Tiririka
๐ต 1409 characters
โฑ๏ธ 3:48 duration
๐ ID: 9737984
๐ Lyrics
Mmmmmh mmmmh
Aaaaaah aaaah
Mapenzi yamenibadilisha
Skuizi sinaga ubabe
Nishakuwa ghucha
Niache moyoni niyabebe babii
Mimi ni kuku wako ukitaka
Mayai niyatage sema
Na ukiona na ujinga
We nisitiri usinibwage
Sina matamanio nishavukaga huko
Sintoivua vazi la heshima
Ulionivisha kwa upendo
Sina matarajip ya kuondoka kwako
Dunia imeshabadili wengi
Wakawa vituko
Mapenzi sio mchezo wa ngumi
Nipige na khanga au ukuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Naona raha
Naisoma namba kwa kirumi
Huu mchezo gani mbona wa kihuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Aaaah naona raha
Unanijaza upendo mpaka unatiririka
Tiriririii
Unanitiririka Tiriririii
Tiriririii Tiriririii
Upendo unanitiririka mie
Tiriririii Tiriririii
Ahaaaaa Ahaaaa
Tiriririka kama si diaba
Najaza ndoo
Raha nnazompa
Eti kama marhaba
Nikimpa shikamoo
Haniachi njiani nafika
Mi kwake Yes sisemi No
Siwezagi kususa nisipomuona
Wafukuta moyo
Asante angalau umenionesha
Maana ya upendo
Na sio kwa nahau (kwa nahau)
Umenionesha kwa vitendo
Sitokaaga nisahau
Nilinyanyasika hapo mwanzo
Niliyaoga madharau
Kwa kumpenda asiojali upendo
Mapenzi sio mchezo wa ngumi
Nipige na khanga au ukuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Naona raha
Naisoma namba kwa kirumi
Huu mchezo gani mbona wa kihuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Aaaah naona raha
Unanijaza upendo mpaka unatiririka
Tiriririii
Unanitiririka Tiriririii
Tiriririii Tiriririii
Upendo unanitiririka mie
Tiriririii Tiriririii
Aaaaaah aaaah
Mapenzi yamenibadilisha
Skuizi sinaga ubabe
Nishakuwa ghucha
Niache moyoni niyabebe babii
Mimi ni kuku wako ukitaka
Mayai niyatage sema
Na ukiona na ujinga
We nisitiri usinibwage
Sina matamanio nishavukaga huko
Sintoivua vazi la heshima
Ulionivisha kwa upendo
Sina matarajip ya kuondoka kwako
Dunia imeshabadili wengi
Wakawa vituko
Mapenzi sio mchezo wa ngumi
Nipige na khanga au ukuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Naona raha
Naisoma namba kwa kirumi
Huu mchezo gani mbona wa kihuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Aaaah naona raha
Unanijaza upendo mpaka unatiririka
Tiriririii
Unanitiririka Tiriririii
Tiriririii Tiriririii
Upendo unanitiririka mie
Tiriririii Tiriririii
Ahaaaaa Ahaaaa
Tiriririka kama si diaba
Najaza ndoo
Raha nnazompa
Eti kama marhaba
Nikimpa shikamoo
Haniachi njiani nafika
Mi kwake Yes sisemi No
Siwezagi kususa nisipomuona
Wafukuta moyo
Asante angalau umenionesha
Maana ya upendo
Na sio kwa nahau (kwa nahau)
Umenionesha kwa vitendo
Sitokaaga nisahau
Nilinyanyasika hapo mwanzo
Niliyaoga madharau
Kwa kumpenda asiojali upendo
Mapenzi sio mchezo wa ngumi
Nipige na khanga au ukuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Naona raha
Naisoma namba kwa kirumi
Huu mchezo gani mbona wa kihuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Aaaah naona raha
Unanijaza upendo mpaka unatiririka
Tiriririii
Unanitiririka Tiriririii
Tiriririii Tiriririii
Upendo unanitiririka mie
Tiriririii Tiriririii
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:08.02] Mmmmmh mmmmh
[00:13.34] Aaaaaah aaaah
[00:18.06] Mapenzi yamenibadilisha
[00:20.57] Skuizi sinaga ubabe
[00:23.59] Nishakuwa ghucha
[00:25.38] Niache moyoni niyabebe babii
[00:28.42] Mimi ni kuku wako ukitaka
[00:31.12] Mayai niyatage sema
[00:33.78] Na ukiona na ujinga
[00:35.88] We nisitiri usinibwage
[00:38.20] Sina matamanio nishavukaga huko
[00:43.50] Sintoivua vazi la heshima
[00:46.06] Ulionivisha kwa upendo
[00:47.63] Sina matarajip ya kuondoka kwako
[00:53.56] Dunia imeshabadili wengi
[00:55.82] Wakawa vituko
[00:58.25] Mapenzi sio mchezo wa ngumi
[01:01.15] Nipige na khanga au ukuni
[01:03.48] Hata ukinifinya finya haiumi
[01:06.07] Naona raha
[01:08.46] Naisoma namba kwa kirumi
[01:11.67] Huu mchezo gani mbona wa kihuni
[01:13.66] Hata ukinifinya finya haiumi
[01:16.12] Aaaah naona raha
[01:18.51] Unanijaza upendo mpaka unatiririka
[01:21.85] Tiriririii
[01:24.34] Unanitiririka Tiriririii
[01:28.48] Tiriririii Tiriririii
[01:34.65] Upendo unanitiririka mie
[01:36.79] Tiriririii Tiriririii
[01:50.02] Ahaaaaa Ahaaaa
[01:59.38] Tiriririka kama si diaba
[02:03.83] Najaza ndoo
[02:05.08] Raha nnazompa
[02:07.25] Eti kama marhaba
[02:08.73] Nikimpa shikamoo
[02:10.27] Haniachi njiani nafika
[02:12.57] Mi kwake Yes sisemi No
[02:15.25] Siwezagi kususa nisipomuona
[02:18.96] Wafukuta moyo
[02:20.36] Asante angalau umenionesha
[02:22.95] Maana ya upendo
[02:24.96] Na sio kwa nahau (kwa nahau)
[02:27.52] Umenionesha kwa vitendo
[02:29.89] Sitokaaga nisahau
[02:32.53] Nilinyanyasika hapo mwanzo
[02:35.15] Niliyaoga madharau
[02:37.15] Kwa kumpenda asiojali upendo
[02:39.78] Mapenzi sio mchezo wa ngumi
[02:42.13] Nipige na khanga au ukuni
[02:44.62] Hata ukinifinya finya haiumi
[02:47.44] Naona raha
[02:49.40] Naisoma namba kwa kirumi
[02:52.18] Huu mchezo gani mbona wa kihuni
[02:54.97] Hata ukinifinya finya haiumi
[02:57.32] Aaaah naona raha
[02:59.53] Unanijaza upendo mpaka unatiririka
[03:03.42] Tiriririii
[03:05.91] Unanitiririka Tiriririii
[03:10.89] Tiriririii Tiriririii
[03:15.41] Upendo unanitiririka mie
[03:19.43] Tiriririii Tiriririii
[03:23.47]
[00:13.34] Aaaaaah aaaah
[00:18.06] Mapenzi yamenibadilisha
[00:20.57] Skuizi sinaga ubabe
[00:23.59] Nishakuwa ghucha
[00:25.38] Niache moyoni niyabebe babii
[00:28.42] Mimi ni kuku wako ukitaka
[00:31.12] Mayai niyatage sema
[00:33.78] Na ukiona na ujinga
[00:35.88] We nisitiri usinibwage
[00:38.20] Sina matamanio nishavukaga huko
[00:43.50] Sintoivua vazi la heshima
[00:46.06] Ulionivisha kwa upendo
[00:47.63] Sina matarajip ya kuondoka kwako
[00:53.56] Dunia imeshabadili wengi
[00:55.82] Wakawa vituko
[00:58.25] Mapenzi sio mchezo wa ngumi
[01:01.15] Nipige na khanga au ukuni
[01:03.48] Hata ukinifinya finya haiumi
[01:06.07] Naona raha
[01:08.46] Naisoma namba kwa kirumi
[01:11.67] Huu mchezo gani mbona wa kihuni
[01:13.66] Hata ukinifinya finya haiumi
[01:16.12] Aaaah naona raha
[01:18.51] Unanijaza upendo mpaka unatiririka
[01:21.85] Tiriririii
[01:24.34] Unanitiririka Tiriririii
[01:28.48] Tiriririii Tiriririii
[01:34.65] Upendo unanitiririka mie
[01:36.79] Tiriririii Tiriririii
[01:50.02] Ahaaaaa Ahaaaa
[01:59.38] Tiriririka kama si diaba
[02:03.83] Najaza ndoo
[02:05.08] Raha nnazompa
[02:07.25] Eti kama marhaba
[02:08.73] Nikimpa shikamoo
[02:10.27] Haniachi njiani nafika
[02:12.57] Mi kwake Yes sisemi No
[02:15.25] Siwezagi kususa nisipomuona
[02:18.96] Wafukuta moyo
[02:20.36] Asante angalau umenionesha
[02:22.95] Maana ya upendo
[02:24.96] Na sio kwa nahau (kwa nahau)
[02:27.52] Umenionesha kwa vitendo
[02:29.89] Sitokaaga nisahau
[02:32.53] Nilinyanyasika hapo mwanzo
[02:35.15] Niliyaoga madharau
[02:37.15] Kwa kumpenda asiojali upendo
[02:39.78] Mapenzi sio mchezo wa ngumi
[02:42.13] Nipige na khanga au ukuni
[02:44.62] Hata ukinifinya finya haiumi
[02:47.44] Naona raha
[02:49.40] Naisoma namba kwa kirumi
[02:52.18] Huu mchezo gani mbona wa kihuni
[02:54.97] Hata ukinifinya finya haiumi
[02:57.32] Aaaah naona raha
[02:59.53] Unanijaza upendo mpaka unatiririka
[03:03.42] Tiriririii
[03:05.91] Unanitiririka Tiriririii
[03:10.89] Tiriririii Tiriririii
[03:15.41] Upendo unanitiririka mie
[03:19.43] Tiriririii Tiriririii
[03:23.47]