Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Bado Nipo Nipo

๐Ÿ‘ค MwanaFA โ€ข ๐ŸŽผ Unanitega โ€ข โฑ๏ธ 4:38
๐ŸŽต 3978 characters
โฑ๏ธ 4:38 duration
๐Ÿ†” ID: 9803122

๐Ÿ“œ Lyrics

Hargwan Blood
The personality change, hii ya leo hii!
Hermy

Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
Unasema (bado nipo nipo sana)
Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)
Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mwana?

Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mama)
Unasema (bado nipo nipo sana)
Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mama?

Japo natokea Tanga mapenzi yalipozaliwa
Sijivishi ufundi nikajifanya nayajua
Mi nna akili timamu naona tu mnavyoyarukia
Ukiniona na demu mzuri haimaanishi ndio ntamuoa

Napata wakati mgumu washkaji wanapolia kwa uchungu
Kwani na mi nna maumivu yangu nasema tu na moyo wangu
Watu wanalalamika wanavyoumizwa na ndoa zao
Wengine wanaficha wanakufa na maumivu yao

Sioi leo, sioi kesho-kutwa wala mtondogoo
Sioi mchana, sioi jioni, usiku wala majogoo
Morale nliyonayo sasa siwezi kubali kuibiwa
Ngoja nizeekezeeke kwanza pengine ntakuja elewa

Eti nizibe maskio
Wengine nifumbe macho
Nisione wakati naibiwa?
Hamuwezi kuwa hamjalewa

Mi nikiona mtu anaibiwa
Naona kama naibiwa mimi
So miaka kadhaa ijayo
Ndio mniulize naoa lini

Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
Unasema (bado nipo nipo sana)
Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)
Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mwana?

Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mama)
Unasema (bado nipo nipo sana)
Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mama?

Hata nikitaka kuoa niambie ntamuoa nani?
Watu wana watu wao wengine toka zamani
Ukiambiwa we ni boyfriend haimaanishi uko peke yako
Wadogo usoni wanahifadhi wazee wako

Sijui ni dhiki au tamaa tu?
Watoto wanaanika njaa tu
Hawafikirii mapenzi wanachoona wao ni mkwanja tu
Msinipe headache staki kufuata Mkumbo
Nyie anzeni mi niacheni, staki kufanya gamble

Marafiki wanauzana (ndio zao vicheche)
Na daima wanateteana, usiwaamini usiniangushe
Anataka kuolewa na anamegwa kama kawa
Demu wako akiuza wenzake, zinduka nae analiwa (yes)

Staki kuoa sababu staki kulia
Najipanga nisiharibu staki mje kunihurumia
Nafahamu nna Bahati mbaya kama nalala na bundi
Ndio maana sijipi moyo wala sijitii maufundi

Alilala na bibi arusi
Siku moja kabla ya arusi
Na wala sio bwana arusi
Bado mnanishauri arusi?

Eti nizibe maskio
Wengine nifumbe macho
Nisione wakati naibiwa?
Hamuwezi kuwa hamjalewa

Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
Unasema (bado nipo nipo sana)
Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)
Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mwana?

Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mama)
Unasema (bado nipo nipo sana)
Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mama?

Usiseme unaamini mwanamke hata kama unamtania
Watu na akili zao washajichuuza na wakalia
Sikatazi watu kuoa
Na hata nikiwakataza neno langu sio sheria

Sipendi wanawake napenda wanawake wazuri
Wanaojitunza wanajiheshimu sio wa simu na gari
Inahitaji muda kuwapata hakuna anaewajua vizuri
Ndio maana mi nipo nipo sitaki kuvamia shari

Wanatoroka na wazungu
Wanamegwa na vibabu
Wanaiba waume za wenzao
Uso mkavu hawana aibu

Ukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyewe
Au kata mgonjwa uufiche mtaani usishindaniwe
Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee
Haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume

Kumegewa ni jambo moja
Kukimbiwa ushafkiria?
Sio kila demu umuonae unaweza kuoa

Eti nizibe maskio!
Wengine nifumbe macho!
Nisione wakati naibiwa?
Hamuwezi kuwa hamjalewa

Mi nikiona mtu anaibiwa
Naona kama naibiwa mimi
So miaka kadhaa ijayo
Ndio mniulize naoa lini!

Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
Unasema (bado nipo nipo sana)
Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)
Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mwana?

Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mama)
Unasema (bado nipo nipo sana)
Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mama?

Yes yes it's yo boy FA
Na Hermy B ni kazi chafu but lazima mtu aifanye!
Sipendi wanawake napenda wanawake wazuri!
Wanaojitunza wanajiheshimu sio wa mkwanja na gari!
Yeeeeah, love is love my people
Ladies, behave basi au sio?

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:06.05] Hargwan Blood
[00:09.94] The personality change, hii ya leo hii!
[00:16.59] Hermy
[00:20.29] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
[00:23.09] Unasema (bado nipo nipo sana)
[00:25.26] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)
[00:28.86] Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mwana?
[00:30.54] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mama)
[00:33.84] Unasema (bado nipo nipo sana)
[00:35.85] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
[00:39.32] Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mama?
[00:40.67] Japo natokea Tanga mapenzi yalipozaliwa
[00:43.39] Sijivishi ufundi nikajifanya nayajua
[00:45.90] Mi nna akili timamu naona tu mnavyoyarukia
[00:48.65] Ukiniona na demu mzuri haimaanishi ndio ntamuoa
[00:50.90] Napata wakati mgumu washkaji wanapolia kwa uchungu
[00:53.77] Kwani na mi nna maumivu yangu nasema tu na moyo wangu
[00:56.27] Watu wanalalamika wanavyoumizwa na ndoa zao
[00:58.97] Wengine wanaficha wanakufa na maumivu yao
[01:01.77] Sioi leo, sioi kesho-kutwa wala mtondogoo
[01:04.03] Sioi mchana, sioi jioni, usiku wala majogoo
[01:06.71] Morale nliyonayo sasa siwezi kubali kuibiwa
[01:09.33] Ngoja nizeekezeeke kwanza pengine ntakuja elewa
[01:11.91] Eti nizibe maskio
[01:13.13] Wengine nifumbe macho
[01:14.34] Nisione wakati naibiwa?
[01:15.54] Hamuwezi kuwa hamjalewa
[01:16.94] Mi nikiona mtu anaibiwa
[01:18.22] Naona kama naibiwa mimi
[01:19.57] So miaka kadhaa ijayo
[01:20.89] Ndio mniulize naoa lini
[01:22.16] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
[01:25.19] Unasema (bado nipo nipo sana)
[01:27.27] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)
[01:30.76] Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mwana?
[01:32.48] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mama)
[01:35.65] Unasema (bado nipo nipo sana)
[01:37.63] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
[01:40.62] Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mama?
[01:42.78] Hata nikitaka kuoa niambie ntamuoa nani?
[01:45.37] Watu wana watu wao wengine toka zamani
[01:47.84] Ukiambiwa we ni boyfriend haimaanishi uko peke yako
[01:50.46] Wadogo usoni wanahifadhi wazee wako
[01:53.06] Sijui ni dhiki au tamaa tu?
[01:54.45] Watoto wanaanika njaa tu
[01:55.80] Hawafikirii mapenzi wanachoona wao ni mkwanja tu
[01:58.76] Msinipe headache staki kufuata Mkumbo
[02:00.81] Nyie anzeni mi niacheni, staki kufanya gamble
[02:03.57] Marafiki wanauzana (ndio zao vicheche)
[02:05.83] Na daima wanateteana, usiwaamini usiniangushe
[02:08.58] Anataka kuolewa na anamegwa kama kawa
[02:11.02] Demu wako akiuza wenzake, zinduka nae analiwa (yes)
[02:13.84] Staki kuoa sababu staki kulia
[02:16.22] Najipanga nisiharibu staki mje kunihurumia
[02:18.71] Nafahamu nna Bahati mbaya kama nalala na bundi
[02:21.26] Ndio maana sijipi moyo wala sijitii maufundi
[02:23.87] Alilala na bibi arusi
[02:25.16] Siku moja kabla ya arusi
[02:26.51] Na wala sio bwana arusi
[02:27.77] Bado mnanishauri arusi?
[02:29.03] Eti nizibe maskio
[02:30.40] Wengine nifumbe macho
[02:31.54] Nisione wakati naibiwa?
[02:32.83] Hamuwezi kuwa hamjalewa
[02:34.28] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
[02:36.90] Unasema (bado nipo nipo sana)
[02:39.21] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)
[02:42.32] Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mwana?
[02:44.43] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mama)
[02:47.73] Unasema (bado nipo nipo sana)
[02:49.80] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
[02:53.40] Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mama?
[02:54.87] Usiseme unaamini mwanamke hata kama unamtania
[02:57.36] Watu na akili zao washajichuuza na wakalia
[03:00.05] Sikatazi watu kuoa
[03:01.31] Na hata nikiwakataza neno langu sio sheria
[03:03.77] Sipendi wanawake napenda wanawake wazuri
[03:06.22] Wanaojitunza wanajiheshimu sio wa simu na gari
[03:09.02] Inahitaji muda kuwapata hakuna anaewajua vizuri
[03:11.64] Ndio maana mi nipo nipo sitaki kuvamia shari
[03:13.94] Wanatoroka na wazungu
[03:15.52] Wanamegwa na vibabu
[03:16.76] Wanaiba waume za wenzao
[03:18.09] Uso mkavu hawana aibu
[03:19.54] Ukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyewe
[03:21.86] Au kata mgonjwa uufiche mtaani usishindaniwe
[03:24.55] Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee
[03:27.59] Haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume
[03:29.82] Kumegewa ni jambo moja
[03:30.96] Kukimbiwa ushafkiria?
[03:32.28] Sio kila demu umuonae unaweza kuoa
[03:34.95] Eti nizibe maskio!
[03:36.26] Wengine nifumbe macho!
[03:37.30] Nisione wakati naibiwa?
[03:38.68] Hamuwezi kuwa hamjalewa
[03:40.13] Mi nikiona mtu anaibiwa
[03:41.31] Naona kama naibiwa mimi
[03:42.58] So miaka kadhaa ijayo
[03:43.95] Ndio mniulize naoa lini!
[03:46.42] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
[03:49.41] Unasema (bado nipo nipo sana)
[03:51.56] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)
[03:54.62] Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mwana?
[03:56.87] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mama)
[03:59.51] Unasema (bado nipo nipo sana)
[04:01.96] Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)
[04:05.29] Wakwanza kuoa ntakuwa mimi mama?
[04:07.29] Yes yes it's yo boy FA
[04:11.17] Na Hermy B ni kazi chafu but lazima mtu aifanye!
[04:15.50] Sipendi wanawake napenda wanawake wazuri!
[04:17.53] Wanaojitunza wanajiheshimu sio wa mkwanja na gari!
[04:20.51] Yeeeeah, love is love my people
[04:24.11] Ladies, behave basi au sio?
[04:28.18]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings