STAMINA FEAT PROFESSOR JAY & ONE SIX - BABA (OFFICIAL VIDEO) SMS SKIZA 7917152 to 811 (feat. Warda & Darassa)
๐ต 3044 characters
โฑ๏ธ 4:35 duration
๐ ID: 9767392
๐ Lyrics
Tongo Records
Binladen
Ah, kwanza naomba ukaechini
Alafu uvute pumzi
Nna vitu vya kuongea, ambavyo unajua vita kuudhi
Ivi unajua nimekuvumilia sana
Angekuwa mtoto mwingine tayari ungeishampa laana
Najiuliza sijui nikuseme na kipi baba
Najuiliza sijui nianze na lipi labda
Mama anasema, mwanzo mimba uliikataa
Kwani sasa hukutoa, ukaruhusu mpaka akazaa?
Alafu, hivi auzijui kinga?
Au hukujua peku peku kama italeta mimba
Uchi wako wa kijinga ndo sa'ivi unanitesa
Usinge mrubuni mama labda angemuoa barkhersa
Dah! Unanipata kiwewe, au manesi walichanganya
Baba angu hakuwa ni wewe!
Kama unataka kunipiga, leo yote sawa
Au nikuchumie fimbo unichape kisawa sawa
Hata kama ni mzazi
Saa zingine nawaza nikuchukie
Sema tu we ni mzazi
Acha ukweli wako nikuambieee
Daddeeey olaaa!
Naongea na weweee e
Daddeeeeey
Naongea na wewe naongea na wewe!
Ile hela ya kuonga ungeitoa ka sadaka
Mungu ange kubariki ungenizaa kasadaka
Ukajichanganya Kaisari ukampa isiaka
Alafu mbele ya yesu petro ukampa mamlaka
Mbona mzee mushi, namuona na hela
Mzee mwakalinga, mwenzie anahela
Mzee lutashobwa ndo kabisa ana mielea
Wewe ulikuwa wapi mpaka unakofa kabwela
Nikuulize, ukifa nitarithi nini, labda jina laukoo
Alafu linisaidie nini?
Utajiri hivi hukuuona kwanini
Maana pombe unazo kunywa, siwezi rithi hadi maini
Umeshindwa hata kununua kiwanja?!
Ona mpaka leo tupo nyumba za kupanga
Elimu sikuizi nibure, ila cha ajabu umeshindwa hata kunipeleka shule!
Inauma sana, ila acha tu nikuulize
Inama ujana wako umeshindwa kuwa bize?
Nikiendelea kuongea naona kama nitakufuru
Nimemaliza, nakuombea kwa mungu akupe nuru!
Hata kama ni mzazi
Saa zingine nawaza nikuchukie
Sema tu we ni mzazi
Acha ukweli wako nikuambieee
Daddeeey!
Naongea na weweee e
Daddeeeeey
Naongea na wewe naongea na wewe!
Mwanangu nimekusikia nakuombea kua uyaone
Nilijua umekuja kwangu kuniombea ili nipone
Kumbe umekuja kwa shari, kunilaumu, nakuniukumu
Inaonyesha ningesinzia ungeninywesha hata sumu!
Baada ya ujauzito wako tulipima na mama ako
D.N.A ilionyesha kuwa mimi sio damu yako
Ukisikia ukuwbwa jalala, basi juwa dunia dumple
Nikasimama kivie kupigania maisha yako
Tena nilingoja ngoja ukuwe
Nikajitoa kwa hali na mali ili usijue
Nikafanya mambo mengi ya atari ili nikutunze
Waka nisweka jela ili dunia inifunze
Ukuaji wako, sidhani ulilishwa mila
Nilipambana kilakona kuwa tafutia ngawila
Niliuza mali zangu ilimradi wewe usome
Leo unanipandishia kibezi, nyambazu tena unikome!
Muone mtoto wa sobo, mwenzio ni rubani
Mtoto wa sugu juzi kapa ud1
Mtoto wa bwile ndo doktari marekani
Ebu toa bangi zako, aliekuambia usisome nani?!

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:16.17] Tongo Records
[00:18.47] Binladen
[00:20.04] Ah, kwanza naomba ukaechini
[00:21.74] Alafu uvute pumzi
[00:23.34] Nna vitu vya kuongea, ambavyo unajua vita kuudhi
[00:26.03] Ivi unajua nimekuvumilia sana
[00:28.38] Angekuwa mtoto mwingine tayari ungeishampa laana
[00:31.68] Najiuliza sijui nikuseme na kipi baba
[00:34.30] Najuiliza sijui nianze na lipi labda
[00:36.94] Mama anasema, mwanzo mimba uliikataa
[00:38.61] Kwani sasa hukutoa, ukaruhusu mpaka akazaa?
[00:41.67] Alafu, hivi auzijui kinga?
[00:44.37] Au hukujua peku peku kama italeta mimba
[00:47.07] Uchi wako wa kijinga ndo sa'ivi unanitesa
[00:49.68] Usinge mrubuni mama labda angemuoa barkhersa
[00:52.74] Dah! Unanipata kiwewe, au manesi walichanganya
[00:56.00] Baba angu hakuwa ni wewe!
[00:57.13] Kama unataka kunipiga, leo yote sawa
[00:59.81] Au nikuchumie fimbo unichape kisawa sawa
[01:02.73] Hata kama ni mzazi
[01:04.94] Saa zingine nawaza nikuchukie
[01:07.65] Sema tu we ni mzazi
[01:10.35] Acha ukweli wako nikuambieee
[01:13.32] Daddeeey olaaa!
[01:15.66] Naongea na weweee e
[01:18.38] Daddeeeeey
[01:20.96] Naongea na wewe naongea na wewe!
[01:24.09] Ile hela ya kuonga ungeitoa ka sadaka
[01:26.97] Mungu ange kubariki ungenizaa kasadaka
[01:29.66] Ukajichanganya Kaisari ukampa isiaka
[01:32.29] Alafu mbele ya yesu petro ukampa mamlaka
[01:35.34] Mbona mzee mushi, namuona na hela
[01:37.62] Mzee mwakalinga, mwenzie anahela
[01:40.33] Mzee lutashobwa ndo kabisa ana mielea
[01:43.08] Wewe ulikuwa wapi mpaka unakofa kabwela
[01:45.78] Nikuulize, ukifa nitarithi nini, labda jina laukoo
[01:49.44] Alafu linisaidie nini?
[01:51.36] Utajiri hivi hukuuona kwanini
[01:53.35] Maana pombe unazo kunywa, siwezi rithi hadi maini
[01:56.64] Umeshindwa hata kununua kiwanja?!
[01:59.40] Ona mpaka leo tupo nyumba za kupanga
[02:02.37] Elimu sikuizi nibure, ila cha ajabu umeshindwa hata kunipeleka shule!
[02:07.81] Inauma sana, ila acha tu nikuulize
[02:09.58] Inama ujana wako umeshindwa kuwa bize?
[02:12.44] Nikiendelea kuongea naona kama nitakufuru
[02:14.89] Nimemaliza, nakuombea kwa mungu akupe nuru!
[02:17.52] Hata kama ni mzazi
[02:19.15] Saa zingine nawaza nikuchukie
[02:22.13] Sema tu we ni mzazi
[02:25.02] Acha ukweli wako nikuambieee
[02:28.17] Daddeeey!
[02:30.16] Naongea na weweee e
[02:33.45] Daddeeeeey
[02:35.81] Naongea na wewe naongea na wewe!
[02:38.58] Mwanangu nimekusikia nakuombea kua uyaone
[02:41.73] Nilijua umekuja kwangu kuniombea ili nipone
[02:44.49] Kumbe umekuja kwa shari, kunilaumu, nakuniukumu
[02:47.04] Inaonyesha ningesinzia ungeninywesha hata sumu!
[02:49.72] Baada ya ujauzito wako tulipima na mama ako
[02:52.48] D.N.A ilionyesha kuwa mimi sio damu yako
[02:55.20] Ukisikia ukuwbwa jalala, basi juwa dunia dumple
[02:57.81] Nikasimama kivie kupigania maisha yako
[03:00.41] Tena nilingoja ngoja ukuwe
[03:03.12] Nikajitoa kwa hali na mali ili usijue
[03:06.22] Nikafanya mambo mengi ya atari ili nikutunze
[03:08.11] Waka nisweka jela ili dunia inifunze
[03:11.19] Ukuaji wako, sidhani ulilishwa mila
[03:14.16] Nilipambana kilakona kuwa tafutia ngawila
[03:16.57] Niliuza mali zangu ilimradi wewe usome
[03:18.84] Leo unanipandishia kibezi, nyambazu tena unikome!
[03:21.52] Muone mtoto wa sobo, mwenzio ni rubani
[03:24.68] Mtoto wa sugu juzi kapa ud1
[03:27.11] Mtoto wa bwile ndo doktari marekani
[03:29.72] Ebu toa bangi zako, aliekuambia usisome nani?!
[03:32.05] Hata kama ni mzazi
[03:34.34] Saa zingine nawaza nikuchukie
[03:36.91] Sema tu we ni mzazi
[03:39.76] Acha ukweli wako nikuambieee
[03:42.68] Daddeeey!
[03:45.04] Naongea na weweee e
[03:47.66] Daddeeeeey
[03:50.06] Naongea na wewe naongea na wewe!
[03:53.09] Hata kama ni mzazi
[03:55.32] Saa zingine nawaza nikuchukie
[03:58.47] Sema tu we ni mzazi
[04:01.08] Acha ukweli wako nikuambieee
[04:04.05] Daddeeey!
[04:05.26] Elimu sikuizi nibure, ila cha ajabu umeshindwa hata kunipeleka shule!
[04:09.61] Daddeeey!
[04:11.87] Ebu toa bangi zako, aliekuambia usisome nani?!
[04:20.94] Tongo Records
[04:23.90] Binladen
[04:26.37]