Abneli
[08:47.98] Umekufaje abneli
[08:50.93] Abneli Abneli
[08:53.86] Daudi alilia
[09:21.91]
[00:13.41] Kwa nini?
[00:15.81] Mbona huyu amenyongwa
[00:19.10] Nashanga
[00:22.21] Nyumba za wageni zimejaa wizi
[00:26.33] Kwa nini?
[00:28.11] Taarifa za habari hakuna mapya
[00:32.04] Nashanga
[00:35.16] Huruma huruma
[00:38.00] Ikowapi dunia?
[00:40.72] Huruma huruma
[00:44.52] Haipo tena
[00:47.15] Huruma huruma
[00:50.53] Iko wapi dunia?
[00:54.26] Huruma huruma
[00:57.70] Haipo tena
[01:06.59] Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
[01:12.56] Ukatumia nyundo ukidhani utamsaidia
[01:18.58] Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
[01:25.19] Ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia
[01:31.66] Jeraha utaloacha ni kubwa
[01:34.85] Ni bora uwaache wenye busara
[01:37.64] Watumie akili wamsaidie
[01:43.55] Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
[01:50.64] Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
[01:57.59] Neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
[02:03.55] Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
[02:10.12] Abneli Abneli
[02:13.58] Umekufaje abneli?
[02:17.03] Abneli Abneli
[02:20.13] Daudi alilia
[02:23.05] Abneli Abneli
[02:26.36] Umekufaje Abneli?
[02:29.58] Abneli abneli
[02:32.50] Daudi aliliaa
[02:35.80]
[02:43.18] Tumepoteza ndugu zetu
[02:46.72] Bila sababu
[02:49.23] Tumepoteza marafiki
[02:53.69] Bila sababu
[02:55.49] Tumepoteza ndugu zetu
[03:00.30] Bila sababu
[03:02.11] Tumepoteza marafiki
[03:06.06] Wasio na hatia
[03:08.54] Kwa sababu ya kufurahisha
[03:13.17] Wanadamu
[03:14.62] Kwa sababu ya kufurahisha
[03:18.55] Wanaotuzunguka
[03:26.85] Huruma huruma
[03:29.98] Iko wapi huruma?
[03:32.57] Huruma huruma
[03:36.67] Haipo tena
[03:39.08] Huruma huruma
[03:42.76] Iko wapi huruma?
[03:46.02] Huruma huruma
[03:49.41] Haipo tena
[03:50.78]
[03:57.76] Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
[04:04.34] Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
[04:10.69] Maana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumi
[04:17.95] Roho ya huruma haipo tena
[04:24.59] Roho ya kisasi inatenda kazi
[04:30.73] Roho ya huruma haipo tena
[04:36.68] Roho ya kisasi inatenda kazi
[04:43.34] Huruma huruma
[04:46.59] Iko wapi dunia?
[04:49.55] Huruma huruma
[04:52.63] Haipo tena
[04:56.08] Huruma huruma
[04:59.47] Iko wapi dunia?
[05:02.26] Huruma huruma
[05:05.76] Haipo tena
[05:08.97] Abneli Abneli
[05:12.06] Umekufaje Abneli?
[05:14.96] Abneli Abneli
[05:18.12] Daudi alilia
[05:20.70] Abneli Abneli
[05:24.53] Umekufaje Abneli?
[05:27.35] Abneli Abneli
[05:30.75] Daudi alilia
[05:33.31]
[05:46.88] Baada ya sahuli ilikufwa
[05:52.83] Abneli alirudi kwa Daudi
[05:59.32] Alipotengeneza na Daudi
[06:05.64] Akasahau Yoabu anakumbuka
[06:12.40] Kifo alichomuua nduguye
[06:18.79] Asaheli wakati wa vita
[06:25.27] Yoabu aka muua abneli
[06:31.12] Abneli hakutambua hilo
[06:37.13] Yeye alipotengeneza na Daudi
[06:44.03] Akajua maadui wamekwisha
[06:49.51] Msamaha msamaha
[06:53.59] Uko wapi dunia?
[06:56.62] Msamaha msamaha
[06:59.44] Mungu atusaidie
[07:03.08] Msamaha msamaha
[07:06.55] Ukowapi dunia?
[07:08.93] Msamaha msamaha
[07:12.42] Mungu atuhurumie
[07:16.58] Nyakati hizi tulizo nazo
[07:22.99] Alama za nyakati zinaonesha
[07:29.11] Wanadamu wamechoka suluhu
[07:35.13] Wanaona maamuzi kuwa ni kifo
[07:41.86] Wajue adui ulio nao
[07:47.87] Jihadhari nahao marafiki
[07:54.40] Sio kila kicheko kina maanisha furaha
[08:00.43] Wengine wakichukia hucheka sana
[08:06.89] Sio kila kicheko kina maanisha upendo
[08:13.28] Wengine wanataka wakusogeze tu
[08:19.56] Wengine wanataka wakuweke karibu
[08:25.84] Ili iwe sababu ya kutoa roho yako
[08:32.14] Abneli Abneli
[08:35.04] Umekufaje abneli?
[08:37.98] Abneli abneli
[08:40.66] Daudi alilia
[08:44.59] Abneli Abneli
[08:47.98] Umekufaje abneli
[08:50.93] Abneli Abneli
[08:53.86] Daudi alilia
[09:21.91]