Patakatifu Pako
๐ต 1395 characters
โฑ๏ธ 5:04 duration
๐ ID: 9767571
๐ Lyrics
Ooh Bwana Yesu ninakuhitaji maishani mwangu
Yesu Usiponisaidia ni nani mwingine
Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji
Mahali paa maana, juu ya yote
Katika mikono yako mimi najiweka,
nizungukwe mimi na uwepo wako
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Ninachohitaji nikufurahisha roho yako
Wewe rafiki mwema uliyenipenda.
Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
Kuwa na wewe Yesu yashinda yote
Ninachohitaji Yesu nikufurahisha roho yako
Wewe rafiki mwema unaytuipenda.
Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
Kuwa na wewe Yesu yashinda yote
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Oh Yesu,
Neno lako lasema siku moja katika utukufu wako
Yazidi miaka elfu duniani
Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako
siku zote za maisha yangu
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:03.16] Ooh Bwana Yesu ninakuhitaji maishani mwangu
[00:10.10] Yesu Usiponisaidia ni nani mwingine
[00:16.02] Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji
[00:24.01] Mahali paa maana, juu ya yote
[00:32.02] Katika mikono yako mimi najiweka,
[00:40.01] nizungukwe mimi na uwepo wako
[00:48.03] Niambie utakalo Bwana
[00:56.03] Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
[01:03.26] Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
[01:12.03] Niambie utakalo Bwana
[01:20.03] Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
[01:27.25] Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
[01:36.06] Ninachohitaji nikufurahisha roho yako
[01:44.01] Wewe rafiki mwema uliyenipenda.
[01:52.04] Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
[02:00.03] Kuwa na wewe Yesu yashinda yote
[02:08.01] Ninachohitaji Yesu nikufurahisha roho yako
[02:16.02] Wewe rafiki mwema unaytuipenda.
[02:24.02] Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
[02:32.02] Kuwa na wewe Yesu yashinda yote
[02:40.03] Niambie utakalo Bwana
[02:48.02] Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
[02:55.25] Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
[03:04.04] Niambie utakalo Bwana
[03:12.03] Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
[03:19.27] Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
[03:28.40] Oh Yesu,
[03:32.00] Neno lako lasema siku moja katika utukufu wako
[03:36.00] Yazidi miaka elfu duniani
[03:39.08] Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako
[03:42.28] siku zote za maisha yangu
[03:45.14] Nahitaji mkono wako
[03:49.17] Niongozwe na wewe Bwana
[03:53.18] Kimbilio msaada wa karibu,
[03:58.16] ni wewe ni wewe. ni wewe.
[04:01.25] Nahitaji mkono wako
[04:05.17] Niongozwe na wewe Bwana
[04:09.17] Kimbilio msaada wa karibu,
[04:14.17] ni wewe ni wewe. ni wewe.
[04:17.18] Nahitaji mkono wako
[04:21.18] Niongozwe na wewe Bwana
[04:25.17] Kimbilio msaada wa karibu,
[04:30.16] ni wewe ni wewe. ni wewe.
[04:34.03] Niambie utakalo Bwana
[04:41.26] Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
[04:49.25] Nakuhitaji Bwana maishani mwangu